Tafuta tabia za Wayahudi katika uwanja wa ' Mapambano ' kisha fanya ' Utafiti ' wako juu ya ' Wasifu ' wa Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu ambaye picha yake naitumia sana kama ' Avatar ' yangu kisha utajua ' tabia ' halisi ya GENTAMYCINE. Vita na Ubabe ni sehemu ya maisha ya Wayahudi na wanaiweza kweli kweli.
Ukinikabili Kistaarabu utanipenda na utaishi nami vizuri hadi hutoamini ila ukitafuta matatizo na Mimi basi nikuambie tu kwamba ' UTAPATA TABU SANA ' nami hadi kujuta kwanini umelianzisha Kwangu.