Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
ni ARV au VAR?Geoff Lea ARV zimeanza kudunda asamehewe tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni ARV au VAR?Geoff Lea ARV zimeanza kudunda asamehewe tu
Akili zako ni za kuvukia barabara na kichwa chako kimejaa kamasi.....Umri wako na PUMBA unazomwaga hapa hazifanani.
Mpira ni mchezo wa wazi na unaohitaji fair kwa kila upande, huwezi shinda kwa hujuma afu uanze jisifia eti kwa Mkapa hatoki mtu, inakuja Kagera Sugar inakufumua.
Soka letu halihitaji figisu, timu isajili vizuri na ipate makocha wazuri sambamba na training za maana.
Kwani wewe umeelewa nini!ni ARV au VAR?
Mnagangaika na mazao ya zile division 4 za 28 zilizopewa GO AHEAD kwenye utawala wa JK, wengine wapo kwenye uchambuzi kwasababu ya ugumu wa maisha.
Na hata mnaowaona wanabadili gia na kuanzisha nyuzi kila saa, mara VAR haikutumika, mara Simba anacheza mchezo mchafu, mara Mayele angekuwemo angefunga, oooh uwanja haukujaa ni UFUKARA na kukosa kazi za kufanya.
Kama Simba Sc imefikia uwezo wa kuhujumu team kubwa zenye uchumi mkubwa na majina Africa kama Ahly , Kizer, Orlando, AsVita, Saoura na nyinginezo, basi anastahili pongezi. Maana hatuwezi kukaa kila siku tunalalamika Simba Sc inahujumiwa kama jinsi ambavyo Yanga wamekuwa wakili kila msimu. HII NI ISHARA YA UKUBWA.
NB: Kuna ubaya gani kufanya hujuma kwenye mashindano makubwa yenye postive return, ikiwa kuna team inafanya hujuma kwa viteam vidogo vya ndani kushindania kombe la mbuzi???
Wewe ndio huna lolote loser tu. Mpira unachezwa kila mtu anaona. Tutajie hizo hujuma zilizokuwepo pale. Utopolo hamnazo.Umri wako na PUMBA unazomwaga hapa hazifanani.
Mpira ni mchezo wa wazi na unaohitaji fair kwa kila upande, huwezi shinda kwa hujuma afu uanze jisifia eti kwa Mkapa hatoki mtu, inakuja Kagera Sugar inakufumua.
Soka letu halihitaji figisu, timu isajili vizuri na ipate makocha wazuri sambamba na training za maana.
Certified idiot and Utopolo plus.Kombe unaloliita la mbuzi ndo limekupa nafasi ya kupanda ndege bila ilo uendi popote, kama aliwafai jitoeni kama ubavu mnao, mmebaki kubwata tu baada ya kupigwa gape la point 10 mnaona amna chenu tena kwa maneno ya mkosaji
Unateseka kutokea pande zipi wewe idiot?Kombe unaloliita la mbuzi ndo limekupa nafasi ya kupanda ndege bila ilo uendi popote, kama aliwafai jitoeni kama ubavu mnao, mmebaki kubwata tu baada ya kupigwa gape la point 10 mnaona amna chenu tena kwa maneno ya mkosaji
Chuki itakuua wewe zwazwa...[emoji23][emoji23][emoji23]janja janja ina mwisho wake...………………..!
Mchambuzi wa soka Geoff Lea, amesema kwamba klabu ya Simba ni maarufu kwa kutumia mbinu chafu wakiwa nyumbani ili kujipatia ushindi.
Mchambuzi huyo ametaka klabu iache kutumia mbinu hizo chafu kwa maana mpira ni mchezo wa haki.
Geoff amezitaka klabu za mpira barani Afrika ikiwemo Simba kujifunza kutoka kwa South Africa ambao hawapati malalamiko ya aina yoyote timu zinapoenda kucheza nchini humo.
Umri wako na PUMBA unazomwaga hapa hazifanani.
Mpira ni mchezo wa wazi na unaohitaji fair kwa kila upande, huwezi shinda kwa hujuma afu uanze jisifia eti kwa Mkapa hatoki mtu, inakuja Kagera Sugar inakufumua.
Soka letu halihitaji figisu, timu isajili vizuri na ipate makocha wazuri sambamba na training za maana.
umeongea kweli mkuu, lakini pia ukweli huo ndio ukweli sahihi...mazingira wezeshi ya kiuchumi inasaidia kuwa na ushindani na wachezaji wenye uwezo wakukupa unachotaka kwa wakati ...mtu anayelipwa milioni thelasini laizma atajitoa kwa jasho lake lote zaidi ya anayelipwa milioni tatu au nane...kufungwa na timu masikini au zisizo na uwezo ni nadharia ya mtu kumng'ata mbwa..au mbuzi kumng'ata binadamu huwezi kuichukulia kama ni hoja ya kuizingatia sana.Simba itatolewa kwa propaganda kuliko soka lenyewe.
