impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
Hata hivyo Gentamycine ni jikeGentamycine kama angekuwa ng'ombe sasa hivi tungekuwa bize kuazima ng'ombe dume kwa majirani. Si kwa kuhemkwa hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hivyo Gentamycine ni jikeGentamycine kama angekuwa ng'ombe sasa hivi tungekuwa bize kuazima ng'ombe dume kwa majirani. Si kwa kuhemkwa hivi
Umekunywa chai?
Ungekuwa karibu yangu nakuchapa bakora za kutosha huna adabu hata kwa Baba yako kama mimi
Wewe ni wakuchapa bakora bahati mbaya upo mbali
Naweza kukulipia mahali ya ng'ombe
Hata hivyo Gentamycine ni jike
Kuna watu humu mnaogelea kwenye bwawa la maji taka.
Vv
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku zote Mke mwema na bora hupenda kujua kila jambo alifanyalo Mume wake. Ongeza bidii zako Mke wangu MENO YA KUKU.
Kwa nini unahisi hivyo? Mtu anapoogelea bwawa la maji taka ni vema kumuonya.Kwanini ' unafumba ' tu Mkuu? Nenda ' straight ' mlenge Mtu tafadhali ili nawe uweze kupata stahiki yako kama wengine.
Kwa nini unahisi hivyo? Mtu anapoogelea bwawa la maji taka ni vema kumuonya.
Vv
He is not alone .....usijisumbue na huyo genta huu ni mwezi mchanga usishangae akikuuliza ni swali gani ilo ?? Mbona ajaliona kwenye huu Uzi .[emoji4] [emoji4]
mmmh
sasa wanafaidika na nini kukuandama hivyo? halafu mtu mmojaKwa kukusaidia tu japo Wewe ni Mkongwe humu ila nashangaa na nasikitika kwamba hujui au unajisahaulisha au hujagundua ya kwamba hizo ID's unazoziona hapo zinanitukana, zinanidhihaki, zinanichokoza na zinanidhalilisha 95% ni Mtu mmoja au Watu wawili na wala usidhani hao wote ni Members tofauti tofauti wa JF. Kuwa makini sana Mkuu!
Na bahati mbaya sana Kwao ni kwamba wameanzisha Vita na wanapambana Vita na Mtu ambaye Kiasili tu ni Mpenda Vita na bahati iliyo njema ni kwamba hata uwezo wa Vita anao na Vita vyenyewe pia vinampenda na vinamtii vile vile.
Wamevuna walichopanda japo hata wakitaka tuendelee na Vita hii hii ya maneno hadi mwaka huu uishe nipo tayari na bado nina uhakika nitawashinda na hata wao wenyewe kuomba ' po ' Kwangu kisha tuanze sasa Kuheshimiana humu.
Nimewavumilia vya Kutosha!
Mbona sasa hivi unakuwa mpole na unaandika Kinidhamu, Kiuwoga, Kiuhuruma na Kiumakini sana tofauti na ' posts ' zako zilizopita? Vipi umeshaishiwa Silaha ili labda nikuazime? Nashangaa mlioamua ' Kunishambulia ' leo mlikuwa wengi mno lakini kadri muda unavyoenda naona idadi yenu inapungua tu. Niliwaonyeni mapema sana tu kuwa ' mlipopachokoza ' ni pabaya na pamejaa ' hatari ' tupu hamkusikia na sasa nayashusha tu ' Makombora ' yangu ambayo nina uhakika kuwa hayawaachi salama na siku zingine mtajifunza na kuacha Kukurupuka Kwangu.
Wacha maneno mengi kijana. Swali langu mbona lilikuwa rahisi sana. " Kama wewe ni mnyarwanda kweli kama unavyo jitanabaisha basi tuambie maana ya UFITINGINGA BUTEGEREZI.. Ulipewa dakika 20 za kutoa majibu ukashindwa. Umekuja kuonekana baada ya majibu kutolewa na kudhihirika wazi pasi na shaka yoyote kuwa wewe sio mnyarwanda kama unavyo dai siku zote.Nashukuru kwa Wewe ile jana kunipa taarifa ya huu ' Uzi ' kwani nilikuwa sijui kama umeanzishwa na nadhani unakumbuka nilikuambia kwamba waliouanzisha ' watajuta ' na sasa wamekipata ambacho walikitaka kwa muda mrefu kutoka Kwangu. Kwa kuanzia tu huyo Muanzisha ' Uzi ' Mtu aitwae LIKUD amekuwa na kawaida ya Kunichokoza, Kunidhihaki na Kunidhalilisha mno humu Jamvini na mkitaka kuamini haya pitieni ' posts ' zake zote ambazo huwa ananiandikia katika ' threads ' mbalimbali ambazo ama huwa nazianzisha Mimi au huwa nazichangia.
Na alichokifanya hapa ni Kitu rahisi mno japo Yeye anadhani ana akili kutuzidi ' tuliobarikiwa ' nazo na Mwenyezi Mungu. Ameanzisha ' Uzi ' huu kwa ' Agenda ' zake ' maalum ' kisha baada ya Kujua kwamba nitakuja kumjibu kwa ' mashambulizi ' makali na makubwa alipoanzisha tu aka ' log out ' na kuanza sasa kuzitumia ID's zake za ' Multiple ' kuweza kunijibu huku nyie mkidhani labda ni Watu tofauti tofauti kumbe ni Mtu mmoja.
Na hajaishia tu hapo ana ' Marafiki ' zake humu humu ambao hata kabla hajauleta huu ' Uzi ' sebuleni alishawapanga kuwa ' wanishambulie ' kwa nguvu zote ili mradi tu ile azma yake ya Kunichukia na Kutonipenda itimie. Hakuna ID inayomnyima raha na amani humu kama hii yangu ya GENTAMYCINE. Na hatari zaidi ni kwamba bora basi angekuwa ni Mtoto wa Kike wala nisingeshangaa sana lakini nimepatwa na huu ' mshangao ' mkubwa kwakuwa Yeye ni Mtoto wa Kiume kabisa hali ambayo sasa inanifanya nianze kuamini kwamba yawezekana huyu akawa ni ' Shoga ' na anataka tu kunilazimisha ' nimtambalizie ' nao Kitu ambacho ' Kiimani ' ya Mwenyezi Mungu ni ' dhambi ' kubwa sana tu.
Utakuwa mtoto wa laanaLabda tu uulipie ' Mkuyenge ' wangu huu ' uliotukuka ' ili uwe ' unakutambalizia ' vizuri huko ' Unyabeni ' Kwako.
Sina budi kuikubali intelijensia yako mkuu.Nashukuru kwa Wewe ile jana kunipa taarifa ya huu ' Uzi ' kwani nilikuwa sijui kama umeanzishwa na nadhani unakumbuka nilikuambia kwamba waliouanzisha ' watajuta ' na sasa wamekipata ambacho walikitaka kwa muda mrefu kutoka Kwangu. Kwa kuanzia tu huyo Muanzisha ' Uzi ' Mtu aitwae LIKUD amekuwa na kawaida ya Kunichokoza, Kunidhihaki na Kunidhalilisha mno humu Jamvini na mkitaka kuamini haya pitieni ' posts ' zake zote ambazo huwa ananiandikia katika ' threads ' mbalimbali ambazo ama huwa nazianzisha Mimi au huwa nazichangia.