Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 48,444 Reaction score 194,235 Jan 6, 2023 #21 Tuwekee picha tuone
U uwe hodari JF-Expert Member Joined Dec 16, 2022 Posts 4,045 Reaction score 8,608 Jan 6, 2023 #22 Kuwa na time zone tofauti sio kigezo cha kuwa nchi tofauti Nafaka said: Sina hata haja ya kuhangaika hebu wewe ndo kasome mwenyewe hapa Time in the United States - Wikipedia Click to expand...
Kuwa na time zone tofauti sio kigezo cha kuwa nchi tofauti Nafaka said: Sina hata haja ya kuhangaika hebu wewe ndo kasome mwenyewe hapa Time in the United States - Wikipedia Click to expand...
Nafaka JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 12,154 Reaction score 31,246 Jan 6, 2023 #23 uwe hodari said: Kuwa na time zone tofauti sio kigezo cha kuwa nchi tofauti Click to expand... Hivi uliponiquote umeelewa nilichoandika maana hapa unasema nilichosema
uwe hodari said: Kuwa na time zone tofauti sio kigezo cha kuwa nchi tofauti Click to expand... Hivi uliponiquote umeelewa nilichoandika maana hapa unasema nilichosema
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 20,925 Reaction score 51,688 Jan 6, 2023 Thread starter #24 Cannabis said: Huko Ulaya kuna kipindi unakuta saa tatu usiku bado jua linawaka Click to expand... Kama ni mpira mnacheza bola kuwasha taa
Cannabis said: Huko Ulaya kuna kipindi unakuta saa tatu usiku bado jua linawaka Click to expand... Kama ni mpira mnacheza bola kuwasha taa
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,261 Reaction score 17,202 Jan 6, 2023 #25 Ni kweli kigoma jua linachelewa kuzama..ni kqma lile jengo refu pale dubai wale wanaoishi ghorofa za juu wanachelewa kufungua kipindi cha mfungo kuliko wa chini kwakua wao jua linachelewa kuzama japo jengo ni moja..
Ni kweli kigoma jua linachelewa kuzama..ni kqma lile jengo refu pale dubai wale wanaoishi ghorofa za juu wanachelewa kufungua kipindi cha mfungo kuliko wa chini kwakua wao jua linachelewa kuzama japo jengo ni moja..
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Jan 7, 2023 #26 uwe hodari said: Kuwa na time zone tofauti sio kigezo cha kuwa nchi tofauti Click to expand... We shoga una tatizo
uwe hodari said: Kuwa na time zone tofauti sio kigezo cha kuwa nchi tofauti Click to expand... We shoga una tatizo