GenZ chondechonde, wajumbe wa Serikali za Mitaa na vijiji mtawaonea bure kushambulia familia zao. Achaneni na mpango huu

Tarehe 29.10.2025 nani mshindi wa vita kati ya nyie na Gen z? Dalili ya kuwa mlishindwa na kuwa mlianza kuua hata waliko majumbani.

Kwanini hamkuendelea kutuoa mabomu ya machozi kutawanya watu?
Tulipanga maandamano ya amani tarehe 09.12.2025 mkakataa zamu hii hatuna utani na hatucheki na nyie tena.

1. Hatutaingia Barabarani
2.Nyumba kwa nyumba kila mtaa
3.Nyumba yoyote ya polisi mtaani ni halili yetu
Active
Nlisema Kuna watu wanatumia platform yenu vibaya kuhamasisha vurugu na uhalifu ...kuweni makini sana na hizi koment mtaenda kusaidia polisi
 
Hao madogo hawana mchango wa taifa watakufa sana wakileta uhalifu ,nafikiria wameshambwela ..Hakuna watakachofanya..
 
Ohh sawa. Waambieni wajikumbushe kilichowatokea waliojifanya jihadists wafiadini huko MKiru.
Anyway hakikisha hufanyi hicho kitendo kama mama na baba ako wanakupenda.
Wajinga hao walianza kwa mbwembwe ,sasa wanaleta huruma kwa walitaka vita wanaleta huruma kwa sasa.

Siku hiyo walikanywa hapa ,hao madogo wakapandisha barabara ,walichezea fimbo.
 
Hii ni link ya audio video ya GeZ wakijadiliana namna ya kulianzisha tena pengine kabla hata 25/12 na kuendelea....

View: https://youtu.be/oLG8oqkpG5c?si=8NzhnwgIimcza0Es

Kinachopangwa na kujadiliwa ni maandamano ya kuanzia 25/12.

Lakini kilichonishitua zaidi mimi si maandamano yenyewe.....

Ni kile kitakachoambatana na maandamano hayo, kwamba moja ya watu wanaowalenga kuwachomea moto nyumba zao, mali zao au biashara zao ni viongozi wa serikali za mitaa na vijiji na wajumbe wao...!!

Loooh!!.. Ni kama mzaha hivi. Lakini deep inside me, naona hii kitu inaweza kuzaa civil war miongoni mwetu wenyewe if something good is not done right away. Bahati mbaya, ni kuwa wahuni wa serikali hii ya Samia wameshachagua njia ya mapambano, (physical confrontation) na UMMA wenye nchi....

Najiuliza, ni wapi ktk historia ya dunia serikali isiyotakiwa na UMMA imewahi kuushinda umma kwa risasi na bunduki na ikaendelea kutawala...?

Nikirudi kwa GenZ, hili wanalopanga limenitisha na kuniogopesha sana. Chondechonde GenZ, hawa ni raia na walala hoi wenzetu tu huku vijijini na mitaani. Hata kama walishiriki kwenye uhalifu na uovu wa kiuchaguzi kwa njia hii au ile, ni kwa sbb ya njaa tu. Hawajui lolote linaloendelea huko serikalini ktk ngazi za juu. Hawa hutumwa tu kama mbwa, tuachane nao...

Kwanini tuwaonee hawa wasio na lolote, wasiojua chochote wakati wanaokula nchi na kuiharibu wako huko Dodoma na DSM? Ni Viongozi wakubwa walio ktk vyombo vya mamlaka ya maamuzi kama Samia, Mwigulu Nchemba, mawaziri, wakuu wa mikoa, mapolisi wa ngazi zote? Hawa ndio wa kudili nao....

Chondechonde vijana wetu wa GenZ, tunawaunga mkono kabisa kwenye harakati hizi za kuikomboa nchi yetu ya Tanganyika toka mikononi mwa ukoloni wa Kizanzibari na waarabu wa Oman na Dubai...

Lakini acheni na mpango wa kwenda kuonea watu hawa. Ni ndugu zetu hawa. Hawana hatia yoyote...

WITO KWA SAMIA NA SERIKALI YAKO​

Tafadhali acheni kiburi maana kiburi hutangulia mbele lakini baadae huja mauti...

Kubalini tu na kirini makosa yenu ya kuua watu na kuharibu uchaguzi. Kubalini kuwa hamkupigiwa kura na wananchi 29/10 na mpo ktk nafasi hizo isivyo halali kimaadili na hata kisheria....

Mkifanya hivi, chukueni hatua sahihi na stahiki. Leteni taifa pamoja kwa kurudi pale tulipoangukia na kuanza upya. Acheni kujidanganya na vijitume vyenu vya kufichia uovu wa makosa yenu. HIYO HAITAWASAIDIA kujiponya..!

Vijana wako serous. Maneno huumba na kuwa kitu halisi. Wanasemasema sasa hivi, lakini kwa hakika kabisa tunaweza kuanza kushuhudia ubaya mbaya zaidi kuliko tulivyowahi kuona huko nyuma...!

Uvccm na futuhi
 
Hivi mwenye kiburi ni nani?

View: https://youtu.be/Pgu4VfqBGKs?si=9ZsKGWdJTSbDLh7P
 
Mimi nakuelewa vizuri

Ishu ni kuwatambua wabaya na wazuri

Na kwa hoja yako hii, maana yake wampitie na kumburuza kila kiongozi wa CCM kuanzia ngazi ya balozi mpaka Mwenyekiti wa mtaa/Kijiji au sio?

Maana yake, baadaye lawama wawarushiwe wakubwa zao na wajifunze kuacha kushiriki kwenye uovu wa kuhujumu haki za watu

Haya bhana. Sina comment zaidi
Mimi pia nimekuelewa sana mkuu Umekusudia wapo wema na wapo wabaya(wanao husika na hujuma na wasio husika).

Tatizo linakuja hivi wakati wa mapambano huchagui mwema wala mbaya, sababu huyu mwema akiona kundi lake lina shambuliwa nae huwepo pamoja nao.

Kumbuka wakati wa maandamano Oktoba 29 traffic nae alipewa silaha ili kuuwa wenye kuandamana. Lakini uhalisia traffic kazi yake ni barabarani tu. Pia wapo walio shambuliwa na polisi wakati hata hawakuhusika na maadamano wengine wakitoka kazini wengine wakiwa majumbani mwao.
 
Back
Top Bottom