Gentleman. . .

Gentleman. . .

A

Halafu TF sijui kafungiwa huduma
Toka asubuhi sijamuona humu
Au anachungulia
SL mambo dear
Hana hela ya cafe, huwa anatumia net ya ofisini ila si unajua leo ni public holiday? Mambo poa mwaya! Mzima wewe?
 
QUOTE=sweetlady;3125952]Hana hela ya cafe, huwa anatumia net ya ofisini ila si unajua leo ni public holiday? Mambo poa mwaya! Mzima wewe?[/QUOTE]

Huu utani huu ni wa ngumi
Mi sitakuamulia akija hapa kukanusha
Mbona ana kasimu ka mchina au nako hakana net
Nashukuru kwa uzima wako aise
Niko salama pia
 
QUOTE=sweetlady;3125952]Hana hela ya cafe, huwa anatumia net ya ofisini ila si unajua leo ni public holiday? Mambo poa mwaya! Mzima wewe?

Huu utani huu ni wa ngumi
Mi sitakuamulia akija hapa kukanusha
Mbona ana kasimu ka mchina au nako hakana net
Nashukuru kwa uzima wako aise
Niko salama pia[/QUOTE]
Nashukuru pia kwa uzima wako. Ina mana TF akitokea hutaniamua?..
 
QUOTE=sweetlady;3126000]Huu utani huu ni wa ngumi
Mi sitakuamulia akija hapa kukanusha
Mbona ana kasimu ka mchina au nako hakana net
Nashukuru kwa uzima wako aise
Niko salama pia[/QUOTE]
Nashukuru pia kwa uzima wako. Ina mana TF akitokea hutaniamua?..[/QUOTE]

We wacha tuu
Nitakutetea mbaya na TF hatathubutu kukugusa aise
 
QUOTE=sweetlady;3126000]Huu utani huu ni wa ngumi
Mi sitakuamulia akija hapa kukanusha
Mbona ana kasimu ka mchina au nako hakana net
Nashukuru kwa uzima wako aise
Niko salama pia
Nashukuru pia kwa uzima wako. Ina mana TF akitokea hutaniamua?..[/QUOTE]

We wacha tuu
Nitakutetea mbaya na TF hatathubutu kukugusa aise[/QUOTE]
Lol... Thanks in advance...


Gentleman kakimbilia wapi?...ujue ndio mana wachaga huwa tunakimbilia kwa wachaga wenzetu ili wakitusema tusikie...umeona NN na kongosho walivomsema Lizzy wetu?
 
Ungejua hapo kawa romantic beyond
shauri ako
nimejitolea kuwa wifi leo tu
kesho ntakuacha wenye wivu wakujaze maneno hadi umakatae

mie nakwambia ile sentesi yake imejaa LOVE LOVE LOVE

Nimekoma kidogo basi. . . .
Yani nimekoma na kukomaa kabisa.
 
mchina wangu ana matatizo
naomba mtu anikopie majibizano yangu na NN kwa kispaniola

nataka nitafsiri vyoote, live on stage

Gentleman kakimbilia wapi?...ujue ndio mana wachaga huwa tunakimbilia kwa wachaga wenzetu ili wakitusema tusikie...umeona NN na kongosho walivomsema Lizzy wetu?
 
Just relax....lol

SL ntarelax vipi wakati ndani ya siku moja nimefunguka nikamwaga sifa kibao, nikafunguka tena zaidi, nikatolewa nishai, nikasema kilugha na bado Kongosho akataka kuniingiza town na tafsiri matata?

Ngoja nichukue mapumziko ya muda, ntarudi aibu na uchungu vikiisha.

@NN japo umenidissapoint kwa kunisema/nijibu kwa kilugha chenu nakuachia ugentleman wako. Japo sitakufagilia zaidi , sitoua.

@Kongosho sikupendi tena, umenivuta weeeee mpaka nikaangukia uso alafu hata hukuninyanyua ukanikanyaga na kunikanyaga.

@Mr. Rocky, nafurahi nimegundua mapema kwamba wewe sio rafiki yangu.

@Boss hayo mashtaka potezea tu bana, adhabu yangu nimeshaipata.

@Mbu nimerudi rasmi nilipokuwepo, sasa hivi hamna cha vigezo wala viwango kufikiwa, narudi kuwa mwanajeshi.

@Michelle. . . dearest uniletee ice cream ya kujiliwaza.

@Kurwa usiache kuja kunibembeleza.

@Wengine wote fanyeni kama hamjaona kwanzia nilipomtaja huyo gentleman.

So long. . . . .
 
@Lizzy
wasiwasi wako
nachojua NN kajibu tena kwa lugha ya heshima
alichoshindwa kujua ni kwamba anavyothamini ku-declear his Love kwa lugha yake inaweza kuwa si muhimu hivyo kwako.

Kama dada wa leo, nakuhakikishia kasema ' he loves you, so much' na neno really lilikuwepo ila sijui hapo nilichomeke wapi.
Kizungu lugha ngeni.

Unajua nakufagilia hata kama sisemi.
Ukinichukia unanionea, ukinipenda unajipendekeza kwa ajili ya fulani.

Mie nshatost for this kapo
my wish is 'Health, Love and money'
 
hahahahahaha
Hopeful one day you will get a chance to meet her in a real Life..
Trust me she is so different, loving, trustworthy, incredibly nice ,
when comes to looks, i can't even try to describe her beauty. ( stunning, breathtaking)
Marvelous personality, .................. will be back soon.

Masifa yote haya utafanya nibadilishe direction. You better be back soon.
 
@ Lizzy usiondoke vile mimi nipo upande wako bana..... Gentleman anajipanga sawa sawa akija hapa hutaamini macho yako....

Where is Nyani Ngabu jamani?
 
ukimuona utamhurumia
katupa kila kitu chini
anatafuta nguo ya kuja kukonfesi yaliyo moyoni mwake kwa kiswahili

nimemwambia mwishowe atatoka na taulo
eti kabati lote leo halifai!!!?
@ Lizzy usiondoke vile mimi nipo upande wako bana..... Gentleman anajipanga sawa sawa akija hapa hutaamini macho yako....

Where is Nyani Ngabu jamani?
 
Back
Top Bottom