Geor Davie ni nani?

Geor Davie ni nani?

yesu alikuja kutumikia sio kutumikiwa jibu ni rahisi ni nabii wa UONGO.

Hapo ndipo napoipendea Bible,Haya mambo yote yaliishatabiriwa,Kwamba mwisho wa dunia utakapokaribia wataibuka Manabii wa uongo ambao watahubiri na kuponya kwa jina la Yesu, lakini si wake.
 
Masikini atatua juu ya Ardhi na kupanda Punda wakati watakao kwenda kumlaki wakiwa wamepanda Helkopita na Range Rover
 
Mkuu ndahani​ mimi nimeshuhudia Mama mmoja aliyekuwa na uwezo mkubwa wa kifedha akifilisika kabisa.Kwanza alianza kwenda kwa huyu msanii wakati huo huduma yake ya Ngurumo upako inapamba moto sana nadhani wale wasaidizi wa Dr Mheshimiwa wakajua Mama anazo fedha za kutosha wakamwingiza kwa mtumishi akapewa cheo baada ya muda biashara yake ya kusambaza mikaa Arusha na Kilimanjaro ikayumba sana kwasababu alisomba pesa zote akazipeleka kwa huyu msanii mwisho wa siku akaishia kupelekwa Marekani kuosha macho.Watoto wake hawana mbele wala nyuma baada ya Mama yao kujiingiza kichwa kichwa kwa Msani na tapeli la kimataifa.

Wajinga ndio waliwao!~!Period!
 
Acha kushupaaa na story za mtaani wewe...kwa jinsi ulivyo na mawazo mgando napata wasi wasi na umri wako , pia na uwezo wako wa kupambanua mambo ?uwezo wa kufikili. USA nimetolea mfano tu.

Mkuu acha kujidhalilisha! Unaonekana limbukeni kabisa. Huwezi ukalinganisha bilionea wa marekani na wa bongo! Uwekezaji unaoweza kuufanya bongo ni tofauti kabisa na uwekezaji unaoweza kuufanya Amerika! Hivyo ni ulemavu wa akili kusema Huyu Askofu sio billionea Kwasababu tu akitakiwa atoe financial document amerika ataonekana sio chochote!
Think again! Mawazo yako ndio mgando!
 
Unaangaika nn na mtu ambae haelew anachozungumza n nn? mwache, huna haja ya kumjibu unapoteza muda, angalia angalia hata thread nyingne unaweza jifunza kitu
 
Hajavunja sheria za nchi na anatenda kama Mungu wake anavyomtuma atende. Anaponya wagonjwa kwa jina la Yesu Kristo. Anaihubiri injili kwa ajili ya kuleta amani nchini na duniani kwa ujumla. Yesu Kristo mwenyewe alifanya mengi ya ajabu lakini alikataliwa na mwisho kuuwawa kwa kuwambwa msalabani sebuse mwanadamu wa leo. Hapa duniani hata aje Mungu mwenyewe bado watu watamkataa na kumtukana. Bora kukaa kimya kuepuka laana inayowapa watu umaskini kuliko kuropoka kwa midomo michafu na kuendelea kuwa masikini wa kiroho na kimwili.
 
Hivi Yesu alikua na b/guard?
Na kwa sababu hiyo si unajua kilichompata?angekuwa na bodyguard unafikiri wale wahuni wangethubutu kumtundika?wacha wajilinde kwani wanajua nabii hapendwi kwao!ila najiuliza hao "clients" zao huchangia kiasi gani mpaka "hawa enterprenuer wa mungu" wanakuwa matajiri hivi? au kuna biashara nyingine kificho inaendelea?
 
yesu alikuja kutumikia sio kutumikiwa jibu ni rahisi ni nabii wa UONGO.

Kumwita "nabii wa uongo" ni kosa pia huyo si nabii kabisa yaan hana nasibu yeyote ya kinabii ,ni sawa na mwanamume shoga kumwita "mwanamke wa uongo" hilo ni shoga tu si janajike wala janadume dubwana tu! ndio hiyo mitapeli ya imani tuliyonayo hapo au mijambazi inayojificha katika kichaka cha huduma za kiroho au 'akili' maana nahisi wadau wao kama wameshikiwa akili zao!
 
Mkuu ndahani​ mimi nimeshuhudia Mama mmoja aliyekuwa na uwezo mkubwa wa kifedha akifilisika kabisa.Kwanza alianza kwenda kwa huyu msanii wakati huo huduma yake ya Ngurumo upako inapamba moto sana nadhani wale wasaidizi wa Dr Mheshimiwa wakajua Mama anazo fedha za kutosha wakamwingiza kwa mtumishi akapewa cheo baada ya muda biashara yake ya kusambaza mikaa Arusha na Kilimanjaro ikayumba sana kwasababu alisomba pesa zote akazipeleka kwa huyu msanii mwisho wa siku akaishia kupelekwa Marekani kuosha macho.Watoto wake hawana mbele wala nyuma baada ya Mama yao kujiingiza kichwa kichwa kwa Msani na tapeli la kimataifa.

Huo ulinzi tu unaeleza yote...mtumishi wa Mungu analindwa kama Rais wa Marekani anayeagiza ISIS kupigwa mabomu?It makes sense for the president to be protected like a king...but mtumishi wa Mungu toka lini? What has he got to lose?
 
Kama mali ni nzuri mbele za mungu zingeanzia kwa yesu.angeweza kuwa na palace na lordge za hatari lakini aliona hazifai ndio akaachana nazo na mciwafananishe mitume ya mungu na manabii na wezi
 
Mkuu ndahani​ mimi nimeshuhudia Mama mmoja aliyekuwa na uwezo mkubwa wa kifedha akifilisika kabisa.Kwanza alianza kwenda kwa huyu msanii wakati huo huduma yake ya Ngurumo upako inapamba moto sana nadhani wale wasaidizi wa Dr Mheshimiwa wakajua Mama anazo fedha za kutosha wakamwingiza kwa mtumishi akapewa cheo baada ya muda biashara yake ya kusambaza mikaa Arusha na Kilimanjaro ikayumba sana kwasababu alisomba pesa zote akazipeleka kwa huyu msanii mwisho wa siku akaishia kupelekwa Marekani kuosha macho.Watoto wake hawana mbele wala nyuma baada ya Mama yao kujiingiza kichwa kichwa kwa Msani na tapeli la kimataifa.

Mkuu inasikitisha sana...Yani waumini wake ni kama wamepigwa upofu kabisa.....

Huwa nawaonea huruma sana....
 
Hajavunja sheria za nchi na anatenda kama Mungu wake anavyomtuma atende. Anaponya wagonjwa kwa jina la Yesu Kristo. Anaihubiri injili kwa ajili ya kuleta amani nchini na duniani kwa ujumla. Yesu Kristo mwenyewe alifanya mengi ya ajabu lakini alikataliwa na mwisho kuuwawa kwa kuwambwa msalabani sebuse mwanadamu wa leo. Hapa duniani hata aje Mungu mwenyewe bado watu watamkataa na kumtukana. Bora kukaa kimya kuepuka laana inayowapa watu umaskini kuliko kuropoka kwa midomo michafu na kuendelea kuwa masikini wa kiroho na kimwili.

Inaelekea wewe ni kibaraka wa huyo Tapeli hapo Kisongo.....Shame on you...
 
Back
Top Bottom