Anaekaa kulia ni yule anayepokea salute na kupiga salute namaanisha kutoa heshima na kupokea heshima hvyo kwa kuwa wamesimama mpokeaji na mtoaji heshima ndio hukaa kulia.
Unapopokea na kutoa salute mkono unatakiwa kuwa huru. Kwa mfano labda General Mabeyo kaenda kambini akiwa na nguo za kiraia halafu wakawa wanatembea kwa pamoja na one star general ambaye amevaa kijeshi basi one star general atakuwa kulia kwa four star general na atapokea heshima zote zitakazotolewa na walio chini yao kivyeo na hata za two or three star general salute zao zitapokelewa na one star general anaeongozana na mkubwa wao.