GenZ chondechonde, wajumbe wa Serikali za Mitaa na vijiji mtawaonea bure kushambulia familia zao. Achaneni na mpango huu

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
4,249
Reaction score
11,592
Hii ni link ya audio video ya GeZ wakijadiliana namna ya kulianzisha tena pengine kabla hata 25/12 na kuendelea....

View: https://youtu.be/oLG8oqkpG5c?si=8NzhnwgIimcza0Es
Kinachopangwa na kujadiliwa ni maandamano ya kuanzia 25/12.

Lakini kilichonishitua zaidi mimi si maandamano yenyewe.....

Ni kile kitakachoambatana na maandamano hayo, kwamba moja ya watu wanaowalenga kuwachomea moto nyumba zao, mali zao au biashara zao ni viongozi wa serikali za mitaa na vijiji na wajumbe wao...!!

Loooh!!.. Ni kama mzaha hivi. Lakini deep inside me, naona hii kitu inaweza kuzaa civil war miongoni mwetu wenyewe if something good is not done right away. Bahati mbaya, ni kuwa wahuni wa serikali hii ya Samia wameshachagua njia ya mapambano, (physical confrontation) na UMMA wenye nchi....

Najiuliza, ni wapi ktk historia ya dunia serikali isiyotakiwa na UMMA imewahi kuushinda umma kwa risasi na bunduki na ikaendelea kutawala...?

Nikirudi kwa GenZ, hili wanalopanga limenitisha na kuniogopesha sana. Chondechonde GenZ, hawa ni raia na walala hoi wenzetu tu huku vijijini na mitaani. Hata kama walishiriki kwenye uhalifu na uovu wa kiuchaguzi kwa njia hii au ile, ni kwa sbb ya njaa tu. Hawajui lolote linaloendelea huko serikalini ktk ngazi za juu. Hawa hutumwa tu kama mbwa, tuachane nao...

Kwanini tuwaonee hawa wasio na lolote, wasiojua chochote wakati wanaokula nchi na kuiharibu wako huko Dodoma na DSM? Ni Viongozi wakubwa walio ktk vyombo vya mamlaka ya maamuzi kama Samia, Mwigulu Nchemba, mawaziri, wakuu wa mikoa, mapolisi wa ngazi zote? Hawa ndio wa kudili nao....

Chondechonde vijana wetu wa GenZ, tunawaunga mkono kabisa kwenye harakati hizi za kuikomboa nchi yetu ya Tanganyika toka mikononi mwa ukoloni wa Kizanzibari na waarabu wa Oman na Dubai...

Lakini acheni na mpango wa kwenda kuonea watu hawa. Ni ndugu zetu hawa. Hawana hatia yoyote...

WITO KWA SAMIA NA SERIKALI YAKO​

Tafadhali acheni kiburi maana kiburi hutangulia mbele lakini baadae huja mauti...

Kubalini tu na kirini makosa yenu ya kuua watu na kuharibu uchaguzi. Kubalini kuwa hamkupigiwa kura na wananchi 29/10 na mpo ktk nafasi hizo isivyo halali kimaadili na hata kisheria....

Mkifanya hivi, chukueni hatua sahihi na stahiki. Leteni taifa pamoja kwa kurudi pale tulipoangukia na kuanza upya. Acheni kujidanganya na vijitume vyenu vya kufichia uovu wa makosa yenu. HIYO HAITAWASAIDIA kujiponya..!

Vijana wako serous. Maneno huumba na kuwa kitu halisi. Wanasemasema sasa hivi, lakini kwa hakika kabisa tunaweza kuanza kushuhudia ubaya mbaya zaidi kuliko tulivyowahi kuona huko nyuma...!
 
Kwahyo nao wamekubali kuandamana krismas?
Hawajiongezi yakuwa mama yupo kidin anataka sherehe ya kikristo aiharibu watu wastoke?
Na kwa sababu hyohyo mama anaogopa watu watatoka kwa ajir ya maandano na si sikukuu na kuharibu hari ya hewa
 
Kwahyo nao wamekubali kuandamana krismas?
Hawajiongezi yakuwa mama yupo kidin anataka sherehe ya kikristo aiharibu watu wastoke?
Na kwa sababu hyohyo mama anaogopa watu watatoka kwa ajir ya maandano na si sikukuu na kuharibu hari ya hewa


WATOKE TU KWAKUWA NYUMBU KAUMBWA MAALUMU KWA AJILI YA KUWA CHAKULA CHA MAMBA
 

Attachments

  • Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    368.7 KB · Views: 25
Kila sehemu kuna watanzania tutawadhibiti sisi wenyewe mitaani hukohuko. Safari hii hawatauawa na askali wataauliwa na wananchi wenyewe mitaani. Ni waongo tu hawana ubavu.
 
Mtakufa wengi sana, hamtaamini macho yenu na wazazi wenu. Sisi watanzania tupo macho.
 
ahaaaa ahaaaaa waaacheni wakajifunze risasi zinaingiaje mwilini, mbona kibiti walijaribu mzee magu aliwafundisha adabu kweli kweli task force head akiwa Wambura na msaidizi wake Kingai, walikula shaba mpka akili zikawakaaa , na hawa waaachwe waingie mkenge wapigwe chuma , na majeruhi wachomwe moto kwa pamoja

SIO TISHIO KABISA
 
Kwa sass Taifa lipo vitani, vita haichagui imuathiri nani, chochote kinachohusu ccm na viongozi wake wa ngazi zote na Mali zao ni legitimate target.
 
Aliyekwambia wanaogopa risasi ni nani?
 
RISASI hujibiwa kwa RISASI karibu uwanjani tarehe 25.12.2025
Hizo fedha za damu ulizopewa utaaziacha tu

1. OFISI YOYOTE YA SERIKALI CHOMA MOTO
2. OFISI NA NYUMBA YOYOTE YA KIONGOZI WA CCM CHOMA MOTO
3. OFISI NA NYUMBA YOYOTE YA POLISI CJHOMA MOTO

ndoto2020 kavulata THE BIG SHOW Tlaatlaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…