GeorDavie kwenye kashfa nyingine ya ngono na uchawi na binti wa kizungu

GeorDavie kwenye kashfa nyingine ya ngono na uchawi na binti wa kizungu

Imani ni imani tu, hakuna za kishamba wala za kimjini. Mtaje aliyepewa gari na GeorDavie na bado yuko top
Watuwamepewa Hadi mapesa na bado wapo trending mkuu, huyu ni muheshimiwa siwezi mtaja ila unamjua kila jpili alikua hapo church kutafuta chochote
 
Huyo jamaa Kuna anga tulikutana. Sio mtu mzuri kabisa. Nawaambieni wabongo huyo jamaa ni hatari kabisa.
Mtu ww makafara ya kutisha. Mwaka 2024 mjukuu wake alikufa kiajabu. Ma mwaka uiofuata mwanaye producer wa muziki Nifa naye akafariki hivyo hivyo
 
Watuwamepewa Hadi mapesa na bado wapo trending mkuu, huyu ni muheshimiwa siwezi mtaja ila unamjua kila jpili alikua hapo church kutafuta chochote
Kama huwezi kumtaja nanunatumia fake ID, basi wewe ni mzushi tu na hupaswi kuwa hapa jukwaani
 
Habari za mchana,
Mimi ni mwanahabari. Suala hili linaenda kuchunguzwa kwa kina zaidi...
Kile ambacho bado sikielewi ni: inawezekanaje kwamba, kwa miaka yote hii huko Arusha, Tanzania, kila mtu amekaa kimya? Hakika lazima kuna waathiriwa x, ambao wengi wao ni wanawake na waume zao?

Tafadhali andika kwangu hapa au kwa barua pepe ikiwa unajua chochote zaidi kuhusu 'mtume', 'Prof.' 'Dr.' Geor Davie Kasambale Moses, au wahanga wowote wanaowezekana Tanzania au nchi nyingine!


View: https://www.youtube.com/watch?v=F0GAsSnHsfY
Manukuu ya chini kwa Kiswahili yanaweza kuwashwa kwa video ndani ya YouTube.

[email protected]
 
Tuache wivu kwa Geordavie hao wanaofanyiwa hayo ni kwa kukosa kwao maarifa tu ya kutumia akili ya kuzaliwa...

Hizi Cult ziko nyingi sana duniani kwahiyo kama ni kweli au uongo hakuna jipya wala geni alilofanya Geodavie..
 
He told her, “Among the men I see in the spiritual realm, no one tried to enter you from behind.”
 
Back
Top Bottom