Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Mchambuzi wa soka Geoff Lea, amesema kwamba klabu ya Simba ni maarufu kwa kutumia mbinu chafu wakiwa nyumbani ili kujipatia ushindi.
Mchambuzi huyo ametaka klabu iache kutumia mbinu hizo chafu kwa maana mpira ni mchezo wa haki.
Geoff amezitaka klabu za mpira barani Afrika ikiwemo Simba kujifunza kutoka kwa South Africa ambao hawapati malalamiko ya aina yoyote timu zinapoenda kucheza nchini humo.