Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
Mod Unganisha ID's Please...GENTAMYCINE ni mti wenye matunda lazima upigwe mawe tu na wenye chuki ambao wanachukia kumuona GENTAMYCINE akisifiwa na aking'ara humu kusema ukweli katika watu walionifanya niipende jamiiforum ni huyu mkuu jamiiforum aisee jamaa ana hoja na analeta mada kuntu Sana
Namkubali sana GENTAMYCINE keep it up 💪💪💪💪
Chizi huyo! Bilashaka ndio weweGENTAMYCINE ni mti wenye matunda lazima upigwe mawe tu na wenye chuki ambao wanachukia kumuona GENTAMYCINE akisifiwa na aking'ara humu kusema ukweli katika watu walionifanya niipende jamiiforum ni huyu mkuu jamiiforum aisee jamaa ana hoja na analeta mada kuntu Sana
Namkubali sana GENTAMYCINE keep it up 💪💪💪💪
Ana ID's lukukiChizi huyo! Bilashaka ndio wewe
Mateja na visunguraKawe kwa Mateja lazma ule dawa.
Charismatic Fella , kweli Genta wa Zamani alikuwa 🔥 🔥 🔥 King wa Jf sio kwa hoja , vita , ucheshi na uchambuziGENTAMYCINE ni mti wenye matunda lazima upigwe mawe tu na wenye chuki ambao wanachukia kumuona GENTAMYCINE akisifiwa na aking'ara humu kusema ukweli katika watu walionifanya niipende jamiiforum ni huyu mkuu jamiiforum aisee jamaa ana hoja na analeta mada kuntu Sana
Namkubali sana GENTAMYCINE keep it up 💪💪💪💪
Joined 2026 wewe mwenyewe mtoto wa juzi kwa hiyo lazima umjue juziGENTAMYCINE nimemjua juzi alivokua analalamika kisa secretarybird
HahaàAmejitahidi kubadili mwandiko
JF nimeijua mwaka jana. Labda ngoja nimfuatilie, nnaweza pata chochotekitu.Joined 2026 wewe mwenyewe mtoto wa juzi kwa hiyo lazima umjue juzi
Mwachen mwana
Hamna mtu mule Si Mwana, Si WazimuMwachen mwana
Jamaa anajitekenya na kuangua kicheko.
Anamtindio wa ubongo.GENTAMYCINE nimemjua juzi alivokua analalamika kisa secretarybird