spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,915
- 23,531
mbunyee mbunyeeee Kouma nioko Remmy Ongala
Mungu amsaidie mtumishi Geo. Hii ni kashfa ya pili, kuna ile ya secretary wake ilienda mahakamani hadi yule dada akatalikiwa. Sasa sijui ni wanamsingizia mtumishi ili wapate nini..anyways, neno litasimamaView attachment 3648055
Sehemu hii kutoka kwenye makala ya Be Scofield katika jarida la The Guru Magazine inaeleza kwa undani madai na sauti zilizorekodiwa kutoka kwenye kipindi cha faragha cha "ukombozi" kati ya mtoa taarifa Melissa Archer na nabii anayejiita GeorDavie, ambaye ana uhusiano wa karibu na Kanisa la 5F la Kathryn Krick.
Madai ya Tabia Isiyofaa: Wakati wa kipindi kilichowasilishwa kama cha kuponywa kiroho, GeorDavie alielekeza mazungumzo kwenye mada za faragha za kimapenzi na kijinsia kwa kisingizio cha kushughulikia "laana" za kiroho na "maelekezo ya uchawi."
Mahojiano Yaliyorekodiwa: Nakala za sauti zinathibitisha GeorDavie akimwekeza Archer kugusa maziwa na uke wake, akimwuliza maswali ya kina kana ana mavuzi, na kumhoji kuhusu historia yake ya kimapenzi na uwezekano wa kuvutiwa kimapenzi na au kutoka kwa wanawake wengine (Usagaji)
Kauli ya Mtoa Taarifa: Melissa Archer anasema kuwa hakuwahi kutafuta ushauri kuhusu masuala ya kimapenzi au mshtuko wa kisaikolojia (trauma) unaohusiana na ngono, hakuwa na wenza waliohusika na uchawi, na alitii tu kwa sababu GeorDavie alidai kuona mambo ya ulimwengu wa roho asiyoweza kuyaona mwenyewe.
Muktadha Mpana Zaidi: Taarifa hii inahusianishwa na mfululizo mpana wa uchunguzi unaochunguza ushawishi wa GeorDavie kwa Kathryn Krick na huduma yake maarufu ya Kanisa la 5F, ikileta maswali kuhusu uelewa na uelewa wa uongozi kuhusu matendo haya.
Soma mwenyewe hapa:-
![]()
Leaked Audio: Kathryn Krick's Prophet "Delivers" a Woman
Inside the recorded “deliverance” session where GeorDavie steered prayer into intimate questions about sex, relationships, and “witchcraft.”www.gurumag.com
Wanapigwa vita mno hawa watumishi! Bila maombi hawatoboi!Kabisa, maana kapewa gari ila nyota ya kuimba kaiacha madhabahu yavkishirikina
Mbona Askofu Zakaria Kakobe hatujawahi kumsikia na kashfa kama hizi na huduma yake ina zaidi ya miaka 40 sasaMungu amsaidie mtumishi Geo. Hii ni kashfa ya pili, kuna ile ya secretary wake ilienda mahakamani hadi yule dada akatalikiwa. Sasa sijui ni wanamsingizia mtumishi ili wapate nini..anyways, neno litasimama
Imani za kishamba hizo, mkuu una mana ile gari ndo chanzo cha yeye kupotea mbona fulani hajapoteaKila nikikumbuka alivyompa Godluck Gosbert ile gari ya bure kisha Goodluck akapotea kwenye ramani ya muziki wa injili, simkubali kabisa huyu TAPELI
Kwenye kula wanawake!Kivipi? Maana Bashite asili yake Mwanza na huyu kama mtu wa Singida/Kondoa
Bashite anamla nani? Hiyo mjegeje yake kwani inasimama? Ninachojuwa yeye Bashite ndiyo analiwa kama Uncle T
Mbona Mwakasege Hana hizo kashfa.Mungu amsaidie mtumishi Geo. Hii ni kashfa ya pili, kuna ile ya secretary wake ilienda mahakamani hadi yule dada akatalikiwa. Sasa sijui ni wanamsingizia mtumishi ili wapate nini..anyways, neno litasimama
Sio mrangi wala msukumaMbona Mwakasege Hana hizo kashfa.
Fuata Maandiko usifuate matendo yangu..Hajaisha! Maboya wapo wengi, jumapili watajazana kanisani kutoa sadaka
Yeye ni Mwalimu na Mwandishi wa Vitabu vya kusomaMbona Mwakasege Hana hizo kashfa.
Tabia ya nabii huyo ni ya ovyo, anasema yesu angekuja Leo yeye angemfuata uwanja wandege na gari yakeMungu amsaidie mtumishi Geo. Hii ni kashfa ya pili, kuna ile ya secretary wake ilienda mahakamani hadi yule dada akatalikiwa. Sasa sijui ni wanamsingizia mtumishi ili wapate nini..anyways, neno litasimama
OkSio mrangi wala msukuma