Generation "Z" Wanajipa Umuhimu Wasiokuwa Nao..."Stay Humble Guys"

Generation "Z" Wanajipa Umuhimu Wasiokuwa Nao..."Stay Humble Guys"

Hiyo ni dalili ya uzee kiongozi, Kubali umri umeenda hauwezi kushindana na watoto wa 2000[emoji1][emoji1] hata wazee wa miaka ya 60' walijipinda kushindana na vitoto vya 80's mwishowe wakakubali muda wao umepita! Vivyo hivyo GenZ utafika wakati nao watalalama kama wewe[emoji1][emoji1][emoji1]


#TimeIsABitch
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliii!!!
 
Back
Top Bottom