General Muhoozi, mtoto wa Museveni kaitishia Kenya kwa mara ya pili

General Muhoozi, mtoto wa Museveni kaitishia Kenya kwa mara ya pili

Moronight walker

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2021
Posts
3,103
Reaction score
4,704
Kwa mara ya pili mtoto wa Rais wa Uganda, General Muhoozi kaitishia Kenya kwa mars ya pili, na kusema nitakuja for sure. Na anadai wakenya wamuombe msamaha yeye.

Screenshot_20230122-104145_Facebook.jpg

Mara ya kwanza Museveni aliomba Wakenya wamsamehe kijana wake ila kwa sasa kurudi tena.

Kwa sasa tweet hizi zimefutwa!

Screenshot_20230122-104200_Facebook.jpg
 
Kwa mara ya pili mtoto wa Rais wa Uganda, General Muhoozi kaitishia Kenya kwa mars ya pili, na kusema nitakuja for sure. Na anadai wakenya wamuombe msamaha yeye.

View attachment 2491068
Mara ya kwanza Museveni aliomba Wakenya wamsamehe kijana wake ila kwa sasa kurudi tena.

Kwa sasa tweet hizi zimefutwa!

View attachment 2491069
Hao ndio turufu za baba zao kurithi tawala zao wakishaenda zao
 
Keshaanza kujaza mabango ya kusaka urais

FfC_h4RWAAEP8t4

Yes hoja ni kujifanya haelewani na Baba yake lakini lao moja tu, utakumbuka alivoiabuse kenya mara ya kwanza alipandishwa rank na kua full general, sasa waganda hapo wanafanywa wajinga tu waingie kingi, na atakua Rais kweli sio utani, japo yote kwa yote sio picha nzuri kidiplomasia kutamka maneno kama hayo kwa full general hapo ni nusu ya kuivamia kenya au katangaza vita hivo naamini vyombo vya ulinzi kenya havijalala
 
Ni message ipi anajaribu kufikisha?
Yale majeshi ya kenya yalioenda kongo kulinda amani,plus kp kuonya washirika wa kongo wanaopiga a dhidi yao kule msituni!!!!

Halafu waO wakumuunga mkono Odinga badala ya Ruto!

Wale wa kuunga wameunga,kuna SIKU huyu dogo alipiga picha na pk wakichunga mang'ombe aina ya inyambo,aina ile ya ng'ombe naiona Sana karagwe KWA wanyankole wanyambo!

Pia kampeni ya kuelekea kushika HATAMU pale Baba atakapostaafu,M7 amenusa nyakati za yeye kuendelea haziruhusu KABISA!

Zama za madikteta DUNIANI zinaisha!


Fikra Huru Moja kati ya Hayo!
 
Muhoza anaanza vita vya maneno na anajaribu kufikisha ujumbe kuwa wao ni kizuizi kwa jambo fulani
 
Hehehe aje tu natamani sana mabinti wa Kiganda, kwanza wanavyopenda kufanya Squirting, mbona hamjataja hapo amesema hamuogopi hata baba yake, huyu dogo amekua mwiba kwa Museveni maana aliposema kitu kama hiki baba yake alimkaripia, sasa kasema tena....
All shabab tu mnawashindwa ndio mkapigane na Uganda? Mnatafuta balaaa nyie
 
Back
Top Bottom