General Tyres Tanzania ilivyohamishiwa Kenya na kuitwa YANA tyres!

General Tyres Tanzania ilivyohamishiwa Kenya na kuitwa YANA tyres!

Kwa kweli viwanda ni vingi sana mwatex kile cha tanbond na pride vyote vimeenda na maji kwa fikra za wasaka tonge na bado wengine wanaonekana ni resource person na think tank ktk taifa letu
 
Kwa anaye fahamu sababu ya kuiba vinu vya kutengeneza matairi ya ubora wa hali ya juu kutoka kiwanda maarufu Nchini na Duniani kilichokuwepo Arusha juzi juzi tu cha General tyres na kuvihamishia Kenya ambapo wanavitumia kutengenezea matairi ya Yana tyres then wanakuja kutuuzia hayo matairi huku Tanzania, nini chanzo?

============================

==========================================

==================================

=====================================

Hii kauli ya Ngongoo inaonesha kuwa umedanganya, mengine porojo zake.

Mkuu Mimi niliwahi kufanyakazi General Tyre so kila hatua ya kuifisadi na kuizika niliiona kwa macho yangu mawili.

Kwanza nakunusha kwa sauti kubwa hakuna mold (kinu) cha kupika tyre kilichohamishiwa Yana Kenya.
 
Last edited by a moderator:
Haaa haaa Bibie wa Lumumba unapenda ligi.Kwa faida yako na wengi nilikuwa Finance Division so nilikuwa naona transactions nyingi sana mambo yalipozidi kuharibika nikatimua mbio mwaka haukumalizika mlango ukarudishiwa ajira zikazikwa na serekali ikakosa kodi mbali mbali eg VAT,PAYE,Corporate tax,withholding tax & Import duty.

Nimezungumzia direct employment bado kulikuwa na indirect employment eg makampuni ya usafirishaji tyres,makampuni ya kutoa huduma za chakula kwa wafanyakazi,makampuni ya usafi,makampuni ya clearing & forwarding,makampuni ya kushona nguo za wafanyakazi,viatu (magereza Moshi)makampuni ya ndani yaliyokuwa yakiuza raw material kwaajili ya ya kuzalisha tyres eg chokaa,mpira wa Morogoro na Tanga na nk.

Ngoja nikupe list ya managers wa wakati huo.

1.CEO Devendrah Lohani raia wa Marekani mwenye asili ya Nepal.

2. CFO Mfundo akitokea SERENA Hotels & Lodges akatimuliwa kazi kwa fitina za kijinga.Wajerumani walitaka kiwanda kiendeshwe na mzawa huyu alikuwa na nafasi kubwa ya kuchukua mikoba ya CEO.

3. Fianance Manager Rose Soloka mwanamama mwenye CPA lakini mjinga kuliko maelezo huyu baada ya mfundo kuondoka nafasi ya CFO haikujazwa majukumu yote yakapelekwa kwake kiwanda kilikufa kwasababu yake kwakuwa hakuwa akiingia kwenye bodi so akiambiwa kila kitu anapitisha kwa matumaini siku moja angekuwa Chief Financial Officer matokeo yake u$ 10 million za NSSF zilitafunwa kupitia mkono wake.Baadae akatimkia Tanzania Investment Bank nilishiriki kuandika barua ya kuionya TIB baada ya mwaka mmoja akatimuliwa.ukitaka nikutumie majibizano yangu na HR TIB niambie nitakutumia ujue sikuwa na utani watu wapuuuzi.Siku hizi nasikia yuko BOT kimya hataki watu wajue nikipata uhakika nitaandika barua kuelezea madhambi yake kwa kina.

4. Sales Manager Philip Mwete mwalimu kwa taaluma huyu nae ni mjinga mwingine hakuwa na ujuzi wa kazi ya mauzo matokeo yake ilikuwa ni kuwapiga vita vijana wenye proffessional zao.Ukiajiriwa akagundua una taalama ya masoko hakika atakupiga majungu mpaka utakoama.

5. Procurement Manager Rodgers Sabuni duh alifanyakazi asiokuwa na ujizi nayo lakini hakuwa mwizi.

6. Factory Manager T Mnzava mwalimu wa chuo cha ufundi Arusha maneno mengi utendaji mdogo.

7. Marketing Manager Kati Kerenge Naweza kusema pasipo shaka yoyote huyu ndio manager aliyekuwa na uwezo asiyependa majungu mchapakazi alikimbia baada ya kushindwa mizengwe ya CEO.

Bibie bado unataka niendelee.

Hii kauli ya Ngongoo inaonesha kuwa umedanganya, mengine porojo zake.
 
Haaa haaa Bibie wa Lumumba unapenda ligi.Kwa faida yako na wengi nilikuwa Finance Division so nilikuwa naona transactions nyingi sana mambo yalipozidi kuharibika nikatimua mbio mwaka haukumalizika mlango ukarudishiwa ajira zikazikwa na serekali ikakosa kodi mbali mbali eg VAT,PAYE,Corporate tax,withholding tax & Import duty.

Nimezungumzia direct employment bado kulikuwa na indirect employment eg makampuni ya usafirishaji tyres,makampuni ya kutoa huduma za chakula kwa wafanyakazi,makampuni ya usafi,makampuni ya clearing & forwarding,makampuni ya kushona nguo za wafanyakazi,viatu (magereza Moshi)makampuni ya ndani yaliyokuwa yakiuza raw material kwaajili ya ya kuzalisha tyres eg chokaa,mpira wa Morogoro na Tanga na nk.

Ulikuwa mmoja wao sasa unataka kujisafisha tu, sema kweli tu, kwanini huku whistle blow siku hizo uje kuyasema leo?
 
