Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,120
- 3,468
Unaelewa maana ya Novena wewe?Huyu mtu ametukosea sana, ambapo watanzania wenzake walipomwambia kwamba tunapotaka kwenda kwa huyu mama (Rais Samia), alikataa kabisa na kuwabishia kwa nguvu.
Tunaomba General Mabeyo aombe radhi kwa watanzania kwa kitendo hiki.
Aidha, tunampongeza Hussein Mwinyi na tunamuunga mkono kwa urais mwaka 2025.
Dah!...Nimeikosa imoji ya dust binTunamtaka Majaliwa.
Katiba yetu ilifuatwa !Hongera Gen Mabeyo!Inawezekana wakubwa waliona MBALI.
Je ilikuwa ni sahihi KATIBA Ivunjwe na yeye akiwepo pale ??!!Point yako ni nzuri. Afande aombe radhi kwa kweli
Kama makamu wa rais uwezo wake ni mdogo ilikuaje akawa pale na sio akina Dkt Asha Rose Migiro na hata Prof Anna Tibaijuka? Huoni kwamba hilo ni tatizo la ccm sio la Jeshi? Au ccm ilimuweka pale kama pambo tu huku ikijua likitokea jambo yeye ndiye atakayemrithi boss wake?Angezingatia risk sssement ya ability ya mtu anaetaka kupewa nchi na mamlaka atakayokuwa nayo if she worth it kwa mustakabali wa taifa.
We unadhani kwanini hardcore republicans kama hakina Dick Cheney wapo tayari mwanamke wa kihindi kuwa raisi wao kushinda Donald Trump; nchi kwanza.
Katiba hairuhusu mtu kuuawa. Pia extrajudicial killing siyo usitaarabu wa kisasa. Huwezi kuua mtu uliyetofautiana naye mawazo. Kwanza mawazo huwa yanaishiAlitii kiapo cha kulinda Katiba.
Katiba sio msahafu.Katiba yetu ilifuatwa !Hongera Gen Mabeyo!
Funzo kwetu wakati wa Vetting ya kumpata mgombea mwenza .
Walitakiwa kumkataa kabla au baada ya kuwa makamu wa rais. Waliomkataa walikuwa wanautaka urais hivyo tatizo ni ccm sio Samia. Au wanauambia umma kuwa makamu wa rais ni pambo tu? Kama ndio wafute hicho cheo abaki rais pekee.Katiba sio msahafu.
Wakubwa waliomkataa waliona mbali.na walitaka kutuokoa na kitu sema tu hatkujua tukawaona wabaya.
Ndo Maputo sasaWalitakiwa kumkataa kabla au baada ya kuwa makamu wa rais. Waliomkataa walikuwa wanautaka urais hivyo tatizo ni ccm sio Samia. Au wanauambia umma kuwa makamu wa rais ni pambo tu? Kama ndio wafute hicho cheo abaki rais pekee.
Kama Samia hana uwezo basi ccm ndio wa kulaumiwa kwa kumuweka pale huku akiwa hana uwezo. Lakini yeye kuwepo pale sio kwa maamuzi yake bali ni utaratibu wa kikatiba na waliomuwezesha kufika pale ni hao hao wazee wa ccm. Kama hawamtaki wasubiri amalize muhula wake.
Hakuna cha kiapo nchi inateseka kwa sababu yakeMabeyo hakufanya makosa, as a soldier alifuata kiapo chake, as wanavyoapa kila anae jiunga na jeshi.
Why put the blame on him?
Hakuna cha kiapo nchi inateseka kwa sababu yake
Kawapa nchi wahuni na nchi inaongozwa kihuniUlitaka avunje KATIBA?
Mabeyo hakuwa na namna zaidi ya kufuata KATIBA.
Kinyume chake angekuwa mhuni na angeweka Historia mbaya kuwahi kutokea
Tanzania hakuna uchaguzi inamaana na hili hulijui yaani nimeshangaa na hili hulijuiSubiri Mwakani utachagua Mtu àmbaye hataitesa Nchi.
Acha kulaumu Watu Wanaofanya majukumu yao