Haaa haaa Bibie wa Lumumba unapenda ligi.Kwa faida yako na wengi nilikuwa Finance Division so nilikuwa naona transactions nyingi sana mambo yalipozidi kuharibika nikatimua mbio mwaka haukumalizika mlango ukarudishiwa ajira zikazikwa na serekali ikakosa kodi mbali mbali eg VAT,PAYE,Corporate tax,withholding tax & Import duty.
Nimezungumzia direct employment bado kulikuwa na indirect employment eg makampuni ya usafirishaji tyres,makampuni ya kutoa huduma za chakula kwa wafanyakazi,makampuni ya usafi,makampuni ya clearing & forwarding,makampuni ya kushona nguo za wafanyakazi,viatu (magereza Moshi)makampuni ya ndani yaliyokuwa yakiuza raw material kwaajili ya ya kuzalisha tyres eg chokaa,mpira wa Morogoro na Tanga na nk.
Ngoja nikupe list ya managers wa wakati huo.
1.CEO Devendrah Lohani raia wa Marekani mwenye asili ya Nepal.
2. CFO Mfundo akitokea SERENA Hotels & Lodges akatimuliwa kazi kwa fitina za kijinga.Wajerumani walitaka kiwanda kiendeshwe na mzawa huyu alikuwa na nafasi kubwa ya kuchukua mikoba ya CEO.
3. Fianance Manager Rose Soloka mwanamama mwenye CPA lakini mjinga kuliko maelezo huyu baada ya mfundo kuondoka nafasi ya CFO haikujazwa majukumu yote yakapelekwa kwake kiwanda kilikufa kwasababu yake kwakuwa hakuwa akiingia kwenye bodi so akiambiwa kila kitu anapitisha kwa matumaini siku moja angekuwa Chief Financial Officer matokeo yake u$ 10 million za NSSF zilitafunwa kupitia mkono wake.Baadae akatimkia Tanzania Investment Bank nilishiriki kuandika barua ya kuionya TIB baada ya mwaka mmoja akatimuliwa.ukitaka nikutumie majibizano yangu na HR TIB niambie nitakutumia ujue sikuwa na utani watu wapuuuzi.Siku hizi nasikia yuko BOT kimya hataki watu wajue nikipata uhakika nitaandika barua kuelezea madhambi yake kwa kina.
4. Sales Manager Philip Mwete mwalimu kwa taaluma huyu nae ni mjinga mwingine hakuwa na ujuzi wa kazi ya mauzo matokeo yake ilikuwa ni kuwapiga vita vijana wenye proffessional zao.Ukiajiriwa akagundua una taalama ya masoko hakika atakupiga majungu mpaka utakoama.
5. Procurement Manager Rodgers Sabuni duh alifanyakazi asiokuwa na ujizi nayo lakini hakuwa mwizi.
6. Factory Manager T Mnzava mwalimu wa chuo cha ufundi Arusha maneno mengi utendaji mdogo.
7. Marketing Manager Kati Kerenge Naweza kusema pasipo shaka yoyote huyu ndio manager aliyekuwa na uwezo asiyependa majungu mchapakazi alikimbia baada ya kushindwa mizengwe ya CEO.
Bibie bado unataka niendelee.
Hii kauli ya
Ngongoo inaonesha kuwa umedanganya, mengine porojo zake.