Gentamycine kwa wewe ni mnyarwanda kweli hebu tuambie nini maana ya maneno haya

Gentamycine kwa wewe ni mnyarwanda kweli hebu tuambie nini maana ya maneno haya

Wakurya ni Ndugu zangu ( Poti ) kwakuwa tunatoka Mkoa mmoja na nawaheshimu na nawapenda sana tu ila sitokei katika Kabila lao na nadhani nimeshaweka bayana humu natokea Kabila gani ila yawezekana utakuwa na matatizo yako binafsi ya akili ambayo yanakusumbua hivyo unayatafutia unafuu wake Kwangu.
Nko fit kiakili kiasi kizuri
 
OK, inaonekana wewe ni mtu unaejua kujitetea na mdomo sana na hata kutumia nguvu pia inapobidi.

.

Tafuta tabia za Wayahudi katika uwanja wa ' Mapambano ' kisha fanya ' Utafiti ' wako juu ya ' Wasifu ' wa Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu ambaye picha yake naitumia sana kama ' Avatar ' yangu kisha utajua ' tabia ' halisi ya GENTAMYCINE. Vita na Ubabe ni sehemu ya maisha ya Wayahudi na wanaiweza kweli kweli.

Ukinikabili Kistaarabu utanipenda na utaishi nami vizuri hadi hutoamini ila ukitafuta matatizo na Mimi basi nikuambie tu kwamba ' UTAPATA TABU SANA ' nami hadi kujuta kwanini umelianzisha Kwangu.
 
Aisee hii ndiyo maana ya Avatar - hauweki vitu halisi kukuhusu, just sehemu ndogo sana.

Mfano ids za CCM ziko bize kusema maisha ni mserereko kwakua avatar zao ndiyo zinavyotaka. Wakiwa in real life wanatumia akili
Ha haha hahaa
 
Tafuta tabia za Wayahudi katika uwanja wa ' Mapambano ' kisha fanya ' Utafiti ' wako juu ya ' Wasifu ' wa Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu ambaye picha yake naitumia sana kama ' Avatar ' yangu kisha utajua ' tabia ' halisi ya GENTAMYCINE. Vita na Ubabe ni sehemu ya maisha ya Wayahudi na wanaiweza kweli kweli.

Ukinikabili Kistaarabu utanipenda na utaishi nami vizuri hadi hutoamini ila ukitafuta matatizo na Mimi basi nikuambie tu kwamba ' UTAPATA TABU SANA ' nami hadi kujuta kwanini umelianzisha Kwangu.

Nawakubali sana watu wanaojua kujitetea wenyewe

Mwanaume lazima uweze kujitetea kinguvu zaidi sio mdomo ,unajua kutumia lugha . Hongera sana.
 
Ngoja aje ..." watafute kichaka kabisa "" chakujificha

Nashangaa wale ' walionichokonoa ' kwa kuanzisha huu ' Uzi ' baada ya kuwajibu na kuwapa ' makavu ' yao wote sasa siwaoni. Siku zingine mnapoanzisha ' Vita ' muwe Kwanza mnaangalia na uwezo wa ' Kimedani ' na yule ambaye ama mnamchokoza au mnataka kupambana nae. Wengine Vita / Mapambano ni sehemu ya maisha yetu ya 24/7. Na bahati nzuri niliwaonya mapema sana tu!
 
Kwenda Ikulu sio kuishi Ikulu.

Ikulu gani hiyo labda unayoiongelea manake ya Uganda nimewahi kuiishi ( kutokana na sababu ambazo sidhani kama zitakusaidia sana Wewe ' Hopeless ' kuzijua ) ila ya Tanzania wakati wa Hayati Mwalimu Nyerere nilikuwa nikiwa hapo mara kwa mara ila siyo kwa Kulala.

Sijui una lingine tena labda!
 
Ha hahaha,..mimi comment za genta huwa zinavunja MBAVU " ile mbaya ""...!

Siku zote usithubutu kumuamsha Simba aliyelala kwani akiamka na ukimkuta ana ' Njaa ' Ndugu zako wanaweza hata wasikute ' Fuvu ' lako.
 
Nashangaa wale ' walionichokonoa ' kwa kuanzisha huu ' Uzi ' baada ya kuwajibu na kuwapa ' makavu ' yao wote sasa siwaoni. Siku zingine mnapoanzisha ' Vita ' muwe Kwanza mnaangalia na uwezo wa ' Kimedani ' na yule ambaye ama mnamchokoza au mnataka kupambana nae. Wengine Vita / Mapambano ni sehemu ya maisha yetu ya 24/7. Na bahati nzuri niliwaonya mapema sana tu!
Achana nao hao "".''kuna watu wengine "" lazima wawepo ili maisha yaendelee"".."" kufuatilia ya watu ndio shibe Yao ..
""
 
Back
Top Bottom