Gentamycine kwa wewe ni mnyarwanda kweli hebu tuambie nini maana ya maneno haya

Wivu kulelewa na maraisi wa nchi masikini tena na wao masikini?....we kweli kapuku....ungekuwa mtoto wa Trump shuzi lako lingekuwaje??
 
Watu kama hawa wakina genta ndiyo ufumuliwa malinda na wakubwa serikalini mm nashauri abadili avat aweke ya choko siyo bure
 
Jibu swali uliloulizwa we nyenyere...leo utakoma kuwa na misifa ya kipuuzi

Mbona hata ' aliyekuzaa ' nae ana sifa za Kipuuzi za Kupenda ' Kutambaliziwa ' sana lakini hutaki kuliweka wazi hapa?
 
Wivu kulelewa na maraisi wa nchi masikini tena na wao masikini?....we kweli kapuku....ungekuwa mtoto wa Trump shuzi lako lingekuwaje??

Halafu huo ' Ushuzi ' aliyekuzaa hupenda sana Kuutoa pale ninapomalizana nae.
 
Unataka na Wewe nikupe jibu lile lile nililompa mwenzako mmoja hapo juu? Umeshajiandaa ' Kisaikolojia ' labda?
duuh haya mkuu sorry kama ni neno lenye maudhui mabaya ndani yake ila mimi nilitaka kujua tu maana yake
 
Wewe una wasiwasi na uraia wa Genta tuu? Mm ninawasiwasi huenda sio mtu ni either lycan yule jamaa
 
Mbona hata ' aliyekuzaa ' nae ana sifa za Kipuuzi za Kupenda ' Kutambaliziwa ' sana lakini hutaki kuliweka wazi hapa?

leo ndiyo nimeamini kweli wewe mtoto sio riziki..............unajipendekeza kwa watu maarufu ingawa ni masikini ? utawapata wapumbavu wenzio....mzee wa kutambaliziwa..........
 
Watu kama hawa wakina genta ndiyo ufumuliwa malinda na wakubwa serikalini mm nashauri abadili avat aweke ya choko siyo bure

Complicator kuna mahala umenzisha ' Uzi ' wako ' maalum ' kabisa wa kunilalamikia, kunishutumu na kuomba nipigwe BAN sasa nakuomba uiangalie hii ' post ' na zingine zinazoanzia page namba 9 hadi hii ya 12 kisha naomba uniambia kati yangu na hawa ' Wenzako ' ni nani ulipashwa umzungumzie mno katika ule Uzi? Hivi kwa ' posts ' kama hizi tena wengine wanafanya makusudi wanaziacha zile ID's zao zinazojulikana humu JF kisha kwa ' makusudi ' wanaziibua zile za ' Kutukania ' Watu unategemea GENTAMYCINE nitanyamaza? Hivi ninyamaze kwakuwa ' nawaogopeni ' sana au? Hapa leo nitaenda nanyi ' pasu kwa pasu ' na hii Vita kamwe hamtoiweza na nakaribia kuimaliza vile vile huku kama kawaida yangu nikiibuka ' a Victor '.

Tutaheshimiana tu!
 
Unapenda sifa we dogo
 
Wazanaki mi sura migumu kama mmelamba ndimu hamuwezi kuwa watutsi labda Wakiga.
 
Binafsi nakupenda
 
leo ndiyo nimeamini kweli wewe mtoto sio riziki..............unajipendekeza kwa watu maarufu ingawa ni masikini ? utawapata wapumbavu wenzio....mzee wa kutambaliziwa..........

Kuna sehemu yoyote labda ambayo GENTAMYCINE nimejinasibu kuwa Mimi ni Tajiri? Kama ipo na una hadi ushahidi nayo tafadhali weka hapa ili ' niumbuke ' tafadhali. Sijaishia tu Kujipendekeza kwa Watu ' maarufu ' bali hata ' Babaako ' nae akitaka kuumaliza ' Umasikini ' wake anaweza tu nae ' akajipendekeza ' Kwangu apate ' mtambalizio ' wa maana ili angalau shida ndogo ndogo zianze kumkimbia.

Tena wala hujakosea Mimi ni Masikini kabisa ila ni Tajiri wa IQ kubwa ambayo inaweza kuwafanyeni Watu wazima kabisa mnasumbuka na GENTAMYCINE hapa Jamvini ' Kujibizana ' nae mkiacha kufanya Kazi zenu za maana na Kujiingizia vipato. Endeleeni tu Kupotezewa muda nami huku mkiniiga Mimi kuwepo hapa JF muda mrefu pengine mkidhani tunafanana.

Yaani raha sana Kichwa Kimoja tu lakini kinawapelekesha na kuwaendesha Watu 24/7.
 
Unachekesha na ma stress yangu hata kama ukichaa wako wa matusi unafurahisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…