Geoff Lea: Simba wanajulikana kwa kutumia mbinu chafu wakiwa nyumbani

Hovyo zaidi ya hovyo huyu
 
NB: Kuna ubaya gani kufanya hujuma kwenye mashindano makubwa yenye postive return, ikiwa kuna team inafanya hujuma kwa viteam vidogo vya ndani kushindania kombe la mbuzi???[emoji23]
 
NB: Kuna ubaya gani kufanya hujuma kwenye mashindano makubwa yenye postive return, ikiwa kuna team inafanya hujuma kwa viteam vidogo vya ndani kushindania kombe la mbuzi???[emoji23]
Umri wako na PUMBA unazomwaga hapa hazifanani.
Mpira ni mchezo wa wazi na unaohitaji fair kwa kila upande, huwezi shinda kwa hujuma afu uanze jisifia eti kwa Mkapa hatoki mtu, inakuja Kagera Sugar inakufumua.
Soka letu halihitaji figisu, timu isajili vizuri na ipate makocha wazuri sambamba na training za maana.
 
Kwa hiyo timu ikifanya vizuri kimataifa haitakiwi kufungwa kwenye ligi ya ndani? Uliona wapi hiyo utopolo? Simba haikatishwi tamaa na hizo tuhuma zenu za kipuuzi. Kwa akili zako unafikiri Simba haikupenda kuendelea kushiriki CAF champions mpaka wasitumie hizo figisu kama zipo dhidi ya Jwaneng?

Nasisitiza Simba haikatishwi tamaa na tuhuma zenu za kipuuzi.
 
Sasa nakujuza kuwa hawakutumia hizo hujuma kwa kuwa tayari walikuwa na mtaji wa goli 2 ugenini. Hata maandalizi ya game yenyewe yalikuwa finyu sambamba na mashabiki wachache sana. Kila mtu aliamini Simba imeshafuzu makundi ikiwemo wewe hapo.
Game ambazo Simba anafanya magumashi ni zile za maamuzi. Hata ile ya Kaizer Chiefs pia ilipigwa misumari ya kutosha ngoma ikaishia 3-0
 
Kwa hiyo Simba kufungwa 4-0 na Kaizer ni halali ila Simba kushinda 3-0 ni misumari! Upuuzi..
Na kwa UD Songo vipi Simba ilikuwa na matokeo gani ugenini? Au msimu huo Simba ilipenda kutolewa?

Nasisitiza Simba haikatishwi tamaa na tuhuma zenu za kipuuzi.
 
Mpira ni mchezo wa wazi mkuu, timu ikitumia mbinu mbadala inaonekana tu. Wenzetu ni rahisi kuwafunga hata kwao kwakuwa hawana magumashi mengi kama sisi. Simba hii ni Mbovu, mpira mbovu, hana ligi ya ndani haigopwi.
 
NB: Kuna ubaya gani kufanya hujuma kwenye mashindano makubwa yenye postive return, ikiwa kuna team inafanya hujuma kwa viteam vidogo vya ndani kushindania kombe la mbuzi???[emoji23]
Kombe unaloliita la mbuzi ndo limekupa nafasi ya kupanda ndege bila ilo uendi popote, kama aliwafai jitoeni kama ubavu mnao, mmebaki kubwata tu baada ya kupigwa gape la point 10 mnaona amna chenu tena kwa maneno ya mkosaji
 
Wewe ndo kidampa kabisa, kwamba team inayofanya vizuri kimataifa haitakiwi kupoteza mchezo wowote kwenye ligi?? Vipi Ahly, Zamalek, Belouzdad, Raja, Berkane na nyingine nyingi?

Hizi akili sijui huwa mnatoa wapi tu.
 
Kombe unaloliita la mbuzi ndo limekupa nafasi ya kupanda ndege bila ilo uendi popote, kama aliwafai jitoeni kama ubavu mnao, mmebaki kubwata tu baada ya kupigwa gape la point 10 mnaona amna chenu tena kwa maneno ya mkosaji
Kma kuna kitu kingetuuma sana ni kusikia kwamba hatuna nafasi ya kurudi tena CAFCL sio kukosa hiki kikombe, sidhani kama kuna mwana Simba Sc anaeumia kwasasa na ndomaana huoni hata nyuzi au mijadala mingi ninayoonyesha kuwa Simba Sc yupo desperate na hilo kombe.

Yes hii ni ligi ya mbuzi kama italinganishwa na CAFCL & CAFCC, tunaitumia kama njia ya kutuingiza huko.
 
Mpira ni mchezo wa wazi mkuu, timu ikitumia mbinu mbadala inaonekana tu. Wenzetu ni rahisi kuwafunga hata kwao kwakuwa hawana magumashi mengi kama sisi. Simba hii ni Mbovu, mpira mbovu, hana ligi ya ndani haigopwi.
Hujielewi. Baki na utopolo wako kichwani.
 
Lugha haungi ungi anajua, Ila aliyoyaongea yanasikitisha na sijui kwann wanakuwa hivyo hawa wachambuzi wetu.
Maana marefa wapo, kwann hawaandiki chochote katika riport zao.?!
 
dinho sidhani kama umri wangu unaujua..Lakini hii isiwe kesi bali nikuombe uwe makini ni mijadala kama hii na usiwe mtu wa kudandia gari kwa mbele maana utaonekana mjuaji usiyejua kitu..!
 
Kombe unaloliita la mbuzi ndo limekupa nafasi ya kupanda ndege bila ilo uendi popote, kama aliwafai jitoeni kama ubavu mnao, mmebaki kubwata tu baada ya kupigwa gape la point 10 mnaona amna chenu tena kwa maneno ya mkosaji
Eeh mbona unatoka nje ya mjadala tena na maneno mingi?
 
Magumashi gani? tujuze mkuu
 
Simba inasubiri kwenda SA kwenye mechi ya marudiano, mechi ya kwanza imeshapita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…