DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
Ni hivyo yaani ushamba umewajaa...Utopolo walitaka tu angalau waone refa anachunguliamo hata kama hakukuwa na umuhimu wa kufanya hivyo.
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni hivyo yaani ushamba umewajaa...Utopolo walitaka tu angalau waone refa anachunguliamo hata kama hakukuwa na umuhimu wa kufanya hivyo.
Mchambuzi wa soka Geoff Lea, amesema kwamba klabu ya Simba ni maarufu kwa kutumia mbinu chafu wakiwa nyumbani ili kujipatia ushindi.
Mchambuzi huyo ametaka klabu iache kutumia mbinu hizo chafu kwa maana mpira ni mchezo wa haki.
Geoff amezitaka klabu za mpira barani Afrika ikiwemo Simba kujifunza kutoka kwa South Africa ambao hawapati malalamiko ya aina yoyote timu zinapoenda kucheza nchini humo.
Nenda kakate rufaaSimba haikushinda tuwe open katika hilo.VAR ilikuwepo lakini haikutumika
Mpira ni mchezo wa wazi mkuu, timu ikitumia mbinu mbadala inaonekana tu. Wenzetu ni rahisi kuwafunga hata kwao kwakuwa hawana magumashi mengi kama sisi. Simba hii ni Mbovu, mpira mbovu, hana ligi ya ndani haigopwi.
janja janja ina mwisho wake...………………..!
Watatulia tu. Ulinzi ni waserikali si club, Simba hesabu nyingi labda uelewe unapo anza shutuma tena za vitisho jua huo si mchezo tena ni vita Sasa baozi zote zimesha anza mawasiliano ili amani iwepo kimchezo na si kisasi cha AVR. Simba oyeeee.Na nyie mnasubiriwa mhujumiwe mpaka uchumi
Kwaiyo yalitumika matacall yako?Simba haikushinda tuwe open katika hilo.VAR ilikuwepo lakini haikutumika
NonsenseHivi huyu jamaa na Kiingereza chake cha kuunga unga kweli anasema ile haikua penalty??? Kweli hata anasema uongo mwingine VAR haikuangaliwa? Hizo anazoita Dark Arts ni zipi? Hovyo sana.
Unaichafua Club ya Simba bila sababu labda hujui unachosema mana lugha unaunga unga...au una jambo baya na Simba...Mpira umechezewa wazi mambo ya Covid hata Yanga walillamika kule Nigeria je walikua wanacheza na Simba??? We jamaa hovyo sana.Tatizo nyie vijana wa Kiafrika mkishajifanya wazungu kujiita Jeff basi umejiona wewe mzunguu njiwa...WEWE jina lako ni Masalowenda Karambwige tulia Simba inashinda Game nyingi tu Afrika hapa sio kwa ajili ya Covid hata Zamalek tulishamtoa tena kwao je ilikua Covid?? tuheshimiane wewe jamaa
Lugha yenyewe hujui unababaisha tu.
Pokeeni sana mawifi zenu.Msiba upo SA vilio vita tamalaki kila kona ya nchi
Nyie nendeni mkakamilishe ratiba mambo ya kujiliza liza na statment iliyoandikwa kana kwamba aliyeandika alikuwa amelewa kimpumu, mlichokifanya na wao watawafanyia kwaiyo msitafute huruma hapaWatatulia tu. Ulinzi ni waserikali si club, Simba hesabu nyingi labda uelewe unapo anza shutuma tena za vitisho jua huo si mchezo tena ni vita Sasa baozi zote zimesha anza mawasiliano ili amani iwepo kimchezo na si kisasi cha AVR. Simba oyeeee.
Unafurahi wakati kasema siye nimaskini sna
😅😅😅😅😅Wakati Simba washaenda SA kuandaa mazingira ya second leg ....Yanga ,Azam na mafala wengine wanangaika katika media kuongelea game ambayo ishaisha...........
Endeleeni tu kuwa wa baridi mwakani mnakuwa bao la shabaha..........
Fist game na kibonde second game Pyramid hawa,,,,......Safari imeisha
😅😅😅😅😅Wakati Simba washaenda SA kuandaa mazingira ya second leg ....Yanga ,Azam na mafala wengine wanangaika katika media kuongelea game ambayo ishaisha...........
Endeleeni tu kuwa wa baridi mwakani mnakuwa bao la shabaha..........
Fist game na kibonde second game Pyramid hawa,,,,......Safari imeisha
😅😅😅Wakati Simba washaenda SA kuandaa mazingira ya second leg ....Yanga ,Azam na mafala wengine wanangaika katika media kuongelea game ambayo ishaisha...........
Endeleeni tu kuwa wa baridi mwakani mnakuwa bao la shabaha..........
Fist game na kibonde second game Pyramid hawa,,,,......Safari imeisha