Generation "Z" Wanajipa Umuhimu Wasiokuwa Nao..."Stay Humble Guys"

It depends na jamii wanayotoka gen z, hawafanani duniani kote but ndio kizazi kitakacho take over like it or not. After gen y , gen z are next on the list and they know this. Currently gen z wanachofanya ni kutafuta nafasi yao kwenye jamii , so far wameshajua wanafit wapi ni suala la muda before they go for total push
 
Generation zilizotangulia kabla ya Gen Z ni kujipendekeza na kuramba watu matako wana uchu na wachoyo na hawapendi kubadilika Walau hiyo generation ya Silent (1928-1945) hawa walikua watu na nusu ! Maana walijimwambafai hawakukaa kinyonge! wakatuwekea mifumo fulani ambayo waliona itatupeleka.

Generation zilizofata sasa ni uchungu asee🤣🤣

Tena bora generation zote ila hii Generation x (1965-1980) sijui kwa sababu kuna chanjo mlizikosa na mkakumbana na vipindi vya ujamaa na migogoro ya USSR huko aseee mna kujipendekeza sana , wizi , na ubinafsi achilia mbali mambo ya taifa ila hata tu michongo ya kawaida biashara na fursa mnabana sana yaani ukiona mtu anasuffer au anateseka kupata kitu hapo ndo furaha yao ilipo manina zenu 🤣 Fungueni mioyo hiyo msaidie wengine toa hayo maarifa.

Generation Z nao vinuka mkojo tu ila angalau hawapendi kuonewa tu

Hello Generation Y 💥💥
 
Hiyo ni dalili ya uzee kiongozi, Kubali umri umeenda hauwezi kushindana na watoto wa 2000😄😄 hata wazee wa miaka ya 60' walijipinda kushindana na vitoto vya 80's mwishowe wakakubali muda wao umepita! Vivyo hivyo GenZ utafika wakati nao watalalama kama wewe😄😄😄


#TimeIsABitch
 
Wanakuja na strategy mbovu ya kuwadharau waliotangulia. Wafahamu Generation "Y" bado ipo sana sokoni amost miaka 30 ijayo ndo itakuwa redundant kiasi cha kushindwa kufight. Na ubaya ni kwamba GenY ndo imeshika makali kwa sasa kote duniani, so madogo waje kwa adabu wana deal na kizazi chenye uzoefu wa ANALOJIA na DIJITALI na hakijazeeka ni middle agers. Ukileta mkono wanaleta panga lililonolewa!
 
Infact sijazeeka sana at 37 huwezi kusema nimezeeka ila hivi vitoto vinajikuta sana yaani upambane na majamaa wa age yangu utasubiri sana...maana kama ni Serikalini hayatoki leo au kesho na ndo majority yanayofanya maamuzi...ukileta mkono yanaleta shoka GenZ waache zarau
 
Muda + Mabadiliko ni vitu vyenye nguvu sana, hauwezi kushindana navyo mkuu. Kuna changes hata kama hauzipendi inakulazimu kukubaliana nazo! Usishangae wao ndiyo wakawa chachu ya mabadiliko makubwa sana kiuchumi na kisiasa hapa Tz
 
Kwa mujibu wa utafiti upi? Unaoonesha kwamba kuna generational variation based on continent...weka hapa tujifunze.
Hizo generations ni generations zilizoandikwa na wa Marekani, kutokana na matukio yaliyotokea katika jamii ya Marekani, kwa kuendana na miaka iliyokuwa na maana katika jamii ya Wamarekani, na zina maana fulani katika jamii ya Wamarekani.

Kwa mfano.

Baada ya Vita vya Pili vya Dunia, wanajeshi wa ki Marekani waliorudi kutoka vitani walizaa sana watoto, na kusababisha ongezeko kubwa la watoto (Baby Boom). Kwa hivyo, watoto waliozaliwa kuanzia mwaka 1946 mpaka 1964 wanaitwa "Baby Boomers". Na hao wameenda kuishi kwa historia tofauti sana na vizazi vingine.

Sasa hapa Tanzania utamuita mtu aliyezaliwa 1946 "Baby Boomer" wakati hana historia sawa na hao wenyewe?

Mbona tunagezea majina ambayo kimantiki hayatuhusu na wala si yetu?

 
Generation Z haina tofauti sana all over the world. GenZ ni essence ya 4IR ambayo ni development ambayo ni global tofauti na other revolutions kv Agrarian and Industrial ambazo zilikuwa kwenye mabara ya Magharibi...Unapozungumzia GenZ unazungumzia tofauti ndogo sana toka continent moja hadi nyingine...bandiko lako bado halioneshi tofauti ya kimabara ktk kuitafsiri GenZ
 
Generation Z ni nini? Kwa nini imekuwa Z na si A? Historia yake imeendaje? Nani kaipa hilo jina?

Hizo 4IR kijana wa Malampaka anazijua?
 
Actualy gen x is still in charge, na hawa ndio waasisi wa mifumo kwa hapa nchini.
Gen z however , kutokana na kuwa na wasomi wengi, they find out kwamba gen x waliweka mifumo ya kijima. Mifumo ambayo imekuwa ealsy manipulated ili kujinufaisha
Mifumo hii ina loop holes nyingi, na wana blame gen x even gen y ambayo wameikuta lakini hawakuchukua hatua wakakaa kimya

Yes probably hawana morals kama za watu wa zamani, but they have a point, and wana question mamlaka, wana question vizazi vya nyuma why did they let it slides? Why hawakufanya changes mpaka wakawa opressed?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…