Generation "Z" Wanajipa Umuhimu Wasiokuwa Nao..."Stay Humble Guys"

Generation "Z" Wanajipa Umuhimu Wasiokuwa Nao..."Stay Humble Guys"

Generation Z ni nini? Kwa nini imekuwa Z na si A? Historia yake imeendaje? Nani kaipa hilo jina?

Hizo 4IR kijana wa Malampaka anazijua?
Sio kilakitu cha kujifanya mjuaji mzee huna hoja ya maana katika hili.
 
Actualy gen x is still in charge, na hawa ndio waasisi wa mifumo kwa hapa nchini.
Gen z however , kutokana na kuwa na wasomi wengi, they find out kwamba gen x waliweka mifumo ya kijima. Mifumo ambayo imekuwa ealsy manipulated ili kujinufaisha
Mifumo hii ina loop holes nyingi, na wana blame gen x even gen y ambayo wameikuta lakini hawakuchukua hatua wakakaa kimya

Yes probably hawana morals kama za watu wa zamani, but they have a point, and wana question mamlaka, wana question vizazi vya nyuma why did they let it slides? Why hawakufanya changes mpaka wakawa opressed?
Nakubaliana na wewe kwa 95%... Hivi vizazi viwili yaani Gen X na Y ni kidada kwa hiyo madogo wa GenZ wazingatie kuwa na adabu maana wanadili na kizazi chenye kiburi na kinajua hakina gap kubwa la maarifa na wao GenZ...worse enough hao Y na Z ndo wapo kwenye usukani...hawa bila diplomasia harakati zitawashinda madogo!
 
Back
Top Bottom