Geniveros interview on muosha rungu live show!




hahahha [HASHTAG]#ngosha[/HASHTAG] again
 
Bongo bahati mbaya mamaa[emoji23] [emoji23]

DJ sepetu
 
Hahaa shikamoo ngoshaz
C.c MBITIYAZA

Binamu hakunaga cha mtu kuchepuka na kukuheshimu, hiyo heshima ndo ya aina gani? Na hata huyo ambaye leo amekuwa a serial unrepentant cheater na yeye alianza na hiyo "kuchepuka kwa heshima". Heshima ya mwenzi wako kwako ni pale ambapo haupo naye na still anakulindia heshima yako
 


UMEMALIZA YOTE ! na kale kamsemo mwanamke mjinga' kananiudhiiiiiiiiii !
 


hahaah majangaz! Heaven Sent atleast asikuoneshee mamy !tutakuwa tunajidanganya sana km tunahis kuna wanaume wanaotulindia heshima kwa kizaz hiki cha mapunguwan! hapana nioneshe heshima TU!
 
[emoji1] [emoji1] daahh!kampani na wavulana aiseeh!
Mimi ni mtundu sana,mcheshi na muongeaji haswaa!

Napenda sana urafiki na watoto wa kiume kwa sababu hawanaga majungu walio wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hukutafsiriwa tofauti kwa kujichanganya Na watoto Wa kiume zaidi kuliko ke
Je hadi sasa bado unajichanganya Na wanaume zaidi kuliko wanawake!?

DJ sepetu
 
hahaah majangaz! Heaven Sent atleast asikuoneshee mamy !tutakuwa tunajidanganya sana km tunahis kuna wanaume wanaotulindia heshima kwa kizaz hiki cha mapunguwan! hapana nioneshe heshima TU!
Ndo heshima ya aina gani kwa mfano? Na unahisi hiyo heshima itakuwepo for the rest of his cheating life? Itafika tu stage asipokuonesha live basi utaiona utakapoanza umwa magonjwa yasiyotibika au siku utakapoletewa watoto wa nje. Afanye sirini au afanye wazi, you will suffer the consequences of his infidelity. As long as umeshabariki kuchepuka kwake basi kubaliana tu na package yote utakayoletewa na jitahidi uanzage dawa za presha in advance.
 


hahaha haya !nakuelewa mnoo !
 
Aisee hukutafsiriwa tofauti kwa kujichanganya Na watoto Wa kiume zaidi kuliko ke
Je hadi sasa bado unajichanganya Na wanaume zaidi kuliko wanawake!?

DJ sepetu
Hapana hawakunitafsiri vibaya zaidi nilikua sipendi kutongozwa ndo maana unajua mwanaume ukimfanya rafiki hakutongozi[emoji1] [emoji1] hii nnayo mpk Leo sehemu yangu ya kazi nawafanya wakaka zaidi km marafiki zangu nalinda ukuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaa kumbe!
Ukiwa shule ulikuwa Na ndoto ya kufanya kazi gani
Je umefanikiwa

DJ sepetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…