Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comrade..... nimekua msomaji kwa muda, na kidogo ninaanza kupata ukosefu wa uvumilivu wa povu hili wallah.... tehteehhhBora Mimi mwenye ' laana ' kuliko Wewe ' Shoga ' mkubwa.
Halaf hapa wanamtafutia ban tu sisi tunaompenda tukose uhondo bure
😀Mkuu inaonekana Mimi Kulelewa na Rais Museveni tokea mwaka 1996 hadi 2001 pale Nakasero State House Kampala kumekuuma mno. Na kukuudhi zaidi sikuanzia kuzizoea Ikulu huko nchini Uganda bali hata nikiwa bado mdogo mdogo nimewahi pia kukaa Ikulu ya Tanzania hapo Magogoni wakati Hayati Mwalimu Nyerere bado hajang'atuka na kwa ushahidi wa hili watafute ' Bodyguards ' wote wa Mwalimu akina Mzee Mkanzabi, Tendewa, Mshamu aliyekuwa Mkuu wa PSU ila hivi majuzi amestaafu na nafasi yake kuchukuliwa na aliyekuwa RSO wa Mkoa ambao kwa sasa Ajali za Barabarani zimekithiri mwenye ' initials ' za JK na Mzee Simon bila kuwasahau Watoto wa Mwalimu akina Dada Anna, Rose na Kaka Madaraka wote hawa wamenibeba sana tu.
Ukitaka zaidi ya haya sema nikutiririkie na nikusererekie zaidi. Sina ' ushamba / umbwigira ' na Ikulu na ' bata ' nilizokula katika nchi hii, Uganda, Rwanda na South Afrika wakati wa Hayati Mzee Mandela ' Madiba ' Wewe mpaka kuja Kufa ama Kufariki Kwako hutokuja kuzila au kuzipata.
Halafu pamoja na ' exposure ' yangu hiyo hapo juu nipo vile vile na naishi maisha yangu ' very simple ' sipendi makuu wala kujionyesha kwani sina hiyo ' hulka ' isipokuwa na Mimi pia napambana ili nami nije kuwa na mafanikio kusudi nami Watoto wangu waje wale ' matunda ' yangu ya Kimalezi mema kama ambavyo nami nimepewa / nimelelewa na Wazazi wangu.
Nimemaliza.
Mkuu inaonekana Mimi Kulelewa na Rais Museveni tokea mwaka 1996 hadi 2001 pale Nakasero State House Kampala kumekuuma mno. Na kukuudhi zaidi sikuanzia kuzizoea Ikulu huko nchini Uganda bali hata nikiwa bado mdogo mdogo nimewahi pia kukaa Ikulu ya Tanzania hapo Magogoni wakati Hayati Mwalimu Nyerere bado hajang'atuka na kwa ushahidi wa hili watafute ' Bodyguards ' wote wa Mwalimu akina Mzee Mkanzabi, Tendewa, Mshamu aliyekuwa Mkuu wa PSU ila hivi majuzi amestaafu na nafasi yake kuchukuliwa na aliyekuwa RSO wa Mkoa ambao kwa sasa Ajali za Barabarani zimekithiri mwenye ' initials ' za JK na Mzee Simon bila kuwasahau Watoto wa Mwalimu akina Dada Anna, Rose na Kaka Madaraka wote hawa wamenibeba sana tu.
Ukitaka zaidi ya haya sema nikutiririkie na nikusererekie zaidi. Sina ' ushamba / umbwigira ' na Ikulu na ' bata ' nilizokula katika nchi hii, Uganda, Rwanda na South Afrika wakati wa Hayati Mzee Mandela ' Madiba ' Wewe mpaka kuja Kufa ama Kufariki Kwako hutokuja kuzila au kuzipata.
Halafu pamoja na ' exposure ' yangu hiyo hapo juu nipo vile vile na naishi maisha yangu ' very simple ' sipendi makuu wala kujionyesha kwani sina hiyo ' hulka ' isipokuwa na Mimi pia napambana ili nami nije kuwa na mafanikio kusudi nami Watoto wangu waje wale ' matunda ' yangu ya Kimalezi mema kama ambavyo nami nimepewa / nimelelewa na Wazazi wangu.
Nimemaliza.
Kwani yupo online..?
[emoji351] Achana nao.
Alikuwa kimya mkamuita ona sasa mwakimbia uzi wenyewe
Nakukubali kaka mkubwa waelekeze hao wasio jitambu na midevu yao.Mpaka na Wao watakaposalimu amri Kwangu kwani ndiyo waliolianzisha.
