Uzima Tele
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,559
- 3,586
Mimi nakuelewa vizuriHata Machifu nao walikuwa wakiwauza babu zako kwa wazungu pia. Huruma ndio huwafanya wananchi kubaki kuwa watumwa na wanyonge.
Ukianza na hawa wanaofatia wakubwa zao unajua hao ndio hutumika kuwataja vijana wa upinzani na wanao jitoa kwenye kuandamana.
Walianza kushindwa wao kuheshimu HAKI ya wananchi kuchagua viongozi wawatakao, wakaharibu uchaguzi kwa makusudi na kujitangaza washindi kwa kujilazimisha wawe viongozi wetuAmani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
epuka mambo yote ambayo yatakusababishia matatizo
What are insinuating here....?Wakati huo nyie mtakuwa wapi?
Huu ujinga ndo mliwapanga watu 29oct wakafa halafu mnaleta midomo hapa eti mahandaki..
TAKATAKA KABISA
Wewe unaelewa na Asante kwa elimu hii....🙏🙏Walianza kushindwa wao kuheshimu HAKI ya wananchi kuchagua viongozi wawatakao, wakaharibu uchaguzi kwa makusudi na kujitangaza washindi kwa kujilazimisha wawe viongozi wetu
Katika mazingira haya ambayo hayawani hawa wameyatengeneza wao, wanatoa wapi audacity ya kuomba AMANI?
Walichagua wenyewe VURUGU na VITA dhidi ya wananchi badala ya HAKI inayozaa HAKI at the first place. Hivyo acha waipate VITA tuone nani atashinda. Wajinga hawa wanaojiita VIONGOZI wetu kwa kujilazimisha au UMMA wa Watanganyika zaidi ya 65,000,000 ambao ndio wenye nchi?
HAKUNA AMANI PASIPO HAKI. Hii ni natural principle!!
Mmmh, aisee 🤔Hao unaowatetea ndiyo engine ya hao walio juu, wazo lao la kuanza kukata mizizi kabla hawajafika kwenye shina Kiko very effective.
dah!! maandamano Yale ya tarehe 29/oct......yalifanya mtu una hela ndani na cha kununua hamna,maduka yote yalifungwa na magenge pia,na baadhi waliofungua bei ya bidhaa ilikuwa juu zaidi,nyanya Moja buku,unga kg elfu 3.5, sukari kg ilikuwa 5000,Hii ni link ya audio video ya GeZ wakijadiliana namna ya kulianzisha tena pengine kabla hata 25/12 na kuendelea....
View: https://youtu.be/oLG8oqkpG5c?si=8NzhnwgIimcza0Es
Kinachopangwa na kujadiliwa ni maandamano ya kuanzia 25/12.
Lakini kilichonishitua zaidi mimi si maandamano yenyewe. Ni kile kitachoambatana na maandamano hayo, kwamba moja ya watu wanaowalenga kuwachomea moto nyumba zao, mali zao au biashara zao ni viongozi wa serikali za mitaa na vijiji na wajumbe wao...!!
Loooh!!.. Hili limenitisha na kuniogopesha sana. Chondechonde GenZ, hawa ni raia na walala hoi wenzetu tu huku vijijini na mitaani. Hata kama hushiriki kwenye uhalifu na uovu wa kiuchaguzi ni kwa sbb ya njaa tu. Hawajui lolote linaloendelea huko serikali ktk ngazi za juu. Hawa hutumwa tu kama mbwa...
Kwanini tuwaonee hawa wasio na lolote, wasiojua chochote wakati wanaokula nchi na kuiharibu wako huko Dodoma na DSM? Ni Viongozi wakubwa walio ktk vyombo vya mamlaka ya maamuzi kama Samia, Mwigulu Nchemba, mawaziri, wakuu wa mikoa, mapolisi wa ngazi zote? Hawa ndio wa kudili nao....
Chondechonde vijana wetu wa GenZ, tunawaunga mkono kabisa kwenye harakati hizi za kuikomboa nchi yetu ya Tanganyika toka mikononi mwa ukoloni wa Kizanzibari na waarabu wa Oman na Dubai...
Lakini acheni na mpango wa kwenda kuonea watu hawa. Ni ndugu zetu hawa. Hawana hatia yoyote...
WITO KWA SAMIA NA SERIKALI YAKO
Tafadhali acheni kiburi maana kiburi hutangulia na baadae huja mauti...
Kubalini tu na kirini makosa yenu ya kuua watu na kuharibu uchaguzi. Kubalini kuwa hamkupigiwa kura na wananchi 29/10 na mpo ktk nafasi hizo isivyo halali kimaadili na hata kisheria....
Mkifanya hivi, chukueni hatua sahihi na stahiki. Leteni taifa pamoja kwa kurudi pale tulipoangukia na kuanza upya. Acheni kujidanganya na vijitume vyenu vya kufichia uovu wa makosa yenu. HIYO HAITAWASAIDIA kujiponya..!
