Gentamycine kwa wewe ni mnyarwanda kweli hebu tuambie nini maana ya maneno haya

Gentamycine kwa wewe ni mnyarwanda kweli hebu tuambie nini maana ya maneno haya

Neno gani hilo? Sijaliona na kama unalijua nawe unaweza tu ukaliweka hapa ili ninapomjibu na hilo jibu likuhusishe na Wewe pia tafadhali.
Kama kweli wewe huna matatizo ya akili,kama kweli wewe ni mjukuu wa Nyerere, Kama kweli ulilelewa na Museveni,Kama kweli wewe ni Mnyarwanda...jibu swali tufunge mjadala...nini maana ya " UFITINGINGA BUTEGEREZI "?
 
We ni star humu wanaona wivu

Nalijua hilo Dada yangu na wala hujaanza kuniambia Wewe kwani hata pale pale ambapo yupo Mtu tuliyemkabidhi nchi hii ( pamoja na Idara yake muhimu / nyeti ) unaambiwa hakuna ID inayosomwa na kufuatiliwa na 80% ya ' Watendaji ' wa pale kama hii yangu GENTAMYCINE na si huko tu hata katika Vyuo Vikuu vingi nchini kama kuna ID iliyomaarufu na ambayo mara kwa mara huzungumzwa / hujadiliwa ni hii hii yangu na kuna Member mmoja humu humu alivumilia lakini kuna siku aliandika mwenyewe kwamba huko nyuma alikuwa ni ' mtazamaji ' tu wa JF lakini kila alipokuwa akisoma ' threads ' na ' posts ' zangu alishawishika kuanzisha rasmi ID ili awe sasa ' ananifaidi ' vizuri ' Kimaudhui ' akiwa humu. Siishii hapo tu hii ndiyo ID ambayo inafuatiliwa sana na Waandishi wa Habari mbalimbali pamoja na ' Blogs ' zao ambapo 75% ya ' Threads ' zangu hupenda kuzitumia na huwa zinawapatia sana umaarufu / sifa. Jitahidi sana uwe unamfuatilia Mtangazaji ambaye pia ni ' Bosi ' wa Radio One ' Mtani ' wangu Deogratius Steven Rweiyunga hasa katika ile ' Segment ' yake ya ' Habari Nyepesi Nyepesi ' ya Saa 2 Kamili amekuwa akipenda sana kutumia ' posts ' zangu za ' Vituko ' humu JF na Kipindi chake ' Kinabamba ' mno. GENTAMYCINE yupo kila mahala na ' charm ' niliyonayo haina mfano na huwezi ukaiiga. Kuna Watu humu humu walianzisha ID's na kujiita GENTAMYCINE hadi kule Kenya Talk wakidhani kwamba labda nao wataweza Kukubalika na Kusafiria ' Nyota ' yangu lakini wamesahau ya kwamba kila Mtu hapa duniani Mwenyezi Mungu amembariki na ' Shani / Talanta ' yake na hata ufanyeje huwezi Kuichukua. Kuna Watu wanadhani hii ' Signature ' yangu ya ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ' nimeiweka tu kwa bahati mbaya lakini wakitulia, wakiisoma vizuri na kuielewa imebeba ' almost ' 99.9% ya ' uhalisia ' wangu.

Na wanachokisahau tu ni kwamba wanavyozidi Kunichukia, Kunifuatafuata, Kunichokonoa na Kupoteza muda wao nami basi ndiyo Kwanza wanazidi kunifanya niwe maarufu na nizungumzwe mno na kila mahala. Kazi Kwao!
 
Huyu jamaa nimepitia majibu yake yote naona anapuyanga tu na kujisifia tu na atakua amekalilishwa storry au anagoogle ni kumpuuza , ushindi unaenda kwa mtoa mada case closed . tufatilie ndege yetu mpya
 
