Gentleman. . .

Gentleman. . .

Nimefurahi sana
pale pale nlipopataka
sikutaka urukie pengine
mwishowe huu ushoga kazi uvunjike bure

sikutaka urukie ' *** '

Yani pamoja na mimi kutolewa nishai bado umefurahi?
Sawa bana.
 
can't you be a little romantic, just for today.
Nataka kuona flawaz, kendo dina, mziki mororo
hah! Mara moja kwa mwaka sio mbaya
au ndo kupruvu 'uncompromising?'

Nimekutoa nishai kivipi Lizzy?

Hujaona dedikesheni hilo?
 
ngoja tumwulize TB
eti TB, ni wimbo gani
inaelekea wadada wote walio hapa wana vimchina
havifungui
 
Back
Top Bottom