Dah wakuu! Vizazu vyetu vitateseka kuliko sasa hivi tusipokua na nia ya dhati vijana kuungana na kufanya mapinduzi
 
Ng'ongo umenikuna!

Nilfanya kazi pia hapo.

Deven Ndio alikiuua hiki kiwanda. Alianzisha branch ambazo haikuwa na mbele wala nyuma Ili aendelee kula Bata. Kila branch alikuwa Na totoz!

Jamal alipenda starehe! Na akajaza watu wake waliokimalizia kiwanda Kabisa.
 
Ungesoma magazeti ya mwanahalisi ya wakati huu labda ungenielewa.Mimi ndio nilimfanya Devendrah akakimbia Tanzania nasema mimi tena bila kificho.Mimi ndio niliandika barua Tanzania Investment Bank Rose Soloka akatimuliwa.Tangu atimuliwe kahakikisha ajira yake inakuwa siri yake na mumewe.

General Tyre ilikuwa na wafanyakazi 300 makao makuu kwa nafasi yangu nilitetea ajira ya wafanyakazi ambao wengi kwa uelewa mdogo walikuwa wakilaani sana kila article ya kuponda uongozi wa GT ilipotoka kwenye magazeti mbali mbali ilifika hadi chama cha wafanyakazi kikawa kinajibu hoja zangu.

System ya nchi ilikuwa imelala laiti wangechukua hatua mapema hakika leo tungekuwa tunatembelea magari yetu na tyre general.

Ulikuwa mmoja wao saa unataka kujisafisha tu, sema kweli tu, kwanini huku whistle blow siku hizo uje kuyasema leo?
 
Ngongo umeniacha hoi ....na Kwa kweli unawajua watu.

Sifa ulizowapa mameneja za kweli Kabisa .

Umeniacha hoi Kwa Sabuni .....na bado yupo na umaskini wake...

Hebu endelea.........Mkuu
 
Ni kweli jamaa alikuwa mpenda totoz mbaya sana nilikuja pewa story moja deals wa tyres walipogundua akila alipoenda kuwatembelea walimwandalia kigoli kidogo basi hata kama mtu anadaiwa utashangaa unapeta tu.

Ng'ongo umenikuna!

Nilfanya kazi pia hapo.

Deven Ndio alikiuua hiki kiwanda. Alianzisha branch ambazo haikuwa na mbele wala nyuma Ili aendelee kula Bata. Kila branch alikuwa Na totoz!

Jamal alipenda starehe! Na akajaza watu wake waliokimalizia kiwanda Kabisa.
 
Ungesoma magazeti ya mwanahalisi ya wakati huu labda ungenielewa.Mimi ndio nilimfanya Devendrah akakimbia Tanzania nasema mimi tena bila kificho.Mimi ndio niliandika barua Tanzania Investment Bank Rose Soloka akatimuliwa.Tangu atimuliwe kahakikisha ajira yake inakuwa siri yake na mumewe.

General Tyre ilikuwa na wafanyakazi 300 makao makuu kwa nafasi yangu nilitetea ajira ya wafanyakazi ambao wengi kwa uelewa mdogo walikuwa wakilaani sana kila article ya kuponda uongozi wa GT ilipotoka kwenye magazeti mbali mbali ilifika hadi chama cha wafanyakazi kikawa kinajibu hoja zangu.

System ya nchi ilikuwa imelala laiti wangechukua hatua mapema hakika leo tungekuwa tunatembelea magari yetu na tyre general.

Unajisifu kuuwa kiwanda?

Unanchekesha!
 
Mkuu Kimsingi umekubali sema huwezi kuwa wazi humu

Nimekubali nini?

Mtu anakuja anajisifu yeye kamuondosha aliyekuwa anaendesha kiwanda, baada ya hapo nini kimetokea? yeye si alibaki?

Hivi huwa mnaelewa mnachokisoma au hamuelewi, hizo porojo nyinyi mnazikubali, Kajiingiza mkenge mwenyewe na kashindwa kujibu hilo, eti "umekubali". Nimekubali nini? huu ujinga?

Nani asiyejuwa viwanda vimeuliwa na nani? ni haohao waliopewa fursa za upendeleo za kusomeshwa kwa kuchaguliwa leo wanakuja kulalamika.

Juzi Kikwete kawapa live Dodoma.
 
Ccm inamakandokando mengi sana
Wenyewe wanasingizia Glabalization; ati tatizo hili lipo kila pahala duniani. watakupa tshert Ilioandikwa chagua CCM. safari hii tutapigia deki Tshert za kinani leteni tu mana watu hawako bungeni bize kuweka mikakati.
 
Muulizeni Basil Pesambili Mramba , zile U.S.$ 10 million kutoka NSSF serikali ilizodhaminia General tyre zilikwenda wapi? Huyu mzee ana kesi nyingi sana za kujibu zaidi ya hiyo moja waliyompeleka nayo mahakamani!!
 
Pale juu ya Kiltex (Kiwanda cha Kiko- Mitemba) kuna Kanisa jipya limefunguliwa. Wanachama wake wengi wao wako viziri

Juu yake pia kuna kiwanda sijui ni Super food au Baby food nacho kimebaki magofu
Baada ya Breweries kuna Chemi Cotex sijui nacho kama kinafanya kazi au yamebaki majengo ya ofisi za godown za kuhifadhia vitu
 
Ngongo

Samahani kaka mkubwa naomba unijuze tu!! Hivi kiwanda kilichokuwa jirani wa kiwanda cha General Tyre cha KILITEX kilichokuwa kinatengeneza nguo kipo au nacho ndo tumeshakula mtaji??

mkuu kilitex nilifanya kazi pale 2007 aliuziwa Mohammed dewj
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom