Generali Ulimwengu: Miaka 60 baada ya uhuru tuna rais mfalme hawajibiki kwa mamlaka yoyote

🀣🀣🀣🎯
 
Enzi Jenerali Ulimwengu akiwa Mkuu wa Wikaya ya Ilala, Wilaya iliongoza kwa rushwa, uchafu na barabara mbovu
Mkuu kwani sasa hivi katika wilaya (Jiji sasa) rushwa imeisha??? Uchafu umeisha??? Na barabara zote zimekuwa nzuri???
 
Really ????

Kwamba technically Katiba yetu haionyeshi ni vipi Wabunge wanaweza kumuondoa President ? Ofcourse practically ni vigumu (kama ilivyo kwa nchi nyingi) ila technically its possible...
Mkuu nasisitiza tatizo sio katiba, bunge wala mahakama bali watanganyika wenyewe!
 
πŸ™‹β€β™‚οΈβœοΈπŸŽ―πŸ’‰πŸ‘ŒπŸ‘πŸ‘πŸ‘ŠπŸ€πŸ™πŸŽ–οΈ
 
πŸ™‹β€β™‚οΈπŸ“βœοΈπŸŽ―πŸ’‰πŸ€πŸ™πŸŽ–οΈ
 
πŸ™‹β€β™‚οΈβœοΈπŸŽ―πŸ’‰πŸ‘ŠπŸ‘πŸ‘πŸ‘ŒπŸ€πŸ™πŸŽ–οΈπŸ›‘οΈ
 
Kama alivyofanya yule wa Chato,katuachia genge la wahuni mjengoni wanapitisha kila urojo unaoletwa na serikali kwa vile waliingizwa mjengoni na dola na siyo wapiga kura na kwa maana hiyo utii wao ni kwa serikali iliyowapa ulaji.
πŸ™‹β€β™‚οΈπŸ’‰πŸŽ―πŸ€πŸ™
 
πŸ€πŸŽ–οΈπŸ‘‘πŸ›‘οΈ
 
Mzee ulimwengu ni mmoja wa wabunge waliounda umoja ulioitwa G-55 ambao ulianzisha hoja ya kuwepo serikali ya Tanganyika. Hivyo mzee Ulimwengu hakuwa kijana wa mwalimu Nyerere.
πŸ‘πŸ‘πŸ‘ŠπŸ€πŸ™
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ€πŸ™
 
Huyu anazeeka vibaya

Magu alikua mbaya kwake
Mkapa pia alikua mbaya kwake
Samia ni mbaya kwake

ILA yeye tu ndio mzuri kwa umma

Afya ya akili

Kwani Rais wako anawajibika kwa nani???
 
Mtu anayekuambia kaboka lako limetoboka makalioni anakuwa mbaya?
Hapana ni mwema sana

Δ°la mtu
Challenges ipi hapo au upuuzi tu huo? Huwa nasema siku zote shule za kata ni tatizo zinazalisha wajinga wengi
kabisa

Na mmeongezeka sana miaka yetu wapuuzi design yako hawakufika mbali

Actually the biggest problem sio tu shule za kata, Bali mitandao kuwa accessible to people like you
 
Una akili kiduchu sana mkuu.
Anaingelea kiti au mamlaka ya rais na sio mtu.

Hata mimi na wewe tukiwa marais bado katiba hii itatufanya tuishi kama wafalme kwa vile hakuna mamlaka iliyopewa uwezo kumwajibizha rais.
Sema Tuna akili kiduchu sana

Wa juzi hamuwezi kunielewa

Labda mngekua ni wa muda kama sisi

Kuna watu wakikosa lazima iwe drama
 
Steven nyer.ere hahahaha
Yani mkuu suala la kusikitisha hapo kuna dotto magari, stivu mengele, na bongo ndio wazee watakao kuwa wanasikilizwa...
Naogopa nchi yetu inaenda kwenye mkwamo mmoja wa hatari na mbaya sana.
 
Ufalme wala sio mbaya nchi nyingi za kifalme maisha super, Hawa wazee wa fursa tu wakiwa kwenye mifumo kimyaa wakitolewa tu wao na vizazi vyao basi ndio wanaamka usingizini. Fake people
 
Si kweli!
Baraza la mawaziri wanaweza kumuondoa rais madarakani.
Na kwa mujibu wa ibara ya 56A ya katiba, Bunge linaweza kumuondoa rais madarakani.
P
Utakumbuka hata juzi kati mzee warioba alipata kusema serikali iliteka mihimili mingine yoote.
Hii yoote inawezekana kwa sababu ya nguvu ya rais.
Yaani watu wote wanaosimamia hivyo vyombo wanawekwa na kaondolewa na rais muda wowote akitaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…