Geography is real: Nipo Kigoma saa moja na nusu usiku jua bado linawaka

Geography is real: Nipo Kigoma saa moja na nusu usiku jua bado linawaka

Ni kweli kigoma jua linachelewa kuzama..ni kqma lile jengo refu pale dubai wale wanaoishi ghorofa za juu wanachelewa kufungua kipindi cha mfungo kuliko wa chini kwakua wao jua linachelewa kuzama japo jengo ni moja..
 
Back
Top Bottom