Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hebu nieleweshe kitu hivi Hamas nao walipovamia watu wakiwa kwenye sherehe ile october 7 ilikua ni ushujaa ile eenh?Kwaiyo kuwashambulia watu wakiwa ktk mkutano mwenyeji na wageni wake ndio ushujaaa wa mossad au Israeli.. mbona ni ugaidi au mi sijaelewa wangefanya wenzao tungewasifu pia au tungepiga mikelele ya ugaid w kiislam kweli kuna mazuzu ila ujiona wanamiakili kumbe mitupu ata haki awaijui lkn ukiyasikia yanapigania aki .
Achana na shule za kata mkuu😝😝😝😝😝Hii ndiyo inteligensia...siyo kutengeneza mazungumzo kwenye whatsapp group na kusema watu wanataka kupindua nchi....
Hili jambo linafikirisha sana. Yaani binadamu anaona ni haki kabisa kutoa uhai wa binadamu mwingine! Kuna watu wamejipa mamalaka mkubwa sana hapa duniani.Hivi kukiwa na utulivu watu awawezi kuishi binadamu ni wabinafsi sana
Sijui tulikosea wapi kama taifa? HALAFU WATAWALA WANATAKA KILA MTU AGALAGALE CHINI KAMA MWIJAKUHii ndiyo inteligensia...siyo kutengeneza mazungumzo kwenye whatsapp group na kusema watu wanataka kupindua nchi....
Hivi kumuuwa Osama nalo lilikuwa tukio la kigaidi eti? MnanichanganyaTukio la kigaidi lkn tutaimbiwa nyimbo umu mossad sijui vile lkn story entebe sijui vita siku6 gaza mwaka sasa wayahudi wanakula mlo mmoja kutoka kwa watekaji wao. Awajaweza kuwaokoa lkn kifo cha yule mzee Lebanon mijitu itakuja apa kututisha sijui waisrael awanyi wanapaa wakitembeya wadada wao uwa awaumwi. Tuache unafki mungu anatuona.
Una makasiriko sana answar sunna?😀😀😀😀 alafu usitugombeze basi.Tukio la kigaidi lkn tutaimbiwa nyimbo umu mossad sijui vile lkn story entebe sijui vita siku6 gaza mwaka sasa wayahudi wanakula mlo mmoja kutoka kwa watekaji wao. Awajaweza kuwaokoa lkn kifo cha yule mzee Lebanon mijitu itakuja apa kututisha sijui waisrael awanyi wanapaa wakitembeya wadada wao uwa awaumwi. Tuache unafki mungu anatuona.
Lilianzia kwa wapelelezi 12 YerickoKuna vitu hujui.
Hao uliowataja sio intelligence organs, hao ni special comando forces kwaajil ya ku carry out impossible millitary missions, wao kazi yao ni ku engage baada ya kupewa taarifa zilizokuwa collected, analyzed wao ni ku lay down operations tu. Kwahiyo mossad ndio killa kitu. Pia hawa mossad ndio wanaowa feed Kidon as well ambapo hawa hawafany millitary mission ila covet secret assasinations kimya kimya bila kujulikana
Kwakifup mossad ni jidubwasha kuubwa sana..ndio roho ya Israel
Walebanon hawawataki hao hizbollah wameiharibu Lebanon pia wao sio jeshi rasmi la Lebanon pili wanafuata amri kutoka Iran yaan Iran anaitawala Lebanon indirectly na sio Iran tu bali nchi zote zinazopakana na Iran bas Iran kapeleka majeshi yake na anayaendesha hayo maeneo , Je huu ni ushujaa kujua majirani zako ili kujifurahisha ww kuwa una nguvu kijeshi?Kwaiyo kuwashambulia watu wakiwa ktk mkutano mwenyeji na wageni wake ndio ushujaaa wa mossad au Israeli.. mbona ni ugaidi au mi sijaelewa wangefanya wenzao tungewasifu pia au tungepiga mikelele ya ugaid w kiislam kweli kuna mazuzu ila ujiona wanamiakili kumbe mitupu ata haki awaijui lkn ukiyasikia yanapigania aki .
Kwahiyoo ni Bora uue raia wasio na hatia na uache kiongozi unaegombana nae , ww kujua wasio na hatia ndo unaitwa civility na kuwaach wenye hatia kwako ndo civilityKuua viongozi na watu muhimu katika nchi fulani mbona kila intelligence community duniani inaweza. Ila nchi nyingine huwa zinabehave with civility. Kwani unadhani Iran ikiamua kudedisha wanasiasa wa Israel inashindwa?
Thanks 😊Daaah huyu Israel kweli ni mtoa roho!!
All the best Israel
Hawezi jibu hao wafuasi wa muddy akili hazijatimia. Wao ni kulia kwa kila jambo.Mkuu hebu nieleweshe kitu hivi Hamas nao walipovamia watu wakiwa kwenye sherehe ile october 7 ilikua ni ushujaa ile eenh?
Mkutano wa magaidi umesambaratishwa! Thats all good!!Kwaiyo kuwashambulia watu wakiwa ktk mkutano mwenyeji na wageni wake ndio ushujaaa wa mossad au Israeli.. mbona ni ugaidi au mi sijaelewa wangefanya wenzao tungewasifu pia au tungepiga mikelele ya ugaid w kiislam kweli kuna mazuzu ila ujiona wanamiakili kumbe mitupu ata haki awaijui lkn ukiyasikia yanapigania aki .
Chura kiziwi alipuyanga vibaya sana.Hii ndiyo inteligensia...siyo kutengeneza mazungumzo kwenye whatsapp group na kusema watu wanataka kupindua nchi....
Ulimaliza madrassa? Na ulifika angalau darasa la 3?Kwayo Leo mmefuraiya sana kuona Lebanon wamepigika yule mzee kauwawa endeleeni kushehelekea watu sampuli zenu mkipata nafasi za yoyote ya kiuongozi ndio mnakuja kuchinja watu. Mmeandaliwa kushelekea damu za wenzenu uko mkidhani mungu wenu anawasapot
Bams mwambie kijana wako huyu kwamba Iran mwenyewe anatamani na amejaribu lakini ameshindwaKuua viongozi na watu muhimu katika nchi fulani mbona kila intelligence community duniani inaweza. Ila nchi nyingine huwa zinabehave with civility. Kwani unadhani Iran ikiamua kudedisha wanasiasa wa Israel inashindwa?
Jini hawezi kuzuia uzito wa bunker buster 💣hayo mapete yote yanakuwaga ya majini lakini hayawasaidii dhdi ya myahudi.
Ingekua rahisi putin angesha muua zelek au zeleki angesha muua putinKuua viongozi na watu muhimu katika nchi fulani mbona kila intelligence community duniani inaweza. Ila nchi nyingine huwa zinabehave with civility. Kwani unadhani Iran ikiamua kudedisha wanasiasa wa Israel inashindwa?