General Muhoozi, mtoto wa Museveni kaitishia Kenya kwa mara ya pili

Ule uzi wa mkwara wa kwanza niliandika comments nyingi na msimamo wangu ni uleule. Uganda haiwezi kuipiga Kenya kiuchumi, kijeshi wala kidiplomasia.
Haina chochote, hata yangekuja mashindano ya ngono wasingefua chchote.
 
Daah anaetegemewa kuachiwa Urais ndio anakua hivyo Dunia ngumu sana hiii...kwa madudu aliyofanya Museveni kwa kutumia Jessica lake kutesa wapinzani msitegemee familia yake kuwa sawa...hapo bado mambo mengi yatajitokeza..
 
Kaka wanyambo tumeingiaje hapo
 
Mashababi jeshi la allah wenu hua sio rahisi kupigana nao maana hujitolea kufa ili wawahi mabikira walioahidiwa, hao kupigana nao kunahitaji na sisi tuahidiwe mabikira kama mlivyoahidiwa.
Jamaa wana akili za kikuda. Sasa mabikira watokee wapi huko jongomeo?🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…