Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MnyaaaziKuna dini wanaamini jua linazama matopeni
Hata kama hujaitaja nimehisi tu ni ipi😁Kuna dini wanaamini jua linazama matopeni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja wajeKuna dini wanaamini jua linazama matopeni
Hata marekani majimbo yanatofautiana muda lakini haifanyi jimbo moja kuwa canada.Tulikuwa tunafanya mazoezi mchangani Ziwa Tanganyika, Ahmad kucheki time ni saa moja na nusu usiku ila kweupeeee kama mchana.
Muda huo kule kwetu Unguja ni giza totoro. Kigoma ni Burundi.
Huko Marekani na nchi kama Urusi zina time zones tofauti. Nchi moja inaweza kuwa na mda tofauti tofauti kulingana na ukubwa(East-West). Muda wa Moscow sio sawa na mda wa Kaliningrad lakini ni nchi moja.Hata marekani majimbo yanatofautiana muda lakini hayafanyi jimbo moja kuwa canada.
Hata hapa dar jua linawahi kuchomoza kuliko bukoba na linawahi kuzama kuliko bukoba.
Kabisa. Hata china majimbo yake yako kwenye time zone tofauti na yalikuwa na masaa tofauti hadi pale china ilipoamua majimno yote yatafuata muda wa beijing so haijalishi jimbo liko timezone ipi litakuwa na muda sawa na beijingHuko Marekani na nchi kama Urusi zina time zones tofauti. Nchi moja inaweza kuwa na mda tofauti tofauti kulingana na ukubwa(East-West). Muda wa Moscow sio sawa na mda wa Kaliningrad lakini ni nchi moja.
Kuna dini wanaamini jua linazama matopeni
Hata marekani majimbo yanatofautiana muda lakini haifanyi jimbo moja kuwa canada.
Hata hapa dar jua linawahi kuchomoza kuliko bukoba na linawahi kuzama kuliko bukoba.
Huko Ulaya kuna kipindi unakuta saa tatu usiku bado jua linawaka
Sina hata haja ya kuhangaika hebu wewe ndo kasome mwenyewe hapa Time in the United States - WikipediaSio kweli go and check your fact
Piga nalo selfieTulikuwa tunafanya mazoezi mchangani Ziwa Tanganyika, Ahmad kucheki time ni saa moja na nusu usiku ila kweupeeee kama mchana.
Muda huo kule kwetu Unguja ni giza totoro. Kigoma ni Burundi.