Gentamycine kwa wewe ni mnyarwanda kweli hebu tuambie nini maana ya maneno haya

Naona Watu Wametambalizwa Na Mkuyenge Uliotukuka Kunako Unyabeni Kwao Na Sasa Wamekaa Kimya/Wamekimbia Uzi Wao.
Naomba Niishie Hapa Tafadhali!
 
Halaf hapa wanamtafutia ban tu sisi tunaompenda tukose uhondo bure

Na watoa BAN nao watapima kati ya Mimi na hao wanaonitafutia hiyo BAN nani ana makosa na nani Kalianzisha. Na wala huhitaji kujua kwamba kuna ' Kajikundi ' ka Wapumbavu fulani ambao ID yangu na michango yangu ' Kuntu ' humu na umaarufu wangu mkubwa unawatesa na kuwakera mno hivyo wamejipanga rasmi ' Kuniandama ' na ' Kunishambulia ' huku wengine wakikimbilia kwa Moderators kutaka nipewe BAN kusudi lengo lao litimie na Mimi nawaambia kuwa sijawahi kuogopa BAN na sitoogopa BAN ila haitotokea hata siku moja GENTAMYCINE nikachokozwa, nikadhalilishwa na nikadhihakiwa na ' Waswahili ' halafu eti ninyamaze kwa Kuwaogopa. Wameamua kulianzisha basi walimalize pia mpaka pale ambapo tutaheshimiana humu. Nimewavumilia vya kutosha tu hawa ' Wapumbavu / Mapopoma ' Mkuu.
 
😀

GENTAMYCINE hii comment ako akiiona yule dada aliekufungulia thread leo kuwa anakuelewa sana... .. Atajihisi mwenye bahati sana .. Kumpenda kijana aliekulia ikulu..

mumu
Miss Natafuta
Evelyn Salt
Mama Sabrina
 
Mbona Moderator Invisible mnafuga matusi

Mbona umesahau pia kuwawekea na ' List ' ya hao watoa hayo Matusi? Hujawahi kuacha kuwa Mnafiki pindi uonapo ama ' thread ' au ' post ' yangu hapa JamiiForums. Juzi katika Uzi mmoja ulikuja na Upumbavu wako wa aina hii hii nikakuuliza je una maoni gani na wale ambao kwa makusudi kabisa wananichokoza, wananidhihaki na kunidhalilisha mara kwa mara humu mpaka leo hujanijibu na bila hata chembe ya haya leo tena umekuja na ' Upuuzi ' wako ule ule japo umejifanya umejificha kwa kutumia ' diplomasia ' yako hafifu. Mnamuanza wenyewe GENTAMYCINE halafu akiwakabilini vilivyo na mkiona nawashinda mnakimbilia kwa Moderators. Nimeanza Kuchokozwa katika huu Uzi tokea page ya 1 sikukuona ukija na kuwaita Moderators ila kudhihirisha Unafiki wako sasa Uzi umefika page ya 17 ndiyo unajifanya kuwaita. au unafikiri sijui kwamba moja ya hizo ID's ambazo zimenishambulia katika huu Uzi ni yako? Cheza na Watu wengine humu ila siyo Mimi kwani unakopita Wewe leo Mimi nimepita huko juzi.
 


Ahaahaaa hii comment ako imenifurahisa sana..​
 
Kama alivo sema mjomba watapata tabu saanaa
 
😀


GENTAMYCINE hii comment ako akiiona yule dada aliekufungulia thread leo kuwa anakuelewa sana... .. Atajihisi mwenye bahati sana .. Kumpenda kijana aliekulia ikulu..

mumu
Miss Natafuta
Evelyn Salt
Mama Sabrina

Kukulia Kwangu Ikulu hakuna uhusiano wowote ule na maisha yangu na katika maisha yangu ya kawaida sijawahi hata siku moja kuitumia ' influence ' ya ukaaji wangu huko kwa kuihusisha na maisha yangu ya kila siku na hasa ya Kujitafutia Kipato. Sitongozi Mwanamke kwakuwa sijui nimekulia wapi bali Mimi ni mpambanaji na sikujipeleka mwenyewe katika hizo Ikulu bali kama sehemu ya Urafiki wa Kifamilia kati ya Dar es Salaam na Kampala ilibidi iwe hivyo. Tujadili mada na masuala ya Ikulu nimeshamalizana nayo na tena nilishasahau kabisa.
 
Binafsi nimewakumbusha mods kazi yao..sioni kwanini unanitukana mkuu
 
Ulisoma nae mzee kaduga
Kaduga family, then Kaduga akakuja kuwa mkurugenzi wa wilaya ilipokua ndio mpyaaaaa.....
Ingawa nasikitika kwamba Kaduga alikuja chemka hadi akastaafu....[emoji20] [emoji20] [emoji20]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…