Geoff Lea: Simba wanajulikana kwa kutumia mbinu chafu wakiwa nyumbani

Hovyo tu huyu
 
Wewe ndio tahira nambari wani,wenzenu kina nani wanafungika kirahisi nyumbani labda hizo tm za sheli sheli ambazo huwa mnazifunganga, na tuliona namna mlivyowafunga rivers kirahisi pale Naigeria.Utopolo acheni wivu wa kike Simba sio level yenu period
Mpira ni mchezo wa wazi mkuu, timu ikitumia mbinu mbadala inaonekana tu. Wenzetu ni rahisi kuwafunga hata kwao kwakuwa hawana magumashi mengi kama sisi. Simba hii ni Mbovu, mpira mbovu, hana ligi ya ndani haigopwi.
 
Na nyie mnasubiriwa mhujumiwe mpaka uchumi
Watatulia tu. Ulinzi ni waserikali si club, Simba hesabu nyingi labda uelewe unapo anza shutuma tena za vitisho jua huo si mchezo tena ni vita Sasa baozi zote zimesha anza mawasiliano ili amani iwepo kimchezo na si kisasi cha AVR. Simba oyeeee.
 
Wakati Simba washaenda SA kuandaa mazingira ya second leg ....Yanga ,Azam na mafala wengine wanangaika katika media kuongelea game ambayo ishaisha...........
Endeleeni tu kuwa wa baridi mwakani mnakuwa bao la shabaha..........
Fist game na kibonde second game Pyramid hawa,,,,......Safari imeisha
 
Nonsense
 
Watatulia tu. Ulinzi ni waserikali si club, Simba hesabu nyingi labda uelewe unapo anza shutuma tena za vitisho jua huo si mchezo tena ni vita Sasa baozi zote zimesha anza mawasiliano ili amani iwepo kimchezo na si kisasi cha AVR. Simba oyeeee.
Nyie nendeni mkakamilishe ratiba mambo ya kujiliza liza na statment iliyoandikwa kana kwamba aliyeandika alikuwa amelewa kimpumu, mlichokifanya na wao watawafanyia kwaiyo msitafute huruma hapa
 
Lakini si.ba kwa mbinu chafu tumeliongelea sana humu hata kabla ya mechi na orlando...simba ya sasa ushindi wake niwa janja janja nyingi...hata kwenye ligi ya nbc
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Ila maneno ya kipuuzi kama yale hakata rudia tena, watu wamemshukia kama mwewe ujanja mfukoni [emoji6]
 
Tokea Mwamedi aichukue hii timu ndio tulianza kutumia hizo mbinu chafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…