Nko fit kiakili kiasi kizuriWakurya ni Ndugu zangu ( Poti ) kwakuwa tunatoka Mkoa mmoja na nawaheshimu na nawapenda sana tu ila sitokei katika Kabila lao na nadhani nimeshaweka bayana humu natokea Kabila gani ila yawezekana utakuwa na matatizo yako binafsi ya akili ambayo yanakusumbua hivyo unayatafutia unafuu wake Kwangu.
OK, inaonekana wewe ni mtu unaejua kujitetea na mdomo sana na hata kutumia nguvu pia inapobidi.
.
Aiseeee...Kwani kuwa mtusi ni heshima??
hahaha """mnavisa sana mamaee"...By the way kwani huyo GENTAMYCINE ni mwanaume ? Mi siku zote najuaga ni jike. Duh JF is never boring. Nazidi kujifunza
Ha haha hahaaAisee hii ndiyo maana ya Avatar - hauweki vitu halisi kukuhusu, just sehemu ndogo sana.
Mfano ids za CCM ziko bize kusema maisha ni mserereko kwakua avatar zao ndiyo zinavyotaka. Wakiwa in real life wanatumia akili
Ha haha hahahaaNamuona akijiandaa kuja KUKUTAMBALIZIA kunako KUTUKUKA hahahahahah
Tafuta tabia za Wayahudi katika uwanja wa ' Mapambano ' kisha fanya ' Utafiti ' wako juu ya ' Wasifu ' wa Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu ambaye picha yake naitumia sana kama ' Avatar ' yangu kisha utajua ' tabia ' halisi ya GENTAMYCINE. Vita na Ubabe ni sehemu ya maisha ya Wayahudi na wanaiweza kweli kweli.
Ukinikabili Kistaarabu utanipenda na utaishi nami vizuri hadi hutoamini ila ukitafuta matatizo na Mimi basi nikuambie tu kwamba ' UTAPATA TABU SANA ' nami hadi kujuta kwanini umelianzisha Kwangu.
Hata mm najiona hivo ,MkuuHongera hata Mimi naona.
Ngoja aje ..." watafute kichaka kabisa "" chakujifichaNasikia anakuja na chopa....
hah hahahaSijawahi na sitokuja kuwahi kueleweka na Wapumbavu / Mapopoma wa mfano wako.
Ngoja aje ..." watafute kichaka kabisa "" chakujificha
Ha hahaha,..mimi comment za genta huwa zinavunja MBAVU " ile mbaya ""...!Ila dalili alizonazo ' Mamaako ' zinazidi za hizo zangu hivyo kaanze kumtibu Yeye Kwanza tafadhali.
Kwenda Ikulu sio kuishi Ikulu.
Ha hahaha,..mimi comment za genta huwa zinavunja MBAVU " ile mbaya ""...!
Achana nao hao "".''kuna watu wengine "" lazima wawepo ili maisha yaendelee"".."" kufuatilia ya watu ndio shibe Yao ..Nashangaa wale ' walionichokonoa ' kwa kuanzisha huu ' Uzi ' baada ya kuwajibu na kuwapa ' makavu ' yao wote sasa siwaoni. Siku zingine mnapoanzisha ' Vita ' muwe Kwanza mnaangalia na uwezo wa ' Kimedani ' na yule ambaye ama mnamchokoza au mnataka kupambana nae. Wengine Vita / Mapambano ni sehemu ya maisha yetu ya 24/7. Na bahati nzuri niliwaonya mapema sana tu!
Achana nao hao "".''kuna watu wengine "" lazima wawepo ili maisha yaendelee"".."" kufuatilia ya watu ndio shibe Yao ..
""