Nalijua hilo Dada yangu na wala hujaanza kuniambia Wewe kwani hata pale pale ambapo yupo Mtu tuliyemkabidhi nchi hii ( pamoja na Idara yake muhimu / nyeti ) unaambiwa hakuna ID inayosomwa na kufuatiliwa na 80% ya ' Watendaji ' wa pale kama hii yangu GENTAMYCINE na si huko tu hata katika Vyuo Vikuu vingi nchini kama kuna ID iliyomaarufu na ambayo mara kwa mara huzungumzwa / hujadiliwa ni hii hii yangu na kuna Member mmoja humu humu alivumilia lakini kuna siku aliandika mwenyewe kwamba huko nyuma alikuwa ni ' mtazamaji ' tu w JF lakini kila alipokuwa akisoma ' threads ' na ' posts ' zangu alishawishika kuanzisha rasmi ID ili awe sasa ' ananifaidi ' vizuri ' Kimaudhui ' akiwa humu. Siishii hapo tu hii ndiyo ID ambayo inafuatiliwa sana na Waandishi wa Habari mbalimbali pamoja na ' Blogs ' zao ambapo 75% ya ' Threads ' zangu hupenda kuzitumia na huwa zinawapatia sana umaarufu / sifa. Jitahidi sana uwe unamfuatilia Mtangazaji ambaye pia ni ' Bosi ' wa Radio One ' Mtani ' wangu Deogratius Steven Rweiyunga hasa katika ile ' Segment ' yake ya ' Habari Nyepesi Nyepesi ' ya Saa 2 Kamili amekuwa akipenda sana kutumia ' posts ' zangu za ' Vituko ' humu JF na Kipindi chake ' Kinabamba ' mno. GENTAMYCINE yupo kila mahala na ' charm ' niliyonayo haina mfano na huwezi ukaiiga. Kuna Watu humu humu walianzisha ID's na kujiita GENTAMYCINE hadi kule Kenya Talk wakidhani kwamba labda nao wataweza Kukubalika na Kusafiria ' Nyota ' yangu lakini wamesahau ya kwamba kila Mtu hapa duniani Mwenyezi Mungu amembariki na ' Shani / Talanta ' yake na hata ufanyeje huwezi Kuichukua. Kuna Watu wanadhani hii ' Signature ' yangu ya ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ' nimeiweka tu kwa bahati mbaya lakini wakitulia, wakiisoma vizuri na kuielewa imebeba ' almost ' 99.9% ya ' uhalisia ' wangu.

Na wanachokisahau tu ni kwamba wanavyozidi Kunichukia, Kunifuatafuata, Kunichokonoa na Kupoteza muda wao nami basi ndiyo Kwanza wanazidi kunifanya niwe maarufu na nizungumzwe mno na kila mahala. Kazi Kwao!

Jibu swali , acha povu ,acha taarabu....au omba msamaha wa kuwa muongo
 
Lakini hujajibu swali ...watu wanakusanifu tu na mapovu yako......hakuna mjukuu wa Nyerere aliyelelewa na Museveni au aliye Mnyarwanda

Ni wapi nimesema Mimi ni ' Mjukuu ' wa Nyerere kutoka kwa mmoja wa Watoto zake wa Kuwazaa? Najua unachokitafuta hapa ni kunijua zaidi na hutokipata hicho unachokitaka. Na kwa kuonyesha kuwa hujiamini umeamua kuja na ID yako ' mbadala ' na kuachana na ile ambayo unajua ningekujua upesi. Najua labda unaumia sana kusikia nimekulia katika mikono ya Nyerere na Museveni. Pole sana kwani hata Mimi sikupenda iwe hivyo ila nilijikuta tu nimeangukia Kwao kutokana na ' Udugu ' wa Kimila wa Kizanaki na Urafiki mwema wa Kifamilia kati ya Tanzania na Uganda.

Kuhusu ' Unyarwanda ' wangu nakupa ' assignment ' ndogo sana tafuta ' origin ' ya Kabila la Zanaki kisha utapata majibu yote ya maswali yako. Hongera pia kwa kuja kwani huwa napenda mno Kukutana na ' Wapumbavu ' wa mfano wako hapa Jamvini ambao Wivu na Chuki zenu Kwangu ndizo hunifanya niwe juu ' Kiumaarufu ' kuliko nyie.

Kweli GENTAMYCINE ' nawatesa ' sana Waswahili hadi raha na burudani. Haya naomba ukinijibu usisahau pia kunijibu na ile ID yako iliyo maarufu hapa Jamvini ambayo unadhani labda siijui. Cheza na Watu wote ila siyo Mimi kwani ulipoamkia Wewe leo Mimi nimelala huko juzi.
 
