Gentamycine ni mti wenye matunda lazima upigwe mawe

GENTAMYCINE ni mti wenye matunda lazima upigwe mawe tu na wenye chuki ambao wanachukia kumuona GENTAMYCINE akisifiwa na aking'ara humu kusema ukweli katika watu walionifanya niipende jamiiforum ni huyu mkuu jamiiforum aisee jamaa ana hoja na analeta mada kuntu Sana

Namkubali sana GENTAMYCINE keep it up 💪💪💪💪
Chizi huyo! Bilashaka ndio wewe
 
GENTAMYCINE ni mti wenye matunda lazima upigwe mawe tu na wenye chuki ambao wanachukia kumuona GENTAMYCINE akisifiwa na aking'ara humu kusema ukweli katika watu walionifanya niipende jamiiforum ni huyu mkuu jamiiforum aisee jamaa ana hoja na analeta mada kuntu Sana

Namkubali sana GENTAMYCINE keep it up 💪💪💪💪
Charismatic Fella , kweli Genta wa Zamani alikuwa 🔥 🔥 🔥 King wa Jf sio kwa hoja , vita , ucheshi na uchambuzi
 
Back
Top Bottom