General Venance Mabeyo kakosea kusimama kulia kwa Rais Samia. Mwanajeshi senior anakaa kulia kwa junior

Acha hizo bhana. Mama yuko vyema sana
 
Usikariri Mleta Mada, Mfano Police Wao Wanapiga Salute Wote
Picture Haina Nongwa Yoyote
 
Hii ni forum ya hoja na siyo maswali. Lete hoja siyo maswali ambayo huna majibu nayo.

 
atakua alimtuma aongee jambo kwa waliombele yoa.
maana nimeona kuna picha ya walivyokaa kwenye viti utaratibu ulifuatwa.

mkubwa anaweza kumtuma mdogo asimame mbele kwajili ya kuwaambia jambo au kuwaweka sawa.
baadae mkubwa anapita mbele au kulia na mdogo anarudi nyumba au kushoto na mkubwa anaendelea.

au unasemaje mkuu.
 
Mkuu,
Kwa utani unaongoza.

Anyway, hoja yako nzuri.

 
Hii ni forum ya hoja na siyo maswali. Lete hoja siyo maswali ambayo huna majibu nayo.
Umeandika kwa hisia badala ya kuweka facts, ndio maana maswali yanaibuka.

Kwa wema tu lakini ,siyo kwa kukupinga afande mheshimiwa inspekta wa kanda maalumu na mbobezi wa masuala ya kupambana na rushwa na kudhibiti madawa ya kulevya kwa wanawake, vijana na watoto wa umri chini ya mika 8.

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji1787]
 
Lakini Mkubwa anajulikana ni nani
 
kwa ninavojuwa mimi hiyo picha ipo sahihi, ki urais huwa ni kwamba protocal inasema endapo rais anasimama na watu basi hao watu wakae upande wa mwanzo na Rais akae mwisho yani mdogo akae kushoto na Rais kulia
kuna siku wakati Magufuli ni Rais pale ikulu wakati wa picha ya pamoja kuna kiongozi alienda kusimama kulia kwa Rais akatolewa,pia ukiwa Rais alafu nyumbani kwako wamekuja wageni basi ki protocal anaanza kusimama mke wako upande wa kulia kwako ili aanze yeye kuwakaribisha wageni
 
USIWE KILAZA HIVI MME ANASIMAMA KULIA AU KUSHOTO?


 
Sorry mkuu, unasema picha ipo sahihi, lakini mbona maelezo yako tena yanaikosoa picha hiyo hiyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…