Hahaha, kaka Mkubwa kawadhibiti wabaya wakeNakukubali kaka mkubwa waelekeze hao wasio jitambu na midevu yao.
Wamezidi kuleta ushogaHahaha, kaka Mkubwa kawadhibiti wabaya wake
Hahahahaha huyo sio wa rwanda bali ni mtu anaetoka mikoa inayopakana na rwanda pia mikoa ambayo kuna muingiliano wa tamaduni zote mfano mtu wa kibondo,kasulu,buhigwe,ngara ni watu wenye tamaduni sawa na lugha inayotumika wote huelewana ..sema kapata cheo lumumba baada ya kufuzu mafunzo ya kutengeneza uongo na propaganda zikakubalika kwa watu ambapo wazee wa lumumba hufurahia kazi yake (mdanyi mwenye uwezo mkubwa)
Babayako nilisomanae shule ya msingi miaka flani, kule "Rorya" kabla haijakua wilaya.Wamezidi kuleta ushoga
Kama alivo sema mjomba watapata tabu saanaaMbona umesahau pia kuwawekea na ' List ' ya hao watoa hayo Matusi? Hujawahi kuacha kuwa Mnafiki pindi uonapo ama ' thread ' au ' post ' yangu hapa JamiiForums. Juzi katika Uzi mmoja ulikuja na Upumbavu wako wa aina hii hii nikakuuliza je una maoni gani na wale ambao kwa makusudi kabisa wananichokoza, wananidhihaki na kunidhalilisha mara kwa mara humu mpaka leo hujanijibu na bila hata chembe ya haya leo tena umekuja na ' Upuuzi ' wako ule ule japo umejifanya umejificha kwa kutumia ' diplomasia ' yako hafifu. Mnamuanza wenyewe GENTAMYCINE halafu akiwakabilini vilivyo na mkiona nawashinda mnakimbilia kwa Moderators. Nimeanza Kuchokozwa katika huu Uzi tokea page ya 1 sikukuona ukija na kuwaita Moderators ila kudhihirisha Unafiki wako sasa Uzi umefika page ya 17 ndiyo unajifanya kuwaita. au unafikiri sijui kwamba moja ya hizo ID's ambazo zimenishambulia katika huu Uzi ni yako? Cheza na Watu wengine humu ila siyo Mimi kwani unakopita Wewe leo Mimi nimepita huko juzi.
😀
GENTAMYCINE hii comment ako akiiona yule dada aliekufungulia thread leo kuwa anakuelewa sana... .. Atajihisi mwenye bahati sana .. Kumpenda kijana aliekulia ikulu..
mumu
Miss Natafuta
Evelyn Salt
Mama Sabrina
Ulisoma nae mzee kadugaBabayako nilisomanae shule ya msingi miaka flani, kule "Rorya" kabla haijakua wilaya.
Binafsi nimewakumbusha mods kazi yao..sioni kwanini unanitukana mkuuMbona umesahau pia kuwawekea na ' List ' ya hao watoa hayo Matusi? Hujawahi kuacha kuwa Mnafiki pindi uonapo ama ' thread ' au ' post ' yangu hapa JamiiForums. Juzi katika Uzi mmoja ulikuja na Upumbavu wako wa aina hii hii nikakuuliza je una maoni gani na wale ambao kwa makusudi kabisa wananichokoza, wananidhihaki na kunidhalilisha mara kwa mara humu mpaka leo hujanijibu na bila hata chembe ya haya leo tena umekuja na ' Upuuzi ' wako ule ule japo umejifanya umejificha kwa kutumia ' diplomasia ' yako hafifu. Mnamuanza wenyewe GENTAMYCINE halafu akiwakabilini vilivyo na mkiona nawashinda mnakimbilia kwa Moderators. Nimeanza Kuchokozwa katika huu Uzi tokea page ya 1 sikukuona ukija na kuwaita Moderators ila kudhihirisha Unafiki wako sasa Uzi umefika page ya 17 ndiyo unajifanya kuwaita. au unafikiri sijui kwamba moja ya hizo ID's ambazo zimenishambulia katika huu Uzi ni yako? Cheza na Watu wengine humu ila siyo Mimi kwani unakopita Wewe leo Mimi nimepita huko juzi.
Wamezidi kuleta ushoga
Kaduga family, then Kaduga akakuja kuwa mkurugenzi wa wilaya ilipokua ndio mpyaaaaa.....Ulisoma nae mzee kaduga