General Muhoozi, mtoto wa Museveni kaitishia Kenya kwa mara ya pili

General Muhoozi, mtoto wa Museveni kaitishia Kenya kwa mara ya pili

Ule uzi wa mkwara wa kwanza niliandika comments nyingi na msimamo wangu ni uleule. Uganda haiwezi kuipiga Kenya kiuchumi, kijeshi wala kidiplomasia.
Haina chochote, hata yangekuja mashindano ya ngono wasingefua chchote.
 
Daah anaetegemewa kuachiwa Urais ndio anakua hivyo Dunia ngumu sana hiii...kwa madudu aliyofanya Museveni kwa kutumia Jessica lake kutesa wapinzani msitegemee familia yake kuwa sawa...hapo bado mambo mengi yatajitokeza..
 
1673102305844.jpg
 
Yale majeshi ya kenya yalioenda kongo kulinda amani,plus kp kuonya washirika wa kongo wanaopiga a dhidi yao kule msituni!!!!

Halafu waO wakumuunga mkono Odinga badala ya Ruto!

Wale wa kuunga wameunga,kuna SIKU huyu dogo alipiga picha na pk wakichunga mang'ombe aina ya inyambo,aina ile ya ng'ombe naiona Sana karagwe KWA wanyankole wanyambo!

Pia kampeni ya kuelekea kushika HATAMU pale Baba atakapostaafu,M7 amenusa nyakati za yeye kuendelea haziruhusu KABISA!

Zama za madikteta DUNIANI zinaisha!


Fikra Huru Moja kati ya Hayo!
Kaka wanyambo tumeingiaje hapo
 
Mashababi jeshi la allah wenu hua sio rahisi kupigana nao maana hujitolea kufa ili wawahi mabikira walioahidiwa, hao kupigana nao kunahitaji na sisi tuahidiwe mabikira kama mlivyoahidiwa.
Jamaa wana akili za kikuda. Sasa mabikira watokee wapi huko jongomeo?🤔
 
Back
Top Bottom