Hakuna anayezungumzia ni vipi Simba ilipata,matokeo ya ugenini katika naadhi ya mechi.
Watu wanaaminishwa kuwa Simba hushinda nyumbani tu.
Hakuna mtu amejiuliza timu nyingine zinashinda wapi.
Kuna ujinga na propaganda zinaingizwa hadi kwenye DNA ya wachezaji kuwa sisi ni duni kwa sababu ya mishahara na gharama za uendeshaji wa timu ukilinganisha na South Africa.
Ni kweli kwa utajiri wa vilabu inaweza kuwa sahihi.Lakini utajii peke yake ni sifa tosha kuifanya timu ishindwe?
Je hapa kwetu hamkumbuki vitimu kama Mwadui vilivyoifunga Simba lakini vikifungwa na timu nyingine magoli matano matano?
Mimi ninadhani soka letu halitafika mbali kwa sababu ya wachawi wa yanga ambao kazi yao kuroga kwa kunuizia maneno kama haya huku wao hawatumii vizuri nafasi wanapopata uwakilishi wa kimataifa.
Hakika watu wanachuki za wazi wazi kwa Simba
Kwa hiyo CAF walileta VAR kwa ajili ya maoneshoSimba haikushinda tuwe open katika hilo.VAR ilikuwepo lakini haikutumika
Mbona Sakho alivyowagalagaza watu chali kwa chenga za maudhi hukuomba waangalie ktk VAR?Kwa hiyo CAF walileta VAR kwa ajili ya maonesho
Kila timu inatumia home advantage iwe kubwa au ndogoumeongea kweli mkuu, lakini pia ukweli huo ndio ukweli sahihi...mazingira wezeshi ya kiuchumi inasaidia kuwa na ushindani na wachezaji wenye uwezo wakukupa unachotaka kwa wakati ...mtu anayelipwa milioni thelasini laizma atajitoa kwa jasho lake lote zaidi ya anayelipwa milioni tatu au nane...kufungwa na timu masikini au zisizo na uwezo ni nadharia ya mtu kumng'ata mbwa..au mbuzi kumng'ata binadamu huwezi kuichukulia kama ni hoja ya kuizingatia sana.
ukweli mchungu...ili klabu za tanzania angalua ziweze kunusa nusa nusu fainal na hata fainal angalau ziwe na wachezaji wanaolipwa mshahara mkubwa hata sita kwa wakati mmoja, hapa namaanisha uwe na wachezaji wa daraja la fainal..ambao ni ghali sokoni na hawapatikaniki bure, lazima uwanunue kwa pesa ndefu na uwalipe mishahara mikubwa..unless tutaendele kutumia advantage ya mechi za home tu, tukitoka nnje hatuna qualty ya ushindani kwa wakubwa au timu tu zenye uwekezaji unaolingana na wakwetu.
Hapo hata mimi napingana na wale wanaosema VAR haikutumikaMbona Sakho alivyowagalagaza watu chali kwa chenga za maudhi hukuomba waangalie ktk VAR?
kwahiyo kumbe kinachowauma kwann kale kascreen kamewekwa pale uwanjani na hakajatumika?mkiangalia kamepanda ndege[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ndugu zangu sio kila tukio ni la kuangalia ktk screen muda mwingine AVAR anatosha kabisa kumaliza utata kwa kuwasiliana na refaree......
Hivi marefa wa epl ni mara ngapi wanaenda kuangalia kale kascreen ?
USHAMBA MZIGO.
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Msiba upo SA vilio vita tamalaki kila kona ya nchiMnagangaika na mazao ya zile division 4 za 28 zilizopewa GO AHEAD kwenye utawala wa JK, wengine wapo kwenye uchambuzi kwasababu ya ugumu wa maisha.
Na hata mnaowaona wanabadili gia na kuanzisha nyuzi kila saa, mara VAR haikutumika, mara Simba anacheza mchezo mchafu, mara Mayele angekuwemo angefunga, oooh uwanja haukujaa ni UFUKARA na kukosa kazi za kufanya.
Kama Simba Sc imefikia uwezo wa kuhujumu team kubwa zenye uchumi mkubwa na majina Africa kama Ahly , Kizer, Orlando, AsVita, Saoura na nyinginezo, basi anastahili pongezi. Maana hatuwezi kukaa kila siku tunalalamika Simba Sc inahujumiwa kama jinsi ambavyo Yanga wamekuwa wakili kila msimu. HII NI ISHARA YA UKUBWA.
NB: Kuna ubaya gani kufanya hujuma kwenye mashindano makubwa yenye postive return, ikiwa kuna team inafanya hujuma kwa viteam vidogo vya ndani kushindania kombe la mbuzi???
Utopolo walitaka tu angalau waone refa anachunguliamo hata kama hakukuwa na umuhimu wa kufanya hivyo.Hapo hata mimi napingana na wale wanaosema VAR haikutumika