Vijana wako serous. Maneno huumba na kuwa kitu halisi. Wanasemasema sasa hivi, lakini kwa hakika kabisa tunaweza kuanza kushuhudia ubaya mbaya zaidi kuliko tulivyowahi kuona huko nyuma...!
Una mawazo mafupi mno yanayoishia kisogoni mwamko tu...ahaaaa yaani wapeleke jeshi wakati vijana 12 tu waliwazima jiji zima mkaaanza kulia lia na kidada chenu cha usa enheeeee tena safarii hii ampewi onyo ni kazi tu
Kama kuandika haya tu ni mpaka ufungue akaunti mpya ndo utaweza kweli hata kushika kiberiti?RISASI hujibiwa kwa RISASI karibu uwanjani tarehe 25.12.2025
Hizo fedha za damu ulizopewa utaaziacha tu
1. OFISI YOYOTE YA SERIKALI CHOMA MOTO
2. OFISI NA NYUMBA YOYOTE YA KIONGOZI WA CCM CHOMA MOTO
3. OFISI NA NYUMBA YOYOTE YA POLISI CJHOMA MOTO
ndoto2020 kavulata THE BIG SHOW Tlaatlaah
Mnawangoja wewe na nani?? watu wamechoka ushenzi wa kutekwa usijidanganye,kajaribu kuwazui ,au ongelea mtaani huu upupu wako uone nini kitakutokea,tumia hizo nguvu kuishauli serikali batili iache kuteka watu na ifaham tanzania ni ya kila mtu. Unaamini kabisa baada mauwaji yote yela halafu iwe biashara kama kawaida?Hao GEN Z tunawangoja kwa hamu,wa
Mbona mtawala haendi kujitambulisha Marekani kama mwenziwe Netanyau? Ungejuwa anayopitia wala usingethubutu kusema haya,ICC gani isiyo na jeshi wala mamlaka ya kukamata ? wangeanza na netanyau yaani bado mna akili za darasa la tatu
unatokea kijiji ganiMbona mtawala haendi kujitambulisha Marekani kama mwenziwe Netanyau? Ungejuwa anayopitia wala usingethubutu kusema haya,
Unajifariji sio Abdul...?ahaaaa ahaaaaa waaacheni wakajifunze risasi zinaingiaje mwilini, mbona kibiti walijaribu mzee magu aliwafundisha adabu kweli kweli task force head akiwa Wambura na msaidizi wake Kingai, walikula shaba mpka akili zikawakaaa , na hawa waaachwe waingie mkenge wapigwe chuma , na majeruhi wachomwe moto kwa pamoja
SIO TISHIO KABISA
Una level gani ya ELIMU?Una cheo gani serikalini?Hio imetengenezwa kuwaaminisha watu kuna kikundi kitatoka kuandamana hivyo itawafanya wabaki ndani kusikilizia kumbe hamna kitu. Hakuna cha maandamano wala nini hio 25th.
Bingo, now we are on the same page.Mmmh, aisee 🤔
Kwa hiyo kama wana Polisi wa kulinda kila mjumbe na kila kiongozi wa CCM basi wawasambaze vijiji vyote na mitaa yote, au siyo...?
Nimekupata kiongozi...
Wewe unachuki na vijiji??? Nipo Msoga hapa siunakumbuka alivokuwa akijitambulisha Kikwete,sasa huyu aliejipachika madaraka ndio nauliza atasafiri? Umemfananisha na Netanyau mwenziwe tunamuona akienda Marekani, japo hawezi kwenda baadhi ya nchi za Western. Ila huyu mwanamke katili jamani eh??? Haogopi Itakuwaje sikuyake ikifika akitembelewa na Malaku Lmaut?? watu woote hawa aliowauwa??? Allah atunusuru na tamaa ya kupenda Duniya kiasi hiki.unatokea kijiji gani
ndio mnadanganyana huko maporini kila raisi anatakiwa kujitambulisha marekani
Watu hawajaanza kufa leoMtakufa wengi sana, hamtaamini macho yenu na wazazi wenu. Sisi watanzania tupo macho.
Alooo unaota ndoto mbaya kama vile umekunywa dawa ya mafua, fujo na vurugu hazototokea tena Tanzania anayejaribu ni chuma tu aka shaba ya baridiiiiiiUnajifariji sio Abdul...?
Nakuhakikishia jambo Moja tu, YOUR TIME TO BE FREE AND ALIVE IS UP.....
TUTAKUKAMATA WITH OUR BARE HANDS NA BUNDUKI ZAKO. MAMA YAKO SAMIA DAMU YAKE ITAMWAGWA BARABARANI NA KULAMBWA na MBWA NA NYAMA YAKE KULIWA NA TAI NA KUNGURU....
WEWE na WANU na MCHENGERWA TUTAWAKEKETA HIZO PUMBU ZENU NA MAKALIO YENU YATAFUMULIWA mchana kweupe ili uchungu wa kuua baba na mama zetu, dada na kaka zetu muu - feel vivyo hivyo...
Hilo tuna uhakika nalo bila kujali bunduki na mabomu yenu...!!!!!!