Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siasa tu hizo!
Hakuna mental case hapo!
Wale jamaa wa mambo hayo wanajua fika Nini kijana wa mseven anafanya!
True behaviour ya mtu inatengenezwa na yale aliyoyapitia: lazima kila mwanajeshi atamani kupigana. Tazama Kagame, Kiduku, Putin et ceteraHuyu jamaa huwa ni mental case
Kuna siku watu wanaweza wakakudaka na kuanza kukugonga wasamilia wakataka kuingilia kukusaidia na wewe utawakataza na kuwaambia "waacheni, ni siasa tu hizi".Siasa tu hizo!
Hakuna mental case hapo!
Wale jamaa wa mambo hayo wanajua fika Nini kijana wa mseven anafanya!
On a serious note kuna Mtu aliye Jirani nae ( tena Mtu wa Press ya Baba yake ) nina Mawasiliano nae kanihakikishia kuwa Muhoozi Kainerugaba anavuta sana Bange na kuna muda pia huwa anakunywa Pombe Kali hadi anachanganyikiwa kufanya Vitendo ambavyo huwezi amini kuwa vinafanywa na Mtoto mkubwa wa Rais.Kwa mara ya pili mtoto wa Rais wa Uganda, General Muhoozi kaitishia Kenya kwa mars ya pili, na kusema nitakuja for sure. Na anadai wakenya wamuombe msamaha yeye.
View attachment 2491068
Mara ya kwanza Museveni aliomba Wakenya wamsamehe kijana wake ila kwa sasa kurudi tena.
Kwa sasa tweet hizi zimefutwa!
View attachment 2491069
On a serious note kuna Mtu aliye Jirani nae ( tena Mtu wa Press ya Baba yake ) nina Mawasiliano nae kanihakikishia kuwa Muhoozi Kainerugaba anavuta sana Bange na kuna muda pia huwa anakunywa Pombe Kali hadi anachanganyikiwa kufanya Vitendo ambavyo huwezi amini kuwa vinafanywa na Mtoto mkubwa wa Rais.
Ukweli ni kwamba Baba yake ( Mheshimiwa Rais Museveni ) hapendi na anachukizwa zaidi na haya ayafanyayo ila Kikwazo ni Mama yake Mzazi ( First Lady Janet ) ambaye anampenda Kijana wake huyo wa Kipekee kuliko Kitu chochote na ukitaka Kugombana nae mseme vibaya Muhoozi.
Nimalizie tu kwa Kuwatoa Hofu juu ya Kauli hizi za Kipuuzi za Muhoozi Kainerugaba ( Mtoto wa Rais Museveni wa Uganda ) na kwamba hakuna atakachoweza kukifanya kwa Kenya na nashukuru hajawahi Kuitaja Tanzania kwani hata Baba yake anaijua Tanzania hasa ilivyo imara Kijasusi na Kijeshi kuliko Uganda yake na jinsi ilivyomsaidia na inavyomsaidia kuwa hapo hadi hii leo.
Msameheni tu bure huyu Muhoozi Kainerugaba kwani kwa 99,9% hii siyo Akili yake bali ni Akili ya Mchanganyiko wa Bange na Pombe zake Kali za Urusi anazozipenda.
Nasema mental case sababu anajitekenya mwenyewe af anacheka yy na baba ake.. Huyo mtu wa hvo unadhan ana akili timamu, ulevi wa madaraka umewatoa akili hadi kutumia cheap tricks kiasi hicho kutaka kuja kuwarubuni wananchi wao.True behaviour ya mtu inatengenezwa na yale aliyoyapitia: lazima kila mwanajeshi atamani kupigana. Tazama Kagame, Kiduku, Putin et cetera
Mtu anajitekenya na kucheka mwenyewe tangu lini awe na akili timamu. Very cheap tricks wanatumiaSiasa tu hizo!
Hakuna mental case hapo!
Wale jamaa wa mambo hayo wanajua fika Nini kijana wa mseven anafanya!
Kama hali ndio Hiyo!On a serious note kuna Mtu aliye Jirani nae ( tena Mtu wa Press ya Baba yake ) nina Mawasiliano nae kanihakikishia kuwa Muhoozi Kainerugaba anavuta sana Bange na kuna muda pia huwa anakunywa Pombe Kali hadi anachanganyikiwa kufanya Vitendo ambavyo huwezi amini kuwa vinafanywa na Mtoto mkubwa wa Rais.