Geoff Lea: Simba wanajulikana kwa kutumia mbinu chafu wakiwa nyumbani

Akili zako ni za kuvukia barabara na kichwa chako kimejaa kamasi.....

Liverpool alibeba UEFA 2005 ikiwa kwenye ligi ya ndani EPL anashika nafasi ya 5 katika msimamo,
Utopolo mtakufa midomo wazi nyau nyinyi...
Angalia hapa[emoji116][emoji116]

Your browser is not able to display this video.


Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Hivi kosa la Simba ni kufika hatua ambayo wengine hawafiki? Kwanini Yanga wasikubali kwa kipindi cha miaka hii minne tuliwapita kwa miaka kadhaa mbele!

Hakuna siku Simba imeshinda iwe Bongo au Kimataifa tusibatizwe kesi ambazo hazipo! Simba na Yanga ilikuwa ni utani wa jadi lakini sijui ni wakina nani wananufaika kupandikiza chuki kati ya hawa mapacha.

Ukija kwa wachambuzi hakuna siku wakaipongeza Simba bali kukosoa kila game! Wasafi nilikuwa naona wanawachambuzi wanajielewa lakini juzi Hance Rafael na George Job(nilikuwa namuweka level moja na Ambangile kwasasa nimemshusha) haya yamekazania kabisa sio penalt! Hilo Hance lilivyo linafiki eti limeridhisha mara tano tano.

Wachambuzi mnatukosea sana hata kama mnalipwa kuipakaza matope simba angalau basi jaribuni muwe na utu, tumieni ubongo hamjapewa kama pambo! Mnapandikiza chuki baina ya Simba na Yanga bila hata nyie kuelewa.

Siku yakija tokea maafa kati ya hizi timu mbili wakamatwe wachambuzi! Sisi hatuna upinzani wa chuki kama Red star belgrade na Partizan!
 

Waeleze hao Utopolo wasio na akili.
 
Wewe ndio huna lolote loser tu. Mpira unachezwa kila mtu anaona. Tutajie hizo hujuma zilizokuwepo pale. Utopolo hamnazo.
 
Kombe unaloliita la mbuzi ndo limekupa nafasi ya kupanda ndege bila ilo uendi popote, kama aliwafai jitoeni kama ubavu mnao, mmebaki kubwata tu baada ya kupigwa gape la point 10 mnaona amna chenu tena kwa maneno ya mkosaji
Certified idiot and Utopolo plus.
 
Kombe unaloliita la mbuzi ndo limekupa nafasi ya kupanda ndege bila ilo uendi popote, kama aliwafai jitoeni kama ubavu mnao, mmebaki kubwata tu baada ya kupigwa gape la point 10 mnaona amna chenu tena kwa maneno ya mkosaji
Unateseka kutokea pande zipi wewe idiot?
 
janja janja ina mwisho wake...………………..!
 

Mchambuzi wa soka la chandimu wapi na wapi akawa na utaalamu wa kuchambua soka la kimataifa?
Huyu Geof bin Leah Hana CV yoyote katika soka hapa Tanzania, kwa hiyo hawezi kuitwa mchambuzi wa soka! Kuchambua soka ni taaluma, huyu bin Leah Hana hiyo taaluma Wala Hana uzoefu katika soka la Tanzania kwa ngazi yoyote Ile. Hawa ni makanjanja tu kwenye uchambuzi wa soka na sifa yao kuu ni kuwa wanamiliki mdomo !
 

Hivi hizo takwimu za soka kwenye mechi ya Simba na Orlando nazo zilipatikana kwa hujuma au? Ball possession nayo ilipatikana kwa hujuma? nk!!
 
umeongea kweli mkuu, lakini pia ukweli huo ndio ukweli sahihi...mazingira wezeshi ya kiuchumi inasaidia kuwa na ushindani na wachezaji wenye uwezo wakukupa unachotaka kwa wakati ...mtu anayelipwa milioni thelasini laizma atajitoa kwa jasho lake lote zaidi ya anayelipwa milioni tatu au nane...kufungwa na timu masikini au zisizo na uwezo ni nadharia ya mtu kumng'ata mbwa..au mbuzi kumng'ata binadamu huwezi kuichukulia kama ni hoja ya kuizingatia sana.

ukweli mchungu...ili klabu za tanzania angalua ziweze kunusa nusa nusu fainal na hata fainal angalau ziwe na wachezaji wanaolipwa mshahara mkubwa hata sita kwa wakati mmoja, hapa namaanisha uwe na wachezaji wa daraja la fainal..ambao ni ghali sokoni na hawapatikaniki bure, lazima uwanunue kwa pesa ndefu na uwalipe mishahara mikubwa..unless tutaendele kutumia advantage ya mechi za home tu, tukitoka nnje hatuna qualty ya ushindani kwa wakubwa au timu tu zenye uwekezaji unaolingana na wakwetu.
 
Kwa hiyo CAF walileta VAR kwa ajili ya maonesho
Mbona Sakho alivyowagalagaza watu chali kwa chenga za maudhi hukuomba waangalie ktk VAR?

kwahiyo kumbe kinachowauma kwann kale kascreen kamewekwa pale uwanjani na hakajatumika?mkiangalia kamepanda ndege[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ndugu zangu sio kila tukio ni la kuangalia ktk screen muda mwingine AVAR anatosha kabisa kumaliza utata kwa kuwasiliana na refaree......
Hivi marefa wa epl ni mara ngapi wanaenda kuangalia kale kascreen ?


USHAMBA MZIGO.

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Kila timu inatumia home advantage iwe kubwa au ndogo
RS Berkane, ASEC,..
 
Hapo hata mimi napingana na wale wanaosema VAR haikutumika
 
Msiba upo SA vilio vita tamalaki kila kona ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…