Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
Ni message ipi anajaribu kufikisha?Siasa tu hizo!
Hakuna mental case hapo!
Wale jamaa wa mambo hayo wanajua fika Nini kijana wa mseven anafanya!
Dogo anatafuta jinsi ya kua Rais wa Uganda Kwa nguvu
Hao ndio turufu za baba zao kurithi tawala zao wakishaenda zaoKwa mara ya pili mtoto wa Rais wa Uganda, General Muhoozi kaitishia Kenya kwa mars ya pili, na kusema nitakuja for sure. Na anadai wakenya wamuombe msamaha yeye.
View attachment 2491068
Mara ya kwanza Museveni aliomba Wakenya wamsamehe kijana wake ila kwa sasa kurudi tena.
Kwa sasa tweet hizi zimefutwa!
View attachment 2491069
Keshaanza kujaza mabango ya kusaka urais
Yale majeshi ya kenya yalioenda kongo kulinda amani,plus kp kuonya washirika wa kongo wanaopiga a dhidi yao kule msituni!!!!Ni message ipi anajaribu kufikisha?
Ule uzi wa mkwara wa kwanza niliandika comments nyingi na msimamo wangu ni uleule. Uganda haiwezi kuipiga Kenya kiuchumi, kijeshi wala kidiplomasia.
Mchezo wa mseveni na mwanae huo ili waonekane hawaelewani, kisha 2026 mohoozi atagombea na Museveni agombea ndipo Muhoozi atamshinda Museveni ndio imetoka hiyo. Poleni waganda.Keshaanza kujaza mabango ya kusaka urais
Smart moveMchezo wa mseveni na mwanae huo ili waonekane hawaelewani,kisha 2026 mohoozi atagombea na mseveni agombea ndipo muhoozi atamshinda mseveni ndio imetoka hiyo.poleni waganda.
All shabab tu mnawashindwa ndio mkapigane na Uganda? Mnatafuta balaaa nyieHehehe aje tu natamani sana mabinti wa Kiganda, kwanza wanavyopenda kufanya Squirting, mbona hamjataja hapo amesema hamuogopi hata baba yake, huyu dogo amekua mwiba kwa Museveni maana aliposema kitu kama hiki baba yake alimkaripia, sasa kasema tena....
All shabab tu mnawashindwa ndo mkapigane na Uganda? Mnatafuta balaaa nyie