Gentleman. . .

Gentleman. . .

Sasa Mbu ndio nini hivyo?
Badala ya kumshawishi aonyeshe uanaune wake unamsapoti kujificha? Sawa bana, leo ndio mwisho wa Lizzy kufunguka aisee.

...unajua sie tulozoea mambo ya St Peter's Basilica...huwa hatuna papara,
Tunasubiria moshi mweupe ufuke tuanze kusherehekea...

Hizi papara za kujitaja unaweza kukurupushwa na masizi usoni!
 
...unajua sie tulozoea mambo ya St Peter's Basilica...huwa hatuna papara,
Tunasubiria moshi mweupe ufuke tuanze kusherehekea...

Hizi papara za kujitaja unaweza kukurupushwa na masizi usoni!

Hahahaha. . . Mbu sikuwezi.

Nimegundua wanaoendana na sifa wanaweza wakawa wengi zaidi ya niliyekua namfikiria. Itabidi siku moja nimtaje.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hahahaha. . . Mbu sikuwezi.

Nimegundua wanaoendana na sifa wanaweza wakawa wengi zaidi ya niliyekua namfikiria. Itabidi siku moja nimtaje.

...lol...be careful what you wish for, kuna maneno umeandika;

Natamani kuwe na wakaka wanaofanana na huyu in the real world

...hayapo kwenye katiba ya mahusiano, mapenzi na urafiki...
baadae bana...i hope nikirudi nitakusoma uliyemvisha crown!
 
Back
Top Bottom