General Muhoozi akishika madaraka tutafata Tanzania baada ya kuwa DRC wameisha, tujipange

Ha
Namba 4 na kuhusu vifaa vya kivitq vya kisasa, ongezea na kuboresha maslahi hasa kupindisha viwango kwenye incentive scheme ya jeshi, na nchi ijenge utamaduni wa kuwa na Rais Imara na sio Bora Rais
Hilo suala mkui umeongea. Kakwel mchakato wa waomba ridhaa ya kwenye vyama vyao uwe unapitiwa na vyombo vya usalama.
Hata mawaziri yaani hili likiachiwa CCM kusema kweli tutakuja juta.
 
Mkuu
Kweni wewe huioni Antihamitism inavyosambazwa na Jamii za Kihutu?! Hujui kama Ham na Sam ni ndugu?!
Mkuu hakuna suala kama hilo, kiufup tabia za viongoz wa kitutsi ktk mataifa haya EAC zinaonyesha itikad za umafia.
Ndo maana mimi huwa ninashauri kwamba huo mgogoro wa drc unaweza kuwaweka pabaya sana jamii ya kitutsi kwenye mataifa haya Africa.
Yaani wanafanya vituko kibaoo sana.
Hebu jaribu kuwaza kwamba kama jamii zisizo za kihima wangewatazama au kuwafanyia the same ingekueaje?
 
Unaongelea Tanzania ya Nyerere au hii ya machawa kinamwaijaku,diamond?
Ujasusi.. kwanini Tulia alikataa kwenda kuonana na rais wa Ukraine badala yake akaenda Russia? kwanini idara yatu ya ujasusi ili laumiwa sana? matokeo yake sasa hvi yapoje? ni kwamba idara yetu iliona hatma ya huu mgogoro? na kushauri aende russia badala ya ukraine?

Marekan na Tanzania ni kama tulikuwa na maono sawa tu kuhusu huu mgogoro
 
Tanzania tupo mwaka wa uchaguzi... Ngoja kwanza tumalize hili fupa letu
 
Yaani wanafanya vituko kibaoo sana.
Hebu jaribu kuwaza kwamba kama jamii zisizo za kihima wangewatazama au kuwafanyia the same ingekueaje?
Jana nilikuwa nimekaa na Kijana wa Kihutu kutoka Burundi katika maongezi aliniambia kuwa huko Burundi Watutsi wanauliwa KIMYA KIMYA wanasema ile style ya 94 Rwanda haifai bali inafanywa style mpya ya KIMYA KIMYA.

Na hautaona jamiii yoyote ya Kiafrika itakayosema kitu kama ilivyokuwa Mauaji ya Kimbari huko Rwanda UN Ufaransa Tanzania Kenya zote zilikaa kimya.

Mimi natoa ushauri kwa Jamii Kitutsi kuwa ijilinde na isaidiane kujilinda ndio maana kila siku nasema kuwa Rais Paul Kagame yuko sahihi kusaidia kuilinda Jamii yake inayomalizwa na Watu wenye roho mbaya.
 
Tanzania tupo mwaka wa uchaguzi... Ngoja kwanza tumalize hili fupa letu
Uchaguzi upi na mshindi anajulikana embu acheni kuleta sababu sababu.Toeni hoja bwana😂😂😂


Tz hadhi yake sio ya kuogopa kufanya mambo kisa uchaguzi. Kikongwe wa miaka 60+ bado anatoa sababu mufilisi kama hizo kweli???!!!!
 
Mk
Hivi magaidi ya Kiislamu yamayotaka Tanzania iwe Dola la Kiislamu na Watutsi wetu wa Tanzania wanaojichungia Mifugo yao nani ni "adui"?!
Mkuu ya sasa hain siri,kwahyo hiyo hulka ya kusaliti nchi unayoishi kisa ukabila ni ufala.
Imagine wamasaai,wakurya na wajaluo w tz n kenya ushawahi kuona wanahuishwa na huo ujinga?

Hilo swali lako sio la msingi sana, ila cha msingi nkwamba hakuna kitu ambacho hakipo waz, sema ndo hivo jamii zingine zimestaaribika. Dizain wanachukulia poa tuu kwahyo achen ndoto za mchana. Watu wasije amka hali ya hewa ikawa sio.
 
Mkuu hakuna haja ya kuchangiana. Ni uzalendo wangu tu na mapenzi yangu ya dhati kwa taifa langu.
 
Hakuna watutlsi wanaoweza kuuliwa wazijue kias kwamba mpaka usubir stor za vijiwen.
Wako very connected hata ushahidi wa picha zingewekwa waz.
Ukisem wanauawa kimyakmya bhasi ujue inawezekana hata wao wanaua kimyakimya hivohivo.
 
Uchaguzi upi na mshindi anajulikana embu acheni kuleta sababu sababu.Toeni hoja bwana😂😂😂


Tz hadhi yake sio ya kuogopa kufanya mambo kisa uchaguzi. Kikongwe wa miaka 60+ bado anatoa sababu mufilisi kama hizo kweli???!!!!
Hatuna maslahi ya moja kwa moja huko Congo, wao wenyewe hawaeleweki..
 
PK anawanyima usingizi hadi nyie waswahili ?
 
Zamani hapa Tanzania na haswa Tanzania ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kulikuwa hakuna chuki dhidi ya Watutsi lakini hii Trend ya kuchukia Watutsi ilikuja baada ya Vita vya Rwanda na Wakimbizi zaidi milioni 2 kuingia Bongo Country wakimbizi hao walikuwa wengi wao ni Wahutu kutoka Rwanda ndio tukaanza kuona Chuki dhidi ya raia wa Kitutsi ikiambukizwa kwenye Taifa letu pendwa la Tanzania.

Na sasa vizazi vya Wahutu hao vimeingia hadi majeshini na sehemu nyeti miaka ijayo Jeshi letu litakuwa linahusishwa sana na Vita za maziwa makuu juzi juzi Mkuu wa Majeshi alionya lakini i think it's too late, labda Lissu akiingia.
 
Hizo Nchi haswa Rwanda wanalipigia sana Promo Jeshi lao na Picha nyiingi kama Diamond ukiingia Insta mapicha kibao utadhani Wasanii TPDF huwezi kukuta picha zinapigwa Hovyo hovyo
 
Kweni wewe huioni Antihamitism inavyosambazwa na Jamii za Kihutu?! Hujui kama Ham na Sam ni ndugu?!
Undugu gani huo wa kuteka nchi na kuuwa. Uganda, Mtusi, Rwanda Mtusi, Congo mmeingia. Sasa mnaelekea Burundi. Baada ya hapo Tanzania itawekwa mtu kati. Mnataka kutawala Africa nzima ?
 
Shida sio wakimbizi. Mlikosea kumtungua Habyarimana na kuanzisha genocide 1994. Chuki ya watutsi haijifichi.
 
Hakuna watutlsi wanaoweza kuuliwa wazijue kias kwamba mpaka usubir stor za vijiwen.
Wako very connected hata ushahidi wa picha zingewekwa waz.
Ukisem wanauawa kimyakmya bhasi ujue inawezekana hata wao wanaua kimyakimya hivohivo.
Ni rahisi kukanusha hizo habari lakini organised state violence inaweza kufanywa kwa usiri mkubwa kama yale maandalizi ya mauaji ya Kimbari Rwanda Mapanga yalipelekwa KIMYA KIMYA nani aliyejua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…