Utafkiri ana DNA ya South!
Mchambuzi wa soka Geoff Lea, amesema kwamba klabu ya Simba ni maarufu kwa kutumia mbinu chafu wakiwa nyumbani ili kujipatia ushindi. Mchambuzi huyo ametaka klabu iache kutumia mbinu hizo chafu kwa maana mpira ni mchezo wa haki. Geoff amezitaka klabu za mpira barani Afrika ikiwemo Simba kujifunza kutoka kwa South Africa ambao hawapati malalamiko ya aina yoyote timu zinapoenda kucheza nchini humo.
Umesoma kwa makini au una njaakalihatariHivi huyu jamaa na Kiingereza chake cha kuunga unga kweli anasema ile haikua penalty??? Kweli hata anasema uongo mwingine VAR haikuangaliwa??? Hizo anazoita Dark Arts ni zipi??? Hovyo sana....
Unaichafua Club ya Simba bila sababu labda hujui unachosema mana lugha unaunga unga...au una jambo baya na Simba...Mpira umechezewa wazi mambo ya Covid hata Yanga walillamika kule Nigeria je walikua wanacheza na Simba??? We jamaa hovyo sana...
Na nyie mnasubiriwa mhujumiwe mpaka uchumiAwailize Al ahly walivoenda south Africa kucheza na mamelody
Napenda mpira nafatilia ligi zote ulimwenguni. Tusilewe na mahaba kama tunataka mpira wetu ufike mbali,kuna hatua tumeruka. Vinginevyo tutaendelea na kelele zisizokuwa na afya katika soka la ardhi ya Tanzania.Mchambuzi wa soka Geoff Lea, amesema kwamba klabu ya Simba ni maarufu kwa kutumia mbinu chafu wakiwa nyumbani ili kujipatia ushindi. Mchambuzi huyo ametaka klabu iache kutumia mbinu hizo chafu kwa maana mpira ni mchezo wa haki...
Anatafuta kiki baada ya kufunikwa na kina ambangile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mchambuzi wa soka Geoff Lea, amesema kwamba klabu ya Simba ni maarufu kwa kutumia mbinu chafu wakiwa nyumbani ili kujipatia ushindi. Mchambuzi huyo ametaka klabu iache kutumia mbinu hizo chafu kwa maana mpira ni mchezo wa haki. Geoff amezitaka klabu za mpira barani Afrika ikiwemo Simba kujifunza kutoka kwa South Africa ambao hawapati malalamiko ya aina yoyote timu zinapoenda kucheza nchini humo.
Simba itatolewa kwa propaganda kuliko soka lenyewe.
Hakuna anayezungumzia ni vipi Simba ilipata,matokeo ya ugenini katika naadhi ya mechi.
Watu wanaaminishwa kuwa Simba hushinda nyumbani tu.
Hakuna mtu amejiuliza timu nyingine zinashinda wapi.
Kuna ujinga na propaganda zinaingizwa hadi kwenye DNA ya wachezaji kuwa sisi ni duni kwa sababu ya mishahara na gharama za uendeshaji wa timu ukilinganisha na South Africa.
Ni kweli kwa utajiri wa vilabu inaweza kuwa sahihi.Lakini utajii peke yake ni sifa tosha kuifanya timu ishindwe?
Je hapa kwetu hamkumbuki vitimu kama Mwadui vilivyoifunga Simba lakini vikifungwa na timu nyingine magoli matano matano?
Mimi ninadhani soka letu halitafika mbali kwa sababu ya wachawi wa yanga ambao kazi yao kuroga kwa kunuizia maneno kama haya huku wao hawatumii vizuri nafasi wanapopata uwakilishi wa kimataifa.
Hakika watu wanachuki za wazi wazi kwa Simba
Hahahaha ilishinda Yanga.Simba haikushinda tuwe open katika hilo.VAR ilikuwepo lakini haikutumika
Kama Simba hakushinda, alishinda nani?Simba haikushinda tuwe open katika hilo.VAR ilikuwepo lakini haikutumika
Labda kwa kumzuia morrison lakini kwa madiba wao ndio watajikuta wageniNa nyie mnasubiriwa mhujumiwe mpaka uchumi