HekimaFive things tu ungepewa nafasi ya kuwa navyo ni nn
DJ sepetu
Hakuna hicho kitu sio kwa kero hizooWanaume tunaogopa sana kama mume mwenzangu yupo hai. Tunaamini kuwa mapenzi hayaishagi. IPO siku mtapeana tena.
Geni! Wahenga walisema" mapenzi ya mjini hayaishagi" Mungu akuepushe.
Haleluya!Douta naomba unikumbuke kwenye maombi pepo la tamaa linikimbie..Maneno yako yanachoma
Hahahaaaa!! Binti yangu namuaminia, hawezi.Yani wewe na baba watoto wako mko sawa..Basi mkanye na mwanao siku hasije akajiachia mpaka akatoa siri za familia
Eti umesema!!!!Bi mkubwaa!!!!...Tangu lini shetani akakemea mapepo??
Majukumu mama.Twende tu kule,kuna ngoma nzuri balaa sijui umepotelea wapi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ni kweli hiyo 99% ni too much,wengine fujo nyingi tulifanya sana na kuzimalizia early twenties,hakuna kigeni so hakuna sababu ya kuchepuka,afterall ukiwa na mwanamke anaejielewa smart kichwani uchepuke ili iweje,sana sana ni kujitafutia premature death tu.Duh 99% juu sana....hapo nimebaki mimi tu!
Moyo bado haujapondeka, ndio niko tuition ya kuuponda.
Aahh!wapi?!!hizo theories tu haziw kweliGeni! Wahenga walisema" mapenzi ya mjini hayaishagi" Mungu akuepushe.
Sipendi utajiri napenda niwe na maisha ya kawaida!!Mali je
DJ sepetu
wewe utakua mhenga bila shaka.kasheshe nying ndio ziliko lala
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ngoja nilaleMoyo bado haujapondeka, ndio niko tuition ya kuuponda.
Usiku mwema mama.
teh..teh..wengine wanafananisha na mitishamba [emoji28] [emoji28] sijui we unafananisha na vitu gani[emoji28] [emoji28] [emoji28]