Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alaaa! kumbe ni wewe...
Sasa kwa nini Sweetlady ananisingizia mimi?
Hao wengi mbona hawajamtaja....mtaje ukishambuliwa mie na kongosho tutakuwa upande wako kujibu mashambulizi..Naogopa usije ukakuta ana wachumba wengi humu nikashambuliwa au mwenyewe akanitoa nishai.
...lol...be careful what you wish for, kuna maneno umeandika;
...hayapo kwenye katiba ya mahusiano, mapenzi na urafiki...
baadae bana...i hope nikirudi nitakusoma uliyemvisha crown!
Naogopa usije ukakuta ana wachumba wengi humu nikashambuliwa au mwenyewe akanitoa nishai.
Nini tena NN?Hmmm yaani wewe....
Hao wengi mbona hawajamtaja....mtaje ukishambuliwa mie na kongosho tutakuwa upande wako kujibu mashambulizi..
dah.....kweli kuongea na kutenda ni dunia mbili tofauti lol
Haya nikiwatajia napotea humu mwezi maana naogopa kusikia jibu lake. . . .kwahiyo amueni kama niwatajie alafu nikimbie au nipotezee.
Unamaanisha nini Boss?
Ha ha ha! Sipati picha angekuwa bustanini, angechuma majani yote leo..lolna kama walinzi ajue kapata
tena mie, napenda mdada akifunguka
kisa cha kufa na shinikizo la moyo usiku, inahu!
lizzy, mtaje tu.
Naona mikono yake inatoka jasho
kashindwa kuandika anayoyawaza
We wasema. . .
Ha ha ha! Sipati picha angekuwa bustanini, angechuma majani yote leo..lol