Huyu jamaa nimepitia majibu yake yote naona anapuyanga tu na kujisifia tu na atakua amekalilishwa storry au anagoogle ni kumpuuza , ushindi unaenda kwa mtoa mada case closed . tufatilie ndege yetu mpya
"Anatoa povu tu cha msingi ajibu alichoulizwa.....";
}
 
hadi sasa mtukuka GENTA ameshinda battle na war
guns down...hivi kwa nini mnamchokozaga mtu huyu!!!
kwa maneno hawezekani

Sasa bora basi ningechokozwa na Wanawake labda ningejua kuwa wananitaka / wananipenda lakini huwezi amini 99.9% ya wanaonichokoza na kunifuatauata ni Wanaume sasa sijui nikisema labda wanashoboka nami pengine niweze ' Kuwatambalazia ' kunako ' Unyabeni ' Kwao au la. Sasa kama wanataka ' mtambalizio ' wangu kwanini wanapita njia ndefu sana na yenye mabonde mabonde?
 
Kama kweli wewe huna matatizo ya akili,kama kweli wewe ni mjukuu wa Nyerere, Kama kweli ulilelewa na Museveni,Kama kweli wewe ni Mnyarwanda...jibu swali tufunge mjadala...nini maana ya " UFITINGINGA BUTEGEREZI "?

Maana yake Mamaako aliwabakwa Kwanza hadi ' akanyabeliwa ' kwa ' mtambalizio ' ndipo akakubebea Mimba yako. Sijui una swali lingine tena ili nilijibu tafadhali.
 
Huyu jamaa nimepitia majibu yake yote naona anapuyanga tu na kujisifia tu na atakua amekalilishwa storry au anagoogle ni kumpuuza , ushindi unaenda kwa mtoa mada case closed . tufatilie ndege yetu mpya

Walinishindwa ' Manguli ' humu mtaniweza nyie ' Vikapuku ' tu? Hakuna Vita itakayonishinda, sijawahi kushindwa Vita na napenda sana kama siyo mno Vita. Sina haja wala hadhi hiyo ya ' Kugugo ' na kama Mimi kusema kuwa nimekulia kwa Hayati Mwalimu Nyerere na Kulelewa na Rais wa Uganda Mzee Museveni ndiyo tatizo lako / lenu na limewauma kwakuwa najua Waswahili akili zenu zote mmewekeza katika Chuki, Wivu na Majungu basi kupata nafuu nawashaurini tu tafuteni upesi / haraka Sumu ya Panya au Chupa mzisagesage mnywe ' Mfe ' lakini kama bado GENTAMYCINE nikiendelea kuwa na huu ' Uhai ' basi nitaendelea ' Kuwanyoosheni ' humu mpaka mkae sawa.

Mkilianzisha mjue pia na Kulimaliza.
 
Dah, naona battle ndio kwanza inaanza 'Genta' bado hajatoa Missiles zilizopo store, ila Maadui zake washaanza kuufyata.

' I'm just an observer '
 
Mbona hung'ang'anii kutaka kujua kwamba hata Mimi pia ni mmoja wa ' Hawara ' zake wakubwa tu Mamaako?
Ni matusi makubwa kwa baba wa taifa kuwa ana mjukuu mswahili kama ww.
Unachojua ni matusi tu afu unajiita 35+..asee
Unakera na matusi yako, umri wako ingawa siujui ila sio wa kutafuta sifa za kitoto humu kutoka kwa wapumbavu wenzio kwa mijitusi yako hiyo.
 
Mbona hung'ang'anii kutaka kujua kwamba hata Mimi pia ni mmoja wa ' Hawara ' zake wakubwa tu Mamaako?
Yahaya naona unameza paracetamol kupunguza maumivu baada ya kukoswa na bomu la kusema ukweli.... TTT
 
Ni matusi makubwa kwa baba wa taifa kuwa ana mjukuu mswahili kama ww.
Unachojua ni matusi tu afu unajiita 35+..asee
Unakera na matusi yako, umri wako ingawa siujui ila sio wa kutafuta sifa za kitoto humu kutoka kwa wapumbavu wenzio kwa mijitusi yako hiyo.

Usinichagulie aina ya ' Silaha ' za Kuzitumia ' Vitani ' tafadhali.
 
Neno gani hilo? Sijaliona na kama unalijua nawe unaweza tu ukaliweka hapa ili ninapomjibu na hilo jibu likuhusishe na Wewe pia tafadhali.
Kama wewe ni mnyarwanda kweli hebu tuambie nini maana ya maneno haya " UFITINGINGA BUTEGEREZI ".
 
Maana yake Mamaako aliwabakwa Kwanza hadi ' akanyabeliwa ' kwa ' mtambalizio ' ndipo akakubebea Mimba yako. Sijui una swali lingine tena ili nilijibu tafadhali.

Jibu swali uliloulizwa we nyenyere...leo utakoma kuwa na misifa ya kipuuzi
 
Back
Top Bottom