Kama kweli wewe huna matatizo ya akili,kama kweli wewe ni mjukuu wa Nyerere, Kama kweli ulilelewa na Museveni,Kama kweli wewe ni Mnyarwanda...jibu swali tufunge mjadala...nini maana ya " UFITINGINGA BUTEGEREZI "?Neno gani hilo? Sijaliona na kama unalijua nawe unaweza tu ukaliweka hapa ili ninapomjibu na hilo jibu likuhusishe na Wewe pia tafadhali.
We ni star humu wanaona wivu
Nalijua hilo Dada yangu na wala hujaanza kuniambia Wewe kwani hata pale pale ambapo yupo Mtu tuliyemkabidhi nchi hii ( pamoja na Idara yake muhimu / nyeti ) unaambiwa hakuna ID inayosomwa na kufuatiliwa na 80% ya ' Watendaji ' wa pale kama hii yangu GENTAMYCINE na si huko tu hata katika Vyuo Vikuu vingi nchini kama kuna ID iliyomaarufu na ambayo mara kwa mara huzungumzwa / hujadiliwa ni hii hii yangu na kuna Member mmoja humu humu alivumilia lakini kuna siku aliandika mwenyewe kwamba huko nyuma alikuwa ni ' mtazamaji ' tu w JF lakini kila alipokuwa akisoma ' threads ' na ' posts ' zangu alishawishika kuanzisha rasmi ID ili awe sasa ' ananifaidi ' vizuri ' Kimaudhui ' akiwa humu. Siishii hapo tu hii ndiyo ID ambayo inafuatiliwa sana na Waandishi wa Habari mbalimbali pamoja na ' Blogs ' zao ambapo 75% ya ' Threads ' zangu hupenda kuzitumia na huwa zinawapatia sana umaarufu / sifa. Jitahidi sana uwe unamfuatilia Mtangazaji ambaye pia ni ' Bosi ' wa Radio One ' Mtani ' wangu Deogratius Steven Rweiyunga hasa katika ile ' Segment ' yake ya ' Habari Nyepesi Nyepesi ' ya Saa 2 Kamili amekuwa akipenda sana kutumia ' posts ' zangu za ' Vituko ' humu JF na Kipindi chake ' Kinabamba ' mno. GENTAMYCINE yupo kila mahala na ' charm ' niliyonayo haina mfano na huwezi ukaiiga. Kuna Watu humu humu walianzisha ID's na kujiita GENTAMYCINE hadi kule Kenya Talk wakidhani kwamba labda nao wataweza Kukubalika na Kusafiria ' Nyota ' yangu lakini wamesahau ya kwamba kila Mtu hapa duniani Mwenyezi Mungu amembariki na ' Shani / Talanta ' yake na hata ufanyeje huwezi Kuichukua. Kuna Watu wanadhani hii ' Signature ' yangu ya ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ' nimeiweka tu kwa bahati mbaya lakini wakitulia, wakiisoma vizuri na kuielewa imebeba ' almost ' 99.9% ya ' uhalisia ' wangu.
Na wanachokisahau tu ni kwamba wanavyozidi Kunichukia, Kunifuatafuata, Kunichokonoa na Kupoteza muda wao nami basi ndiyo Kwanza wanazidi kunifanya niwe maarufu na nizungumzwe mno na kila mahala. Kazi Kwao!
Lakini hujajibu swali ...watu wanakusanifu tu na mapovu yako......hakuna mjukuu wa Nyerere aliyelelewa na Museveni au aliye Mnyarwanda
Sidhanin kama tunashindana mwandiko hapaMwandiko wako unasikitisha wakati wewe n mrembo....wara?
"Anatoa povu tu cha msingi ajibu alichoulizwa.....";Huyu jamaa nimepitia majibu yake yote naona anapuyanga tu na kujisifia tu na atakua amekalilishwa storry au anagoogle ni kumpuuza , ushindi unaenda kwa mtoa mada case closed . tufatilie ndege yetu mpya
hadi sasa mtukuka GENTA ameshinda battle na war
guns down...hivi kwa nini mnamchokozaga mtu huyu!!!
kwa maneno hawezekani
Hapa naona umeamua kudhihirisha mbele ya uma how kilaza you are
Kama kweli wewe huna matatizo ya akili,kama kweli wewe ni mjukuu wa Nyerere, Kama kweli ulilelewa na Museveni,Kama kweli wewe ni Mnyarwanda...jibu swali tufunge mjadala...nini maana ya " UFITINGINGA BUTEGEREZI "?
Huyu jamaa nimepitia majibu yake yote naona anapuyanga tu na kujisifia tu na atakua amekalilishwa storry au anagoogle ni kumpuuza , ushindi unaenda kwa mtoa mada case closed . tufatilie ndege yetu mpya
Jibu swali , acha povu ,acha taarabu....au omba msamaha wa kuwa muongo
"Anatoa povu tu cha msingi ajibu alichoulizwa.....";
}
Ni matusi makubwa kwa baba wa taifa kuwa ana mjukuu mswahili kama ww.Mbona hung'ang'anii kutaka kujua kwamba hata Mimi pia ni mmoja wa ' Hawara ' zake wakubwa tu Mamaako?
Yahaya naona unameza paracetamol kupunguza maumivu baada ya kukoswa na bomu la kusema ukweli.... TTTMbona hung'ang'anii kutaka kujua kwamba hata Mimi pia ni mmoja wa ' Hawara ' zake wakubwa tu Mamaako?
Ni matusi makubwa kwa baba wa taifa kuwa ana mjukuu mswahili kama ww.
Unachojua ni matusi tu afu unajiita 35+..asee
Unakera na matusi yako, umri wako ingawa siujui ila sio wa kutafuta sifa za kitoto humu kutoka kwa wapumbavu wenzio kwa mijitusi yako hiyo.
Kama wewe ni mnyarwanda kweli hebu tuambie nini maana ya maneno haya " UFITINGINGA BUTEGEREZI ".Neno gani hilo? Sijaliona na kama unalijua nawe unaweza tu ukaliweka hapa ili ninapomjibu na hilo jibu likuhusishe na Wewe pia tafadhali.
Maana yake Mamaako aliwabakwa Kwanza hadi ' akanyabeliwa ' kwa ' mtambalizio ' ndipo akakubebea Mimba yako. Sijui una swali lingine tena ili nilijibu tafadhali.
Aaah sawa mkuu, ni maamuzi tu....ingawa si vyemaUsinichagulie aina ya ' Silaha ' za Kuzitumia ' Vitani ' tafadhali.