Geniveros interview on muosha rungu live show!

Geniveros interview on muosha rungu live show!

Duh 99% juu sana....hapo nimebaki mimi tu!
ni kweli hiyo 99% ni too much,wengine fujo nyingi tulifanya sana na kuzimalizia early twenties,hakuna kigeni so hakuna sababu ya kuchepuka,afterall ukiwa na mwanamke anaejielewa smart kichwani uchepuke ili iweje,sana sana ni kujitafutia premature death tu.
cc geniveros
 
Hongera Geniveros kwa kukataa ndoa ya manyanyaso, wanawake wengi wapo kwenye ndoa za mateso lakini hawana uthubutu wa kutoka.....
Single moms nao wanapondwa kila kukicha kwa kuamini kuwa wanajitakia wenyewe.... .naamini Mwenyezi Mungu ana makusudi na maisha yako nasi tunazidi kukuombea uishi kwenye ndoa yenye amani furaha na upendo[emoji120]
 
Back
